Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,726
- 1,989
Majina 5900 walioitwa kwenye Usahili Dodoma dah
Na wanaohitajika ni 100 tu kati ya hao 5900 Jiulize wangapi watatoboa
Then ukiangalia mikoa mingine hamna watu wengi kiivyo ila watu wamekimbilia Dodoma kama vile ndo wanaajiriwa permanent
Watu wakiskia kazi Dodoma wanaona kama vile wanaenda kufanya kazi Ikulu kila mtu anakimbilia huko Matokeo yake ndo haya watu 5900 na wanahitajika ni 100
Ukiangalia Mikoa mingine inatoa same amount of money na population ni ya kawaida na kunahitaji watu wengi wa kufanya hilo zoezi ila wala wao wanakimbilia Dodoma
Ndo maana mnakosaga kazi hivi kwa kukimbilia sehemu ambazo population ni Kubwa
Mtu anatoka Mtwara anaenda Dodoma kuomba kazi postcode kweli na mtwara zipo hizo kazi
Kazi kwenu Mwishoe mlogane huko watu waende kwenye usahili wamevaa mairizi kila elfu 30