khaaa! usenge high school!
Je kwa mfano Walimu wa shule ya Mwenge SS na wa shule hiyo wametembelea Bunge letu tukufu, hebu nisaidieni jinsi mama wa Njombe atakavyowatambulisha baada ya kuwatambulisha "Walimu wa Mwenge SS wasimame tuwaoneeeeee".Duh...hiyo ya kwanza...ni balaa....tumeshazoea kusema wanafunzi wa Uhuru,....wanafunzi wa jitegemee....hii itakuwa wanafunzi *******!!!!