Majibu ya Serikali (Wizara ya Nishati na Madini) kuhusu ripoti ya PAC juu ya Tegeta Escrow Account

Wewe ndie ulie bwabwaja kama huyo prof wako

Jibu swali wee mburula, hicho cha moto ndio huku ku-post vimaneno maneno ukiwa nyuma ya keyboard? Sasa kama unajiamini hebu thubutu uje uone kilichomfanya kuku kuanza kutaga!
 
yaani jamaa mjinga kweli huyu Muhongo,kama ni hivyo basi wafanyakazi wangekuwa hawakatwi PAYE ila wangekuwa wanalipwa hela zote halafu badaye ndo walipe kodi
Mtakuwa mmeelewq kinyume nyume kama ndugu yenu Mbowe. Anakimbilia kumtaka Pinda ajiuzuru bila ya sababu
 
10678720_912720585406026_8212854347052665787_n.jpg
 
Sasa kama walikuwa wanazomea wewe ulitaka afanyeje?

Wamemzomea sababu alichokuwa anaongea yeye mwenyewe alikuwa haelewi na hata wewe pia sema tu uko kazini hauna namna lazima uwe upande wake ila naamini una id nyingine unayotumia kuwaponda ccm wenzako na kuwaelimisha watanzania vizuri
 
Hawana hoja zozote za kumrarua Prof. Wao uwezo wao upo kwenye kusoma taarifa waliyoingizwa chaka na iliyojaa ushabiki wa kipuuzi

Uchunguzi mwingine unahitajika. Tanesco na Wizara walikuwa wapi mpaka gharama za mkono advocates zikafikia 60+ billions? Je mkataba wa kumpa kazi mkono ulikuwa unazumgumziaje kuhusu malipo? Huu ni uzembe mwingine wa wizara na Tanesco.
 
Ukweli kutoka moyoni prf muhongo anaakili kuliko wanasiasa wote baada ya jk wengine wote wako nyuma yake.
 
imekua vat tena?,si mlisema zote ni za umma?
Mkuu, hawa jamaa wamekuwa vigeu geu. Yaani wamesikiliza majungu ya akina Zitto ndo wakayaamini. Haya leo wameambiwa ukweli hawataki kuuamini na wanabadili misimamo
 
Issue ambayo spika amekosea hapa ni kwamba serikali ilitakiwa kuja na majibu "Concrete" kuhusu report ya PAC na sip kumuacha mtu mmoja ajitetee ndio maana ameishia kumshambulia Mkono karibia report nzima kitu ambacho hakikuwemo kwenye report ya Zito.Tinahitaji majibu sahii kuhusu issue za msingi has a swala la money laundering.. Kwa stahili hii hilo swala haliwezi isha kwani kesho Werema na Mama Tibaijuka nap watataka kupewa nafasi ya kujitetea....
 
Muhonga hana hoja ya msingi..
Yani mtoe pesa halafu uwaambie TRA waende kudai PAP napesa zilikuwa BOT huu siuwendawazimu..

Hapo nimeshangaa hadi Nikakereka. TRA Walishatoa taarifa mapema kabisa.Nilitegemea Wizara ingerahisisha kazi ya TRA
 
Cjapenda kelele za wabunge hapa mwisho huku wakimjua vizuri Bi.Kiroboto.Wangesikiliza huyo muongo amalize,then wamjibu!What they did was not good according to me!

Usiwalaumu tatizo ni MIHEMUKO,si unajua hii kitu imepigwa dana dana sana kwa upande wa Spika mwenyewe na serikali.

Lakini kuna maeneo mengi amejifunga zaidi ila ngoja tuone.
 
Back
Top Bottom