Majina Haya ya Kinyakyusa Vipi?

trachomatis

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
3,758
735
Jamani mbali na majina common ya kabila hili yaani yanayoanzia na 'MW..' kuna mengine mfano Ambakisye,Ambele, Undule,Atupele n.k. Je yana maana na matumizi gani? Maana yale ya MW mara nyingi ni surname,na haya mengine first names mara nyingi kama si zote. Naomba kuwasilisha.
 
Mwa---- manaake son of. Zamani watoto wa kike surnames zao zilikuwa hazina Mwa. Kw mfano: Binti wa Mwakyusa surnames zilikuwa Kyusa. Lakini saasa hivi wakike na wataitwa Mwakyusa.

Given au first names zina maana fulani, na maana yake yanauhusiano ni dini au Mungu. Kwa mfano Andulile maana yake amenisaidia, yaani Mungu amenisaidia, Ambakisye = amenihurumia, Lugano = mapenzi (ya Mungu), Lusajo = baraka, Ambwene =Ameniona (Mungu), Asajile = Amenibariki, Ambonisye = Ameninusuru, Angetile = Ameniona au Amenitazama, etc
 
Ok Ok nimekupata mkuu maana ya Ambakisye=ameniwazia ,Ambele =amenipa,Undule=unisaidie ,Atupele=Ametupa nadhani umenipata mkuu.
 
Mwa---- manaake son of. Zamani watoto wa kike surnames zao zilikuwa hazina Mwa. Kw mfano: Binti wa Mwakyusa surnames zilikuwa Kyusa. Lakini saasa hivi wakike na wataitwa Mwakyusa.

Given au first names zina maana fulani, na maana yake yanauhusiano ni dini au Mungu. Kwa mfano Andulile maana yake amenisaidia, yaani Mungu amenisaidia, Ambakisye = amenihurumia, Lugano = mapenzi (ya Mungu), Lusajo = baraka, Ambwene =Ameniona (Mungu), Asajile = Amenibariki, Ambonisye = Ameninusuru, Angetile = Ameniona au Amenitazama, etc
Asante K_I kwa ufafanuzi. Ni elimu ya maana sana kwangu.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom