Majiji ya Dar es Salaam na Mbeya yaongoza kwa kuchangia pato la Taifa

Mkuu mbona mimi sijaiona Mbeya huko TOP popote? au mnatumia data za wapi?

Direct Tax (Regional wise) - Domestic Revenue Department for 2017/2018 Million TShs.
TAX ITEM 1st Quarter 2017/18
July August September Total
Ilala 59,857.4 46,555.9 60,039.3 166,452.6
Kariakoo
Kinondoni 27,193.0 28,265.8 31,084.4 86,543.1
Temeke 12,766.2 11,021.3 17,310.0 41,097.4
Arusha 12,839.0 13,403.5 19,195.0 45,437.5

Coast 1,604.9 1,662.4 2,563.3 5,830.5
Dodoma 2,912.7 2,960.6 3,686.0 9,559.3
Iringa 3,213.7 3,281.6 3,952.8 10,448.1
Kagera 887.0 662.9 1,167.9 2,717.8
Kigoma 707.3 540.6 995.8 2,243.7
Kilimanjaro 3,556.2 3,652.1 5,638.7 12,847.0
Lindi 452.9 294.3 454.6 1,201.8
Mara 1,163.6 776.4 1,661.8 3,601.9
Mbeya 1,882.3 1,828.6 3,262.8 6,973.7
Morogoro 3,977.0 3,759.9 5,179.0 12,915.9
Mtwara 1,210.8 906.5 995.6 3,113.0
Mwanza 4,440.0 4,420.7 8,378.2 17,238.9
Ruvuma 497.3 262.5 1,544.0 2,303.8
Shinyanga 1,978.3 1,358.8 3,322.1 6,659.2
Singida 549.4 624.4 757.9 1,931.6
Tabora 566.8 587.4 1,330.3 2,484.5
Tanga 1,924.5 2,258.8 4,326.9 8,510.2
Rukwa 604.9 722.0 1,054.9 2,381.8
Manyara 911.6 752.8 1,211.1 2,875.5
Kahama
TOTAL (GROSS) 145,696.7 130,559.8 179,112.5 455,369.0
Swali lako lielekeze kwa RC!
 
Mbeya mda wote ni jiji la 2 kwa mapato sababu boarder ya tunduma, boarder kasumulo malawi, Michele, mahindi kahawa n.k hasa boarder coz ndo mpaka mkubwa tanzania unaoingiza mapato
 
Kamwe jiji la Mbeya halizidi jiji la Mwanza katika kuchangia pato la taifa bali ni Mkoa wa Mbeya. Chanzo hasa ni utajiri wa Wilaya zake hasa Wilaya ya Rungwe kuwa na uchumi mzuri.
Siyo tu pato la taifa, hata Fiesta Mwanza kiingilio 10000 lakini Mbeya 20000 unadhani ni kwanini?!!
 
Na nyie limeni viazi basi!
Hatuna utaalam wa kulima viazi, bali tuna utaalam wa we sector ya utalii. Njooni mtufundishe viazi vinalimwaje halafu na sisi tutawafundisha jinsi ya kuifanya Mbeya ivutie watalii wengi waje kuitembelea.
 
UK
Uelewa wa mambo ni janga la taifa hapa TZ. Watu wameshaaminishwa kuwa uchumi = mapato ya serikali.

Hata siku moja haiwezi ikatokeauchumi wa Mbeya ukaupiku Mwanza au Arusha. Sema tu kuwa !beya kuna boda kubwa ya Tunduma inayochangia mapayo mengi ya serikali. Nje ya hapo, bado uchumi Tanzania unachangiwa na Dar, Mwanza, Arusha, Kilimanjaro... halafu wanafuata akina Mbeya na wengine.
Uko sahihi sana, wakitaka kuamini hiyo waangalie data za TRA
 
Siyo tu pato la taifa, hata Fiesta Mwanza kiingilio 10000 lakini Mbeya 20000 unadhani ni kwanini?!!
Kwahiyo wewe naamini wamewachaji Mbeya gharama hiyo kwasababu kuna hela nyingi kuliko Mwanza? Mwanza ni kwa vile fiesta zimeshazoeleka sana sasa jinsi ya kuwavuta watu ni lazima uje na bei karibu na bure. Mbeya walikuwa wanazisikia kwenye bomba tu sasa kwanini wasigombanie? Na kwa kawaida demand ya kitu inapokuwa juu na bei lazima mtandikwe tu.
 
Back
Top Bottom