Majina 5900 Walioitwa Kwenye Usahili Dodoma

Majina 5900 Walioitwa Kwenye Usahili Dodoma

BAADHI YA MASWALI YA INTERVIEW YA POSTIKODI

1. Explain what is Postal Code.

2. Difference between Longitude and Latitude.
i) Difference between Street and Road.
ii) Difference between House and Household.

3. What is the method used to avoid COVID-19?

---------------------------------------

1. Eleza historia yako kwa ufupi.

2. Andika takwimu za namba 1 hadi 10.

3. Rais wa Tanzania anaitwa nani?

4. Eleza maana ya:
  • Barabara
  • Kata
  • Postikodi
  • Anwani
  • Mmiliki

5. Zoezi la kukusanya taarifa unahusiana na sena?

6. Barua ya kirafiki ina vipengele vingapi?

------------------------------------------

1. Mtendaji wako wa Mtaa anaitwa nani?

2. Mwemyekiti wako anaitwa nani?

3. Kata yenu ina vitongoji vingapi?

4. Diwani wako anaitwa nani?

5. Kata yako ina mitaa mingapi?

6. Ofisi za Kata zipo mtaa gani?

------------------------------------------

Best Wishes..
Kumamaake hapa sitoboi
Hasa hayo maswali sita ya chini
Abisaa
 
usahili wa sensa ama?
Majina 5900 walioitwa kwenye Usahili Dodoma dah
Na wanaohitajika ni 100 tu kati ya hao 5900 Jiulize wangapi watatoboa

Then ukiangalia mikoa mingine hamna watu wengi kiivyo ila watu wamekimbilia Dodoma kama vile ndo wanaajiriwa permanent
Watu wakiskia kazi Dodoma wanaona kama vile wanaenda kufanya kazi Ikulu kila mtu anakimbilia huko Matokeo yake ndo haya watu 5900 na wanahitajika ni 100

Ukiangalia Mikoa mingine inatoa same amount of money na population ni ya kawaida na kunahitaji watu wengi wa kufanya hilo zoezi ila wala wao wanakimbilia Dodoma

Ndo maana mnakosaga kazi hivi kwa kukimbilia sehemu ambazo population ni Kubwa

Mtu anatoka Mtwara anaenda Dodoma kuomba kazi postcode kweli na mtwara zipo hizo kazi

Kazi kwenu Mwishoe mlogane huko watu waende kwenye usahili wamevaa mairizi kila elfu 30 [emoji81]
 
Hata sensa wangefanya hivi tu ili asiwepo wakuilamu tamisemi , bali mwenye usaili ndo uamue.
 
Back
Top Bottom