Majina saba yaipa kamati kuu ya CCM wakati mgumu

Majina saba yaipa kamati kuu ya CCM wakati mgumu

Kaka tartibu kaka, siye tushazeeka ati hivi vigingi humu hatuviwezi... Pata fanta waachie na vijembe vyao:glasses-nerdy::becky:

Ahhh ! !

Rev. Kishoka nimefurahi sana kukuona tena jamvini .Mliondoka mkaacha jukwaa linapwaya Reverend!

Nimemsoma Mkandara na faizaFoxy hapo juu nikajikuta naangua kicheko
 
Last edited by a moderator:
Lowasa hawezi Kuwa kiongozi maana hata taratibu ndogo za chama hazijui,je taratibu za nchi ataziweza au undo atamtegemea change kumuongoza,mwaka 1995 nyerere alimwanbia Tanzania haitaji rais maarufu bali inamtaka rais msafi name muadirifu,
 
kupendwa ni mojawapo ya sifa ila siyo sifa pekee![/QUOTE

Hatufanyi mashinda ya umiss,tunamtafua rais na amir jeshi mkuu mwenye uwezo wa kuongoza na yuko tayari kutumikia maskini sio kuweka majambazi madarakani,
 
..ninachoeleza mimi ni hali halisi iliyopo ktk CCM.

..kama wana-ccm wangekuwa wanakerwa na ufisadi basi wasingemuunga mkono Lowassa kwa kiwango wanachofanya sasa hivi.

..nadhani hukunielewa tu. sishabikii mtandao, na sijawahi kushabikia mtandao.

Si Kuwa wampenda makundi yake yananunua watu ,pia watu wataka kumuona Mr Richmond maana tangu afukuzwe hawajawai kumuona, wengine wanataka kumuona anavyotembea kama kinyonga, na akiondoka wengine wanasema mbona ni ngongwa huyu! Yaani ni vituko.
 
Hata hivyo Membe ameanza kampeni za chini kwa chini kugombea ubunge wa jimbo la Lindi mjini baada ya kuahidiwa cheo kikubwa na mmoja wa wanaopigiwa chapuo kufika mbali kwenye vikao vya mchujo baada ya kuonyesha nia ya kumuunga mkono.


Suala la makundi ndiyo mapango mkuu.
Waombaji zaidi ya 30 utadhani watatu wanagombea Udiwani?
Yaani hakuna hata heshima kwa nafasi husika(Uraisi) hata kama ni demokrasia hili limepitiliza!

CCM wameshusha hadhi ya Ofisi ya Uraisi kwa kuwa na waombaji zaidi ya 30 hata kwa vigezo vya aina yoyote ile.
Huku kote kunatokana na waombaji wengi kuwa wachafu kimaadili ya kiongozi!
 
Dr Salim namkubali. Hna makundi hata kidogo, na ni muadilifu.
Shida moja tu Mpemba!! na mzee sasa~!! tunataka magufuli type, tunataka Slaa type, tunataka Lisu type, tunataka nchemba type. sio lazima wawe hao ila type yao!!! wanaoweza kufanya maamuzi magumu bila hofu na kutetereka. uswahiliswahili huuuu umetutosha jamnai khaaa Mpeni Slaaa maaana kama ni No NI NO kweli. na wezi watakoma !!
 
Mkuu, dr. Salim anachukua fomu jumatano na huenda akafika mbali sana! Muwe munatuamini sisi wengine maana kuna muda tunaamua kutumia hadi gharama ili mradi tujue kinachoendelea na kuhabarishana humu!

Salim safi lakini time bared.
 
Mkuu, dr. Salim anachukua fomu jumatano na huenda akafika mbali sana! Muwe munatuamini sisi wengine maana kuna muda tunaamua kutumia hadi gharama ili mradi tujue kinachoendelea na kuhabarishana humu!
Enh vp mkuu dr salim ameshachukua fomu mzee wa kupata habari.
 
g sam

nijuavyo ni kwamba majina ya mwisho yatakayopitishwa ili wauwane wenyewe huko mbele hadi tumpate mmoja ni:

  • dr. John magufuli
  • professor sospeter muhongo
  • makongoro nyerere
  • jaji mstaafu augustino ramadhani
  • professor mark mwandosya
na wenye nafasi kubwa kuteuliwa kushika nchi ni kati ya dr. Magufuli na professor muhongo huku kati ya makongoro au jaji mmoja akiwa mgembea mwenza. Hao wawili tajwa ndiyo mamba lakini waliobaki ni kenge watupu ambao lazima wawepo karibu na mamba.

nakubaliana na wewe na la kwanza ndo jina litakalo waondolea unyonge wanaccm kwenye kampaini mwaka huu,mungu ibariki tanzania mungu mbariki magufuli,tunaomba usiku na mchana mapenzi ya mungu yatimie
 
Malizia kwanza kiroba jtano ni tarehe moja mwisho ni tarehe mbili hao wazamini kawapata lini?
 
Ni kwamba wakristu wamedhamiria kutomchagua rais muislamu tena. Wamegundua Kuwa si tu waislamu

wengi hawajui kuongoza isipokuwa wanasabisha pia upendeleo katika ajira kwa waislamu wenzao.pia mahali popote katika ofisi za utumishi wa umma akiwepo muislamu hata kama ana cheo kidogo anajitutumua sana.
Kumetokea mifarakano katika sehemu mbambali kati ya jamii zilizokuwa zinaishi kwa amani kwa sababu tu rais ni muislamu.

Aisee, mbona una hisia kali za kidini kiasi hicho???? kweli tumeshafika huko
 
Back
Top Bottom