Mikasa ya mahusiano ya shule

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,093
Leo nimekumbuka kitu nikacheka sana.

Wakati Niko Std 7 nilikuwa na mahusiano ya kitoto na sista du mmoja hivi tulikuwa tunasoma darasa Moja. Sasa communication yetu ilikuwa kuandika barua halafu inawekwa kwenye daftari nyuma ya jaladio.

Sasa Kuna kipindi tukawa na mgogoro halafu mi nikawa na kiburi Cha kusamehe. Sasa siku Moja nikawa nimeandika barua ndefu sana ya kusamehe lakini nimeweka makorokoro yote ambayo tumefanya na yaliyonikwaza. Sasa baadae nikaghairi kumpa Ile barua halafu nikaimissplace home. Ikaja ikapita kama wiki 2 hivi mara pap bi mkubwa home akakutana nayo.

Nimerudi kutoka shule nikaitwa nikapewa Ile barua naambiwa enhee hebu niambie hii Nini. Bwana bwana niliikana Ile barua siijui pamoja na Kila kitu kuanzia mwandiko na mambo mengine kasoro jina maana tulikuwa tunaitana majina ya mahaba sio majina rasmi (For security reasons for cases like these) ila mwisho wa siku bi mkubwa alikausha tu ingawa alikuwa kabisa no ya kwangu.

Ziko nyingi but hii ni mojawapo nimekumbuka Leo. Ipi ya kwako?
 
mi nakumbuka nikiwa std 7, nilkua nna washikaji zangu wawili hivi ambao tulkua tunashindania namba za juu darasani ila wao walikua wakubwa kidogo coz walirudia madarasa, so tayar mambo ya kikubwa kubwa walikua washaanza. Ile tunakarbia mwisho mwisho kuna siku walinibananisha wakanitongozea demu classmate mwenzetu kimasihara na demu akakubal kwenda kuliwa na tayar wakat huu nafikir alkua kashavunja ungo.. daah aisee mi nilkua najua utani alivokubali na nikaona washikaji wamedhamiria kabsa nikabikiriwe.. NILILIA SANAAA sitasahau

Afu eti tulivomaliza shule ndo nkaikumbuka Ile moment na kujiona bwege sana baada ya kukutana na Ile pisi mtaani imenawiri mbaya mbovu inanicheeeka ... niliombaga mzigo baadae sana ila sikufanikiwa
 
Ulikuwa unawaza nini kubikiriwa?🤣uliffkiri chororoo itakatika?🤣
 
Back
Top Bottom