- Thread starter
- #61
mbwembwe za nn muite mke /mme
Kupetipeti ndo mpango mzima babuu
mbwembwe za nn muite mke /mme
My darlng,Barafu wa moyo, my bbylov, husband, lov, swtdarln, hubby, my king .......nk
aisha kinuka mnduku
mume wangu......
mume wangu......
Mwasi Kitokoo!Mke wangu!
aisha kinuka mnduku
Mwasi Kitokoo!
mhhh....Yapo mengi sana..sema nameyaifadhi..hali ikiwa tete ndo yanatumika
Teh kindumbwendumbwe kajikojolea???kidawa...au Kindumbwendumbwe.
mhhh....
Mbona unaguna yunny???