SIMEON KATATANAMA
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 479
- 277
Kigwangalla ukimaliza Kujibu hilo soo, jibu na hili na ufujajiView attachment 92231
..huyu kijana muhuni....anataka kudanganya watu..anafikiri wote mazuzu humu....Ukitazama majibu yake anaandika utafikiri hajasoma chuo...daktari mzima aibu tu....Majibu yake anadanganya..maana anajua hata lengo la kutaka kuanzisha chuo ni la kibinafsi...yaani anatumia njia ya kudanganya anaanzisha chuo ili apate hizo tax weivers.....at the end of the day anajipatia materials kwa ajili ya biashara zake.....otherwise kuna sababu gani kwa yeye kudanganya umiliki wa hisa kwenye kampuni yake na mkewe???.....hakuna kinachoweza kuelezea hilo zaidi ya usanii.....kama kawaida yao....huwa wanaanza hivi hivi hawa.....mwishowe wanakua mafisadi wakubwa.....kwa kupitia ccm yao.....
Tutafika hatua hata Tanzania ikibainika kukiuka sheria za kimataifa rais atasema siyo mimi ni watendaji wa IKULU! siku zote nasema 'huwezi kulala na maiti bila kulia'.kampuni yako ikibainika kuiba na kukiuka sheria basi mwizi ni wewe mmiliki,msitufanye wajinga bwana
Hamisi Kigwangallah ni Mbunge, Kitendo chakuja jamvini kudanganya watu kwa sababu ya stori iliyoandikwa na gazeti la Tanzania daima, na kumbeza Mwandishi wa stori hiyo kuwa amedanganya. Sijui Mwandishi huyo kama ataendelea au ataacha, ila kwa sababu ya uongo uliozushwa na Kigwangalla anayejiita Mwadilifu. Huyu kijana ni Mwizi, anadharau watanzania kwa kuwaona ni wajinga, wasio na akili. Kwa maneno yake mwenyewe kwenye tamko lake amesema anamiliki 40%, na 11% ni za mke wake. Aje jamvini kama alivyofanya jana aseme amedanganya TIC au amedanganya jamvini, na kwa manufaa gani anahadaa watu jamvini.......... sio mwadilifu, ananitishia maisha sasa. angalieni mnaomwona Kigwangalla kuwa wa maana kumbe ni wale wale tu, anamtukana mwandishi wa Tanzania daima, kale kajamaa ka Tanzania daima kako makini Kigwangalla omba radhi jamvini, jiuzulu utumishi wa umma, umejivunjia heshima
Sasa kama huna sababu ya kuthibitisha lolote kwa yeyote humu nini kimekufanya uandike mgazeti wote huo na kuuweka humu? Si ungeandika na kubandika huko kwenye litovuti lako la www.hamisikigwangalla.com....
CCM kama chama imeingiaje kwenye hii issue?. Mbona umeamza kuifunika blanketi kwa mambo yanayohusu mtu binafsi. Kwa hiyo unataka CCM ijibu tuhuma za HKigwangalla?
Hamisi Kigwangallah ni Mbunge, Kitendo chakuja jamvini kudanganya watu kwa sababu ya stori iliyoandikwa na gazeti la Tanzania daima, na kumbeza Mwandishi wa stori hiyo kuwa amedanganya. Sijui Mwandishi huyo kama ataendelea au ataacha, ila kwa sababu ya uongo uliozushwa na Kigwangalla anayejiita Mwadilifu. Huyu kijana ni Mwizi, anadharau watanzania kwa kuwaona ni wajinga, wasio na akili. Kwa maneno yake mwenyewe kwenye tamko lake amesema anamiliki 40%, na 11% ni za mke wake. Aje jamvini kama alivyofanya jana aseme amedanganya TIC au amedanganya jamvini, na kwa manufaa gani anahadaa watu jamvini.......... sio mwadilifu, ananitishia maisha sasa. angalieni mnaomwona Kigwangalla kuwa wa maana kumbe ni wale wale tu, anamtukana mwandishi wa Tanzania daima, kale kajamaa ka Tanzania daima kako makini Kigwangalla omba radhi jamvini, jiuzulu utumishi wa umma, umejivunjia heshima
Kazi ipo mwaka huu!! Hawezi kurudi hapa , kwa ushahidi wote huu uliomwagwa.
Labda kwa ID nyingine.
Nakuona hapa chini mzee marcopolo tetea vijana wako.