trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 736
Kwetu Iringa vipi mbona hujatupi hata kufuli mkuu?
Sikuelewi Mkuu. What do you mean????[/QU dah hata mimi cjamuelewa,ila tatizo limeanzia kwny username yako hyo KWETU IRINGA.
Bujibuji=?Andusamile= amenikodolea macho
Anyigulile= amenifungulia milango ya mbinguni
Bujibuji=?
Ala kumbe Bujibuji=Amenichakachua( )Amenichakachua
Ala kumbe Bujibuji=Amenichakachua( )
Malizia kwenye braket aminichakachua nini?
igwe uko wapi mkuu.[/QUOTE]
NIPO KIONGOZI WANGU.
igwe uko wapi mkuu.[/QUOTE]
NIPO KIONGOZI WANGU.
nakukukubali kyusa wangu.
pamoja sana mkuunakukukubali kyusa wangu.
Asante K_I kwa ufafanuzi. Ni elimu ya maana sana kwangu.Mwa---- manaake son of. Zamani watoto wa kike surnames zao zilikuwa hazina Mwa. Kw mfano: Binti wa Mwakyusa surnames zilikuwa Kyusa. Lakini saasa hivi wakike na wataitwa Mwakyusa.
Given au first names zina maana fulani, na maana yake yanauhusiano ni dini au Mungu. Kwa mfano Andulile maana yake amenisaidia, yaani Mungu amenisaidia, Ambakisye = amenihurumia, Lugano = mapenzi (ya Mungu), Lusajo = baraka, Ambwene =Ameniona (Mungu), Asajile = Amenibariki, Ambonisye = Ameninusuru, Angetile = Ameniona au Amenitazama, etc
Asante kichomi kwa ufafanuziOk Ok nimekupata mkuu maana ya Ambakisye=ameniwazia ,Ambele =amenipa,Undule=unisaidie ,Atupele=Ametupa nadhani umenipata mkuu.