Majibu ya swali la akinadada: Umenipendea nini?

Majibu ya swali la akinadada: Umenipendea nini?

cku zote mwanamke anatka kudaganywa so hta ukimwambia ukimwambia ukweli unapenda tabia zake na muonekano wake atahisi unamdanganya so just be free n tell her anything that comes out of your mouth iwe ukweli au uongo atajua hkohko bt soon ata realize akiingia ktk penz lako.
 
mkuu ,honestly ukiweka picha yake ntakushauri kirahisi.
 
we hujui unatizama kibaya kwake afu unasifia. mfano kama ana pengo "unajua huo mwanya wako cjui jino lilitoka na jinsi unavotabasamu mi ndo nikaapa kukupata"
 
Back
Top Bottom