Kuna kiji harufu cha ukweli hapo, huu nao ni ugaidi mwingine.Hili jina la hii kampuni tajwa hapo kwenye mzunguko wa blue linafanania na ......
View attachment 90220
Hili jina la hii kampuni tajwa hapo kwenye mzunguko wa blue linafanania na ......
View attachment 90220
Harafu kijimkutano chenyewe kinafanyika kibarazani. Hii ni zaidi ya hatari.Yaani president wa li inji kubwa kama TZ unahudhuria kimkutano kama hiki? na naibu waziri au afisa kilimo afanye nini?
Mhmmmmmmm!