johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,961
- 141,956
Jiji la Dsm linaongoza kwa kuwa la kwanza kwa kuchangia kiasi kikubwa katika pato la taifa ikifuatiwa na jiji la Mbeya ambalo linashika nafasi ya pili. Hayo yameelezwa na Mkuu wa mkoa wa Mbeya mh Amos Makala katika kongamano la fursa linalodhaminiwa na kampuni ya Tigo na kuendeshwa na CMG. Kongamano hilo lilihudhuriwa pia na Naibu Spika Dr Tulia Ackson. Source Clouds Tv habari!