Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

mwacheni kiongozi,watu wanatapatapa hawana pa kushika,tuache kuzushiana wadau haina msaada wowote ile.majibu mazuri nimefurahi kwa kweli

Once muongo always muongo.
Atujibu na kwa nini kuna tofauti ya tarehe za kuzaliwa katika vyeti vyake vya shule?
ImageUploadedByJamiiForums1476885180.543203.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1476885200.525410.jpg
 
Mimi niliacha shule kwa mara ya kwanza 1984 baada ya kuanza na kaka yangu aitwaye Jugulu, mzee akasema tupeane zamu, nikaacha. Nikaanza 1985, nikaachia darasa la tano nikaenda kuchunga miaka kama miwili. Nikarudi tena baada ya mifugo kuanza kufa sana, mzee akashauri awekeze kwenye elimu. Walimu walikuwa wanashinda nyumbani kumsihi anirudishe shule, ndio nikarudi na nikachukua majina ya daktari.

Mkuu hilo la kubadili jina kwa kurudi shule halijakaa sawa. Kwa nini hukutumia jina lilelile uliloachia shule? Nini kilikusukuma mpaka kubadili jina wakati wa kurudi shule?
kwa heshima na taadhima kiongozi, hapo hapajakaa sawasawa. labla kama utasema ulimaliza, ukapiga mweleka then ukarudia na kubadili jina. Hapo sawa. vinginevyo maneno yko bado yana mashaka.
kwanza aliporudi baada ya miaka miwili tayari wenzake hawakuwepo walikuwa washamaliza shule, hivyo alikaririshwa darasa, akubali kuwa alifeli akalamba jina la msukuma, labda nesi ndiye aliyemtafutia msukuma huko kwao akaliamishaia shule anayodaiwa kusoma ili aonekane mpya.
 
Nazidi kujifunza lakini bado sijakuelewa mkuu... Why kasoro mingi mingi namna hii.

By definition you are a liar
 
Salama comrades?

Nimeiona thread hii: Mwigulu, Kigwangalla, Makonda jibuni tuhuma hizi nzito, aliyeandika naona hajui historia yangu.

Ni vema kuweka rekodi sawa:
Kwanza anasema nilikuwa nanaitwa Lameck Madelu Mkumbo, sasa moja Lameck sio jina la kinyiramba, na Madelu sio jina halisi la baba bali ni utani kuwa ana ndevu nyingi, yaani ni mandevu, ndio maana hata kwenye ubunge nililiongeza tu kama a.k.a ili watu hasa wazee wanifahamu hili haliko kwenye vyeti.

Hili la Lameck siyo jina la kinyiramba ni jina la daktari aliyenipokea zahanati ya Iliyopo kijiji cha Mukulu, daktari tunaita hivyo lakini ni Nesi ndiye aliyekuwa anaitwa Mwigulu na jina la kizungu Lameck. Mimi nilipelekwa hosipital nikiitwa Mugulo na jina la ukoo kwa watoto wote wakiume ni Shumbi ambalo hata hivyo wanatumia wazee tu wanaojua kinyiramba hilo ndio jina la kinyiramba. Mama akaulizwa jina akanitaja Nesi yule akamwambia mama unamwitaje jina hilo hakuna lingine mama akamwambia hakuna labda mtaje wewe, basi jamaa akajitaja. Hili lilikuwa jambo la kawaida sana kijijini kwani familia inakuwa na watoto wengi mpaka majina inakuwa sio jambo la kujali sana. Hata pale kijijini kuna wengine waliotajwa majina ya waganga wa kienyeji wazee walikopewa dawa, majina ya manesi/matabibu kama mimi, majina ya walimu nk.

Kuhusu Elimu:
Mimi niliacha shule kwa mara ya kwanza 1984 baada ya kuanza na kaka yangu aitwaye Jugulu, mzee akasema tupeane zamu, nikaacha. Nikaanza 1985, nikaachia darasa la tano nikaenda kuchunga miaka kama miwili. Nikarudi tena baada ya mifugo kuanza kufa sana, mzee akashauri awekeze kwenye elimu. Walimu walikuwa wanashinda nyumbani kumsihi anirudishe shule, ndio nikarudi na nikachukua majina ya daktari. Mtu asichanganye kuona ni udanganyifu, mimi sijachukua vyeti vya mtu. Nimefanya mitihani tena kwa kupiga na picha za passport ili mtu asitumie haki ya mtu mwingine aliyefaulu, na mpaka sasa naona ni struggle za mfano kuwa nilisoma kwa mazingira ya kutoka kuchunga na kurudishwa shule na kufaulu mwenyewe.

Kwa anayetaka kuthibitisha haya anaweza kuwauliza niliosoma nao shule ya msingi.

Comrades, kwa mawazo yangu kosa ni mtu kuchukua nafasi ya mtu aliyefaulu na kwenda yeye, hapo ni kuiba haki ya mtu. Najua hii ilikuwa ikitokea baadhi ya maeneo, mtu anafaulu ila anakuwa hataki kwenda shule au amefariki then anakwenda mwingine. Mimi sijawahi chukua nafasi ya mtu. Halafu watu wanasema jina la mtu, labda kama wanamaanisha tofauti na wizi wa jina kwani kila mmoja hapo alipo ana jina la mtu, yaani atakuwa John wa biblia, Mohamed wa quran, litakuwa la babu, la bibi, la mganga, la daktari, la rafiki, la kiongozi, la tukio nk.

Nijuavyo, jina unakula kiapo tu kama sio la kwako kisheria na unatumia, na hata sasa nikitamani jina jipya nakula kiapo na kutangaza gazeti la serikali na lisipopingwa ndio linakuwa jina langu jipya.

Hoja ni kama mtu kapora cheti cha mtu, kapora nafasi ya mtu mwingine aliyefaulu akaenda kuisomea yeye. But, things do change pia kutokana na nyakati na mazingira

Mwigulu,
Mkuu umefanya vizuri kutuelekeza. Binafsi nimeelewa na nimependa maelezo yako

Naomba kakitengo kokote basi

Ukikakuta ka kunipatia PM me Sir.

Salama comrades?

Nimeiona thread hii: Mwigulu, Kigwangalla, Makonda jibuni tuhuma hizi nzito, aliyeandeika naona hajui historia yangu.

mkuu bwana Mwigulu hivi ulipo katiza masomo ulikuwa na jina jingine na ulipo rudi ukatumia jina jingine swali linakuja je uliendelea na darasa uliloachia kwa jina jipya au ulianza.darasa la kwanza kwa hilo jina la nesi dokta?
 
m
Kitu kingine tu niwambie comrades
Historia yangu haiwezi kufichika kwa kuwa shule ya msingi nilikuwa maarufu mno sio tu kijijin kwangu bali mpk vijiji jirani kwa ajili ya mitihani ya ujirani mwema, watu walitoka vijiji vingine kuja kufanya discusion na kusolve past papers, wanafunza wa vijiji vingine pia walinijua.
Nilishiriki UMITASHUMTA na nikiwa kinara huwezi jificha

Ilboru nilifahamika sana hakuna mtu hakunijua wanailboru watasema nilikuwa kaimu kaka mkuu wa kwanza tokea o level hakutokea mtu tangu shule ianzishwe.

Mazengo nilifanya Mock ya form six nikiwa form five na nikaongoza sawa na form six wa kwanza na mpk chuo.

Ubunge nilipata kutokana na kujulikana tangu mdogo, Hivyo niseme tena hamna namna naweza kujificha kwani nilijulikana tangu shule ya msingi
mkuu kuna post ya ID frank haijajibiwa
 
Hata mimi ki utu uzima nimemuelewa,mambo mengine itakuwa ufukunyuku tu,tuendelee kupiga kazi!
Mkimuelewa waziri wetu kwenye hili, basi muwaelewe wote wenye vyeti siyo vyao na majina siyo yao...

Unajuwa kwenye process ya kusoma shule, kama katika steji moja ulipita visivyo halali, basi madarasa yote uliyofika kwa kuwezeshwa na steji isiyo halali, NAYO YANAKUWA SI HALALI... MI NAIONA NI KAMA KUTAKATISHA FEDHA....
 
Kwema mkuu Shumbi?

Kwanza nikupongoze kwa ujasiri wa kujitokeza hadharani na kujibu tuhuma hizi. Hakika huo ni ukomavu na uungwana uliotukuka.

Nimefurahi pia kujua maana ya neno Mwigulu na Madelu leo. Asante sana. Ila mzee, hapa tutakutwanga tu maswali kwa heshima na taadhima. Usitukimbie tafadhali..

Sasa mie swali langu ni moja tu hapo kwenye kuamua kuchukua majina ya huyo nesi/daktari.

Ninachouliza, yeye hakuwahi kusoma? Na kama alisoma alitumia majina gani? Huoni kwamba utakuwa umechanganya kuchukua jina lililowahi tumika kutahiniwa? Nadhani hapo ndio msingi wa maswali haya kuibuka...

Iliwezekanaje kutumia majina ya daktari kwenye taaluma ilihali na yeye aliyatumia pia?
Majina hufanana kisha kutofautishwa na namba za mtahiniwa (Index Number).

Maswali mengine jiongeze tu
 
Kama huu mjadala wa Mwigulu ndo kwanza umeuona hapa hutajua cha kuchangia ila kama umefuatilia thread mbili kabla utaelewa amejitetea nini kukusaidia nitakuwekea link zake pale juu sasa hivi vinginevyo huna sababu ya kuuliza kwa jazba.

Niwekee hizo link, halafu ufanye haraka dogo.....tehtehtehteh
 
Salama comrades?

Nimeiona thread hii: Mwigulu, Kigwangalla, Makonda jibuni tuhuma hizi nzito, aliyeandika naona hajui historia yangu.

Ni vema kuweka rekodi sawa:
Kwanza anasema nilikuwa nanaitwa Lameck Madelu Mkumbo, sasa moja Lameck sio jina la kinyiramba, na Madelu sio jina halisi la baba bali ni utani kuwa ana ndevu nyingi, yaani ni mandevu, ndio maana hata kwenye ubunge nililiongeza tu kama a.k.a ili watu hasa wazee wanifahamu hili haliko kwenye vyeti.

Hili la Lameck siyo jina la kinyiramba ni jina la daktari aliyenipokea zahanati ya Iliyopo kijiji cha Mukulu, daktari tunaita hivyo lakini ni Nesi ndiye aliyekuwa anaitwa Mwigulu na jina la kizungu Lameck. Mimi nilipelekwa hosipital nikiitwa Mugulo na jina la ukoo kwa watoto wote wakiume ni Shumbi ambalo hata hivyo wanatumia wazee tu wanaojua kinyiramba hilo ndio jina la kinyiramba. Mama akaulizwa jina akanitaja Nesi yule akamwambia mama unamwitaje jina hilo hakuna lingine mama akamwambia hakuna labda mtaje wewe, basi jamaa akajitaja. Hili lilikuwa jambo la kawaida sana kijijini kwani familia inakuwa na watoto wengi mpaka majina inakuwa sio jambo la kujali sana. Hata pale kijijini kuna wengine waliotajwa majina ya waganga wa kienyeji wazee walikopewa dawa, majina ya manesi/matabibu kama mimi, majina ya walimu nk.

Kuhusu Elimu:
Mimi niliacha shule kwa mara ya kwanza 1984 baada ya kuanza na kaka yangu aitwaye Jugulu, mzee akasema tupeane zamu, nikaacha. Nikaanza 1985, nikaachia darasa la tano nikaenda kuchunga miaka kama miwili. Nikarudi tena baada ya mifugo kuanza kufa sana, mzee akashauri awekeze kwenye elimu. Walimu walikuwa wanashinda nyumbani kumsihi anirudishe shule, ndio nikarudi na nikachukua majina ya daktari. Mtu asichanganye kuona ni udanganyifu, mimi sijachukua vyeti vya mtu. Nimefanya mitihani tena kwa kupiga na picha za passport ili mtu asitumie haki ya mtu mwingine aliyefaulu, na mpaka sasa naona ni struggle za mfano kuwa nilisoma kwa mazingira ya kutoka kuchunga na kurudishwa shule na kufaulu mwenyewe.

Kwa anayetaka kuthibitisha haya anaweza kuwauliza niliosoma nao shule ya msingi.

Comrades, kwa mawazo yangu kosa ni mtu kuchukua nafasi ya mtu aliyefaulu na kwenda yeye, hapo ni kuiba haki ya mtu. Najua hii ilikuwa ikitokea baadhi ya maeneo, mtu anafaulu ila anakuwa hataki kwenda shule au amefariki then anakwenda mwingine. Mimi sijawahi chukua nafasi ya mtu. Halafu watu wanasema jina la mtu, labda kama wanamaanisha tofauti na wizi wa jina kwani kila mmoja hapo alipo ana jina la mtu, yaani atakuwa John wa biblia, Mohamed wa quran, litakuwa la babu, la bibi, la mganga, la daktari, la rafiki, la kiongozi, la tukio nk.

Nijuavyo, jina unakula kiapo tu kama sio la kwako kisheria na unatumia, na hata sasa nikitamani jina jipya nakula kiapo na kutangaza gazeti la serikali na lisipopingwa ndio linakuwa jina langu jipya.

Hoja ni kama mtu kapora cheti cha mtu, kapora nafasi ya mtu mwingine aliyefaulu akaenda kuisomea yeye. But, things do change pia kutokana na nyakati na mazingira

Mwigulu,
Mheshimiwa mbona umepata kigugumizi? wajibu basi wana jamvi maswali yao ili waondoe dukuduku, maana inaonekana kuwa maelezo yako hayakukamilika. Hivi ulidhani kuwa wana jamvi hapa ni watu wasiokuwa na upeo? na ndiyo maana ukaleta hayo maelezo yako yanayochanganya changanya hapa? Kama ingekuwa umeyatoa pale kariakoo sokoni basi hakuna shaka usingepata challenge zozote, lakini hapa siko. Tafadhali wajibu basi hao vijana hayo maswali yao ili tuujue ukweli.
 
Back
Top Bottom