Majina mazuri ya kumwita mpenzi wako

La Aziz imenikalia kinyume mie,mtoto wangu anaitwa Abdulaziz namuita Azuzz!! La Aziz mmmmmmmm sijui nalihisije,bora hata nikuite Moyo wangu lakini sio La Aziz lol.
Hilo Azuzz powa sana!! Nenda ubalozini ukamwandikishe.... utaandikiwa shamba la mitende na Bustani la Rummani!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom