Just qurious man,how many languages can you speak fluently..??
Safi sana baba! Inapendeza kwakwelionly five broda(moja local nyingine international)...nyingine nafahamu kwa kuibia ibia tu napenda sana kujua vitu vipya so huwa nasoma.
Hahaha! Poa King Kong IIIOk tayari shaanza nyesa! Asandi. #Sweet
Hahahaha! Akinambia namwambia aweke picha lol.Asante nawe mpenzi.
Asije akakwambia yeye ni Msambaa.
Hakunaga jina hlo kwetu.
Hahahaha! Akinambia namwambia aweke picha lol.
only five broda(moja local nyingine international)...nyingine nafahamu kwa kuibia ibia tu napenda sana kujua vitu vipya so huwa nasoma.
Hahahaha! Kumbe unamwogopa Zubedayo eeh? Ukinichokoza nakusakisia akubondeMh!
Ushe mwambie kbs aweke tusije kutana na mtu kama avatar ya Zubedayo bure.
Safi sana baba! Inapendeza kwakweli
Asante nawe mpenzi.
Asije akakwambia yeye ni Msambaa.
Hakunaga jina hlo kwetu.
Thanks bro I can reserve this answer for the future...
Hahahaha! Kumbe unamwogopa Zubedayo eeh? Ukinichokoza nakusakisia akubonde
kwenu huko kuna Shemahonge, Shemweta, Shembilu, Shekiondo nasikia hata Shetani ni Msambaa....
hahaha...Shem Madame B kwa Mchina yule anatafuna mipesa tu ya biashara