Majina mazuri ya kumwita mpenzi wako

Yah mkuu ndo maana natafuta nishauriwe jina zuri na unique la kumuita uyu mrembo
Hamna wa kukutafutia!
Mfn... Mimi na ex wangu tulikua tunaitana "wajina"... Kuna story nyuma la hilo jina mimi na yeye tu ndo tunafahamu. Wewe tafuta tu... Ukitaka muita tomato, cherry, udongo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom