Majina Matamu

Majina Matamu

kigonjambega
lubeleje
Simbachawene
Ndugai
Kanyamala
Kwikwega
Mogwa
Kilasa
Mahumi
Madelemo
Ngobito
 
chaupele, chausiku, kisambuni, upileni na tambuluzi haya ndio majina matamu
 
ingawaje,
si watu,
si kitu,
siyawezi,
pingu,
mkegani,
mwenzangu
 
papayai katamboi,
bujunju amos,
nyaunga sabahi,
kiming'ati olemollel,
andrew kitambi.
Bwiting'o nyamuhanga,

all at ilboru sec enzi izo
 
1. Michelle Bachelet
2. Yaa Asantewaa
3...


Ronaldo de Assis Moreirra comonly known as Santa Ronaldinho Gaucho...ambae inaaminika kuwa awapo uwanjani basi Malaika huacha shughuli zao na kumuangalia anapotambulisha chenga na skills mpya toka Mbinguni.

Inaaminika pia Kama mpira ungekuwa na mdomo basi ungeomba upelekwe kwa Dinho kila wakati ili wenyewe ukafurahi na mtoa thread nae afurahi...

Forza Dinho
 
Some of the names that stood out kwenye mashule niliyopita...

Vicha Nganga
Onya Takachi
Mboyo Loning'o
Maro Materego
Mlenge Mgendi
Tabangu Manyama
Asanterabi Ngana
Ngao Sambere
Ulimbakisiye Mwakalobo

Mwe! Kumbi tilisoma wote Kana-Ka-Nsungu!

Vicha alikuwa golikipa hodari wa timu ya shule. Yuko wapi siku hizi? Second-Master alikuwa akipenda kulitamka jina kamili la Asanterabi. Nilisikia mwenzetu Asanterabi alitutangulia mbele za haki. Alale kwa amani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom