MAJINA NACTE WANAYATOA LINI KWA WALIOFANYA UDAHILI NACTE NA SIO VYUONI?

MAJINA NACTE WANAYATOA LINI KWA WALIOFANYA UDAHILI NACTE NA SIO VYUONI?

mourisous

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2016
Posts
443
Reaction score
270
Kama heading ya uzi unavyojieleza hapo juu.

Mimi ni miongoni mwa wahanga wachache wa hiki tuliotuma maombia direct Nacte baada ya kutokea matatizo katika a/c za vyuo tulivyoomba.


Ningependa kufahamu majibu wanatejesha lini na yanapatikanaje kwa urahisi maana siku nazo zinasonga
 
Mbona wenzako walioomba NACTE washapata majibu? na wengine washaanza masomo, na wengine bado wanaendelea kuripoti.

je, uliomba course gan na chuo gani?
 
Back
Top Bottom