Majina feki ya wasichana wa Dar

Munilla... majina mengine yanakushawish tu utende dhambi dah

Hakyanani.. Munilla ni sawa na kusema "utanila?"
 
Omba majina Amina kawa Amayna,Naima,Clara na Rayyah! Kuna Tayana,Aneth hata bongo kuna Aaliya? Candy Nicole Uenice au labda Marayah.Sikitu hataki jina na Asia anaitwa Eshia
 
Mimi najitambulisha kwa jina langu[Jackline] ila la asili ni Alatunotsa Sanga,ni ngumu kujitambulisha kwa pande za Mijini
Ugumu unakuwa wapi maana haya majina ya kiasili huwa yana maana nzuri sema tu tumeshalishwa kasumba ya kuona majina yetu ya kienyeji ni mabaya , mie la Milimani city naitwa Brown ila hili Jodoki nikiwa uswahilini kwangu
 
Mimi najitambulisha kwa jina langu[Jackline] ila la asili ni Alatunotsa Sanga,ni ngumu kujitambulisha kwa pande za Mijini

Hello J. Unamfahamu Betram Sanga? ama Frank sanga? hawa vijana walisoma Dodoma, ni wenyeji wa mbeya. nawatafuta sana...
 
Back
Top Bottom