Majibu ya Zitto kwa Wana-CHADEMA

Majibu ya Zitto kwa Wana-CHADEMA

"Mwanzo walipotufukuza walituambia tukatafute vyama vingine hilo likafanyika, tulipopata vyama vya kufanyia siasa wakasema vipo kwa ajili ya kugawa upinzani, tukasema tupo tayari kuunganisha Nguvu ya pamoja kwa ajili kuiondoa CCM wenzetu pia hili hawalitaki sasa ni wajibu wenu kutambua watu gani hawataki kuiondoa CCM.

Wananchi watambue tuna nia ya dhati lakini wenzetu wanaweka ugonvi binafsi mbele ya maslahi ya Taifa. Sisi ACT wazalendo bado tupo taayari kushirikiana kwa mujibu wa misingi. Shabaha yetu ni moja tu kubomoa mfumo wa uchumi wa kinyonyaji na kifisadi ili kujenga uchumi shirikishi wa wananchi"

By Zitto kabwe kupitia Twiter
Na fedha za Lowasa atalipaje?
Na hao CCM wanaomundalia mikutano na fedha watalipwaje? ZZK ni msaliti mbaya bilblia inatamka wazi kuwa saizi yake ni "kufungwa jiwe kubwa ili atumbukizwe baharini asiibuke tena!! time will tell wait----------
 
We ni mjumbe wa kamati ya chadema au hayo umeambiwa na kama umeambiwa akili za kuambiwa changanya na zako
ZZK yule aliyepewa fedha na Jack Zoka!!?? Huyu huyu aliyekuwa anawahonga wabunge watarajiwa wawaachie CCM majimbo!! Plain stupidity!! GO to hell TRAITOR
 
Tunataka Facts na sio ya kuambiwa na tunahitaji ushahidi wa kuaminika

Ushahidi uko humu ndani ya JF kwani ulitundikwa mapema hata kabla mimi sijaweka hii post. Kuiweka tena hiyo post hapa itakuwa ni redundancy. Just do your homework, utaipata post pamoja na audio. Una mwaka mwaka na zaidi tangu ujiunge na JF, sitegemei kama utakuwa unahitaji manual au guidance on how to search an article hapa JF. If you don't know, mods wapo wanatoa support 24/7.
 
Katika taifa hili ni kosa kabisa kabisa kuwa karibu na maofisa wa usalama wa nchi hii hii....lakini raia hawa wanataka washike dola na kuwa na amiri jeshi mkuu, mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama, wanataka kum-adopt mtoto wasiyempenda kabisa, na halafu tena jemadari mkuu anatutangazia public kwamba nusu ya maafisa hao wanaripoti kwake,,Aaaarrghhhh mimi mnanichanganya. Mnachotaka ni nini na ambacho hamtaki ni nini????
 
Huyu zito ni mbinafsi, mchoyo, mlaghai, mnafiki , msaliti mkubwa. Alikataa kuhusu kuwa na mawasiliano na lowasa fisadi kwamba anataka 700m ili kuendesha mikutano yake sasa jana mungu sio juma wala athuman kajiropokea maskini wa mungu eti lowasa akikatwa jina huko ccm aje act. Sasa alikataa nini kuwa hicho chama hawajakianza na lowasa?
 
Watanzania hatuna chuki binafsi na Zito bali tuna chuki kubwa kwa yale aliyotufanyia. Mengi yamesemwa juu yake lakini hajawahi kuyajibu kwa vielelezo. Hajawahi kueleza kwa ukamilifu hela aliyokuwa akiipokea toka CCM (kwa kupitia maofisa wa TISS) ilikuwa ya nini? Hajawaeleza Watanzania ukaribu wake mkubwa na mawasiliano yake na maofisa wa juu wa TISS yamekuwa yanahusu nini hasa. Mawasiliano na maofisa wa TISS yalioneshwa kwa vilelezo, na hasa yalikuwa wakati wa kipindi cha kampeni kuelekea uchaguzi.

Leo anapotaka kushirikiana na UKAWA, Watanzania watakuwa na uhakika gani kuwa nia yake kubwa siyo kutaka kujua mipango na mbinu za UKAWA kwa manufaa ya wale ambao amekuwa akiwatumikia siku zote, CCM?

Katika taifa hili ni kosa kabisa kabisa kuwa karibu na maofisa wa usalama wa nchi hii hii....lakini raia hawa wanataka washike dola na kuwa na amiri jeshi mkuu, mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama, wanataka kum-adopt mtoto wasiyempenda kabisa, na halafu tena jemadari mkuu anatutangazia public kwamba nusu ya maafisa hao wanaripoti kwake,,Aaaarrghhhh mimi mnanichanganya. Mnachotaka ni nini na ambacho hamtaki ni nini????
 
Hivi hofu iko wapi? Naona kuna jambo haliko sawa na litadhohofisha Ile spirit ya upinzani nakuwapa fulsa maadui waliodumu kwa zaidi ya miaka 50 katika taifa kupata muda wa kutumaliza kabisa.
 
Watanzania hatuna chuki binafsi na Zito bali tuna chuki kubwa kwa yale aliyotufanyia. Mengi yamesemwa juu yake lakini hajawahi kuyajibu kwa vielelezo. Hajawahi kueleza kwa ukamilifu hela aliyokuwa akiipokea toka CCM (kwa kupitia maofisa wa TISS) ilikuwa ya nini? Hajawaeleza Watanzania ukaribu wake mkubwa na mawasiliano yake na maofisa wa juu wa TISS yamekuwa yanahusu nini hasa. Mawasiliano na maofisa wa TISS yalioneshwa kwa vilelezo, na hasa yalikuwa wakati wa kipindi cha kampeni kuelekea uchaguzi.

Leo anapotaka kushirikiana na UKAWA, Watanzania watakuwa na uhakika gani kuwa nia yake kubwa siyo kutaka kujua mipango na mbinu za UKAWA kwa manufaa ya wale ambao amekuwa akiwatumikia siku zote, CCM?
Hivi Mbowe alishajibu kuhusu Tuhuma za MAUAJI YA CHACHA WANGWE!Alimpeleka Zitto MAHAKAMANI?Alishaweka MKATABA wake WAZI(Kati yake na NHC Kuhusu BILICANAS),FUSO mbovu je,Kupewa FEDHA na ROSTAM(2OOM).Mbunge Mkono Je?Tanzania Daima?Nauliza alishaenda MAHAKAMANI,ALITOA MAJIBU?
 
Aisee Zitto ana akili nyingi zingekuwa zinagawiwa ninge muomba ampimie kilo moja Mnyika na Mbowe wagawane!

Kijana yuko makini na ni mzalendo wa kweli...

Wewe amekugaiya akili kiasi gani coz inavyoonekana huna akili kabisa.
Sasa unamshabikia zitto, ACT au CCM?

Hamjielewi mnachokifanya
 
Zito atakutana na upinzani amabao hajawahi kuuona ndani ya nchi hiii. Hawez kutusaliti vijana wenzake hivihivi kirais alafu sie ma interlectual tunyamaze. Alitufundisha kutokunyamaza pale pa ukwel so hatutamfumbia macho kwa usaliti alioufanya ndani ya chama kubwa makini kinachowakomboa watz wa leo. Kuna watu wanamfuata ila hawajamjua sie tunao ona mbali tayari tulishamjua toka zaman. Atajuta kuwa act. Nahisi hata mama yake hakuwahi kumshauri kuachana na chadema. Atajuata
 
yani wewe sijui muhaya wa wapi, hivi kwanini mnatumia nguvu nyingi kumkubali zzk watu wa ccm, wakati act ni upinzani. kweli mahaba niue.

Mkuu huyu hawezi kuwa muhaya pyua,huyu ni fisadi na msaliti,muhaya gani ata kuangalia picha ya chooni hajui mbali naktojua kusoma mpaka kaingia choo cha kike,huyu ni mchanganyko wa uzao wa J.Rugemarila na A.Tibaijuka.
 
Aisee Zitto ana akili nyingi zingekuwa zinagawiwa ninge muomba ampimie kilo moja Mnyika na Mbowe wagawane!

Kijana yuko makini na ni mzalendo wa kweli...

Ni mzalendo kweli...Na sisi wana CCM wote tutampa kura zetu
 
Wewe zitto ww Acha unafki na hutojificha lazima watanzania watakujua tu
 
Kiongozi mkuu na mzalendo,tunaomba vyanzo vya mapato yako katika kuendesha chama.
 
“Mwanzo walipotufukuza walituambia tukatafute vyama vingine hilo likafanyika, tulipopata vyama vya kufanyia siasa wakasema vipo kwa ajili ya kugawa upinzani, tukasema tupo tayari kuunganisha Nguvu ya pamoja kwa ajili kuiondoa CCM wenzetu pia hili hawalitaki sasa ni wajibu wenu kutambua watu gani hawataki kuiondoa CCM.

Wananchi watambue tuna nia ya dhati lakini wenzetu wanaweka ugomvi binafsi mbele ya maslahi ya Taifa. Sisi ACT wazalendo bado tupo taayari kushirikiana kwa mujibu wa misingi. Shabaha yetu ni moja tu kubomoa mfumo wa uchumi wa kinyonyaji na kifisadi ili kujenga uchumi shirikishi wa wananchi”

By Zitto kabwe kupitia Twiter

Hivi mtu anakuwa mzalendo kwa kauli mbiu, hivi mtu anakuwa mzalendo kwa kujiita "mzalendo"! Hivi kuna wazalendo wangapi wa kupigia mfano ndani ya ACT. Au mtu kujiunga na hichi chama by default u become "mzalendo"!
 
Aisee Zitto ana akili nyingi zingekuwa zinagawiwa ninge muomba ampimie kilo moja Mnyika na Mbowe wagawane!

Kijana yuko makini na ni mzalendo wa kweli...
Angempa Vasco da Gama ili aelewe safari zake zinaitia nchi umasikini
 
Ulevi wa Mbowe, Slaa, Lema, Mnyika na vijibwa vyao ndiyo unaiua demokrasia Tanzania. Walaaniwe na kila mtanzania mpenda demokrasia ya kweli
 
Back
Top Bottom