Majibu ya Reginald Mengi juu ya Gesi kwa Profesa Muhongo

Majibu ya Reginald Mengi juu ya Gesi kwa Profesa Muhongo

Mimi huwa sishangai binadamu anapobadilika bali huwa namshangaa na kumuona wa ajabu binadamu asiyebadilika.

Ningeshangaa sana kumuona Prof. Muhongo wa wakati ule mitaani mpaka sasa hajabadilika.

Kila nikiona mabadiliko ya kiutendaji kwa binadamu huwa ninamkumbuka mwalimu wangu wa shule ya msingi ambaye yeye alikuwa anawateua wale wanafunzi watukutu na wafanya fujo darasani kuwa ni ma-monitor wa darasa ili wafahamu ugumu wa kazi na vile vile mwalimu aondokane na adha ya kupambana nao. Kilichokuwa kinatokea ni wao kubadilika kwa haraka sana mpaka wanafunzi wengine lilikuwa wanapata wasiwasi na mabadiliko yao ya kutoka utukutu na furugu darasani mpaka kuwa zaidi ya watu wanyeyekevu darasani.

Prof. Muhongo wakati akiwa nje ya utendaji serikali alikuwa kinara wa kubainisha makosa na ufumbuzi wake, na kwa kufanya hivyo, he was pain in the government ass na serikali kwa kutambua hivyo, kwa kupitia uwezo wa Rais kisheria, akapewa wizara hiyo kuisimamia. Matokeo yake ndiyo haya tunayoyajengea hoja. 'Amebadilika'.

Huyu Muhongo anaongeza idadi ya viongozi mizigo na wanaomuangusha raisi. Sijui kuna mdudu gani kwa watanzania wenzetu hawa. Ni wazi kuwa jamaa anaendeshwa na mtu/watu au vitu na kushindwa kusimamia wizara kama raisi alivyotarajia wakati anamchagua.
 
Hapa hamna sababu ya kuharakisha, sera iandwaliwe na kuridhiwa na wadau wote.

Tayari biashara ya gasi inaendelea huko kusini ambayo imetokana na sheria hiyo ya mwaka 1960 na sera zilizo kuwepo. Tuipe muda wakati tunaandaa hizi mpya tuone mafanikio yake. Ingawaje tumesha ona baadh i ya mafanikio yake kwa kilichotokea kwa wananchi wa mikoa ya kusini. Ikiwa ni pamojo na wananchi kuuwawa na mali kuharibiwa. Ni bahati mbaya kuwa sasa hivi huyu prof na serikali wanajidai kusahau.

Lakini TPSF na wananchi wengine waangalie uwezekano wa kwenda mahakamani kuuzuia huu mchakato wa sasa mpaka hapo sera na sheria zitakapo badilishwa.
 
Ni nchi nyingi sana awana mchezo na Oil and Gas...Petrobras ni ya serikali ya Brazil....na ni one of the best employers Brazil...

Hata mimi am against ubinafsi....

Njia pekee ya nchii kufaidika na hazina ya mafuta ni kwa seckta hii kumilikiwa na Watanzania kupitia serikali yao. Serikali lazima ichukue hisa za hazina hii ya mafuta. Sharti la kwamba serikali isifanye biashara sio sawa. Makampuni ya Royal Dutch Shell ya Uholanzii na BP ya Uingereza yana milikiwa na serikali za nchi zao
Hivyo ni lazima serikali ianzishe au ilitumie shirika la TPDC kumiliki na kuendesha mambo haya ya mafuta
Kumilikisha wageni sio sahisi kabisa ni sawa na UHAINI na kuwamilikisha wazawa wachache sio sawa pia.
Serikali lazima iingie katika biashara hii kwa undani kabisa na kujiamini.
Kina Mengi na wenzao tunatakiwa kuishinikiza serikali wamiliki biashara hii wenyewe kama wenzetu wana vofanya.Tuache ubinafsi wa wachache kuja kumiliki utajiri ..utakuja kutumbukia nyongo….na si kwa faida ya wote…HII MALI SERIKALI PEKEE NDIO ITAKUA MWARUBAINI….UBINAFSI USIPEWE KIPAUMBELE …NA WAGENI KUMILIKISHWA UPINGWE PIA.

Mfano wa Oman wanazo kampuni mbili – 2 za mafuta na zote serikali ya nchi hio ina hisa na nyengine wanaimiliki yote.


1. Petroleum Development Oman (PDO) is the foremost exploration and production company in the Sultanate. It accounts for more than 70% of the country's crude oil production and nearly all of its natural gas supply. The Company is owned by the Government of Oman (with a 60% interest), Royal Dutch Shell (34%), Total (4%) and Partex (2%). The first economic oil find was made in 1962, and the first oil consignment was exported in 1967


1967

The first export cargo of Omani oil – 543,800 barrels – is loaded onto a tanker.

1974

The Government acquires a 60% stake in the Company.

2. Oman Oil Company S.A.O.C. (OOC) is a commercial company wholly owned by the Government of the Sultanate of Oman. The Company was incorporated in 1996 to pursue investment opportunities in the energy sector both inside and outside Oman. Through participation in energy and energy related projects, the Company plays an important role in the Sultanate's efforts to diversify the Omani economy and to promote Omani and foreign private sector investment.
 
Mbona sijaona alipojibu tuhuma za vitalu 59 kama ni kweli alivichukua na hajaviendeleza, Aisee mwambieni meku kuwa kula chakula na walemavu haiwezi kumkingia ufisadi kama hata-come clean. Mwambieni atuelezee hivyo vitalu alivyohodhi ameviendelezaje? Huku kutlia kwake kutukumbusha kuwa anakulaga na walemavu sisi tutamuona kama msanii tu.

Kwa kweli hata mimi hilo, Mengi amejibu kwa kubumbabumba, na hapo ndipo nashindwa kumsafisha!
naomba nimuulize swali! MENGI Vitalu 59 umevishikilia au laa! na je kama umevishikilia je umeviendeleza?

 
Huko nyuma kuna mkataba kuhusu madini ulisainiwa huko London, ili uwahi kabla ya sheria mpya ya madini kupitishwa.Huo mkataba ulikuwa unahusu mgodi wa Kahama. Kila mfuatiliaji wa masuala haya anajua kilichofuatia, na yupi anafaidi matokeo ya ule mkataba. Tuliambiwa kuwa makosa hayo ya mikataba bila kuwa na sera yenye manufaa kwa taifa, hayatarudiwa.

Leo tena, naona part II ya sinema ile ile inajirudia. Haraka ya nini? Yataoza hayo madini? Kwa nini lakini? Tuna matatizo gani? Au ulimbukeni unatusumbua?
hapo kwenye RED ndo tunapojikuta kila siku tunashika mkia na wakati tuna kila sababu ya kuongoza.
haraka ya nini? kweli hatuna haraka? siamini hili. tutakaa na madini ardhini mpaka lini? kwa nini kitu kinachowezekana leo kingoje kesho? tutangoja mpaka lini? hata kama madini hayaozi hiyo siyo justification ya kuyafanya yaendelee kubaki ardhini. Tunapata faida gani kama taifa madini yanapoendelea kubaki ardhini? au tuna mpango wa kuuza ardhi yetu hapo baadae tuseme kuwa itakuwa na value kubwa sababu ina madini? tuamke sasa.
Mimi naona tunachopaswa kupigania, kama watanzania, wazalendo, ni kuhakikisha hayo madini yanatoka kwa utaratibu unaofaa ili nchi kama nchi inufaike na hilo.
Tunatakiwa kuwashinikiza hawa "watawala" wetu wafanye maamuzi kwa ajili ya Taifa, siyo kuwaambia wasubiri.....
 
I never knew kama Prof. Muhongo anaweza kubadilika kwa muda mfupi namma hii...kweli PESA ina nguvu.
Yaani jamaa wamempa rushwa sasa wanam-remote mpaka anaugaragaza utu wake na usomi wake kiasi hiki?

I dont trust any dude from CCM! they are all peice of craaap....
 
Tafsiri rahisi ya kuingia mikataba ya mafuta na gas bila ya nchi kuwa na sera, ambayo ni muongozo wa kusema sisi kama taifa maono yetu na gas ni moja, mbili, tatu.. n.k tafsiri iliyo rahisi kabisa nikwamba sisi hatuna malengo yoyote na gas na mafuta tutakachopata ndo hicho hicho... Serikali ya CCM imelifanya hili taifa kupoteza hadhi ya heshima ya kuitwa taifa huru..
 
Kuna makala ya Balozi Juma Mwapachu inaendelea Citzen on Sunday newspaper analiliaa rasilimali za taifa kwa ajili ya uwezeshaji kiuchumi wazawa!!Ina uhusianooo na ufafanuzii wa haya malumbano ya Prof Muhongo na Dr Mengi???
Bottom line Prof katumia lugha ya kejeli kwa watanzania wenzake,kosaa...
Sikatai wazo la Mwapachu ambalo linashabihiana na kilio cha Meku,lakini pia sikatai mwekezaj wa nje akija iwapo anawanufaisha wazawa au taifa,ila tujikumbushe kelele za Iddi Simba za 'WAZAWA' na madhila aloyafanya kwenye UDA,then uwekezaj wa sera ya CCM kwa kinachoonekana kwenye madini,utalii na kwingineko,kisha tukae chini tujiulize na wabunge wakae chini bila kupigana wajiulize,ZIPI PUMBA UPI MPUNGA,YAPI MAPEPE
 
Norway gives $4.9mln to AfDB to help break ‘resource curse'

Source: Thomson Reuters Foundation - Mon, 2 Sep 2013 04:51 PM

LONDON (Thomson Reuters Foundation) - Norway has agreed to give $4.9 million to the African Development Bank (AfDB) to help African governments negotiate "fair and balanced" deals with oil, gas and mining companies operating on the continent, the bank said on Monday.
The money will go to the African Legal Support Facility, a body set up by the AfDB to help African governments hammer out complex commercial deals.
"Norway is seeking to help turn Africa's ‘resource curse' into a ‘resource blessing' by supporting the negotiation of better contract terms," Norway's minister of international development, Heikki Eidsvoll Holmas, said in a statement.
The ‘resource curse' describes the phenomenon of countries rich in natural resources that often have significant governance problems, high levels of corruption and widespread poverty.
"The aim is for the countries to strengthen their own revenues and economies, and in the long term for them to be able to manage without aid," Holmas added.
‘Governance and accountability' is one of the AfDB's five 2013-2022 strategic priorities and improved governance in the extractive sector is expected to play a significant part in that effort.
The Democratic Republic of Congo, for example, lost at least $1.36 billion in potential revenues between 2010 and 2012 due to cut-price sales of mining assets to offshore companies, according to a report from the Africa Progress Panel, led by former United Nations Secretary-General Kofi Annan.
"This work also enhances financial transparency surrounding contracts which are crucial to be able to uncover and stop illicit financial flows," Holmas said. "Every year, 10 times as much money disappears out of developing countries through illicit financial flows as is received in the form of aid and development support."
The AfDB forecasts growth in Africa at 4.8 percent this year, with sub-Saharan Africa - excluding South Africa - the fastest-growing region at 6.6 percent.
But aid to Africa from the developed world has been cut for the first time in 10 years and the continent needs to look for ways to make that money go further.
"The reality is, Africa is being ripped off big time," African Development Bank president Donald Kaberuka told Thomson Reuters in June.
"Africa wants to grow itself out of poverty through trade and investment - part of doing so is to ensure there is transparency and sound governance in the natural resources sector," he said.

My take:
Hii ni taarifa ya hivi Septemba. Na makubaliano kati ya Norway na AfDB yametiwa saini 29 Augusti 2013. Kumbuka Norway ni miongoni mwa nchi mfano duniani amabyo imepitiwa mbali na ugonjwa wa "resource curse"
Hivi Tanzania tunafikiria kinyumenyume au? Bila shaka katika nchi zinazotakiwa kujengewa uwezo wa kupata "better deal" ya Gesi na Oil Tanzania haitakuwemo cause sisi tumeshajadili na kusaini tayari mikataba
yetu.

 
Mimi huwa sishangai binadamu anapobadilika bali huwa namshangaa na kumuona wa ajabu binadamu asiyebadilika.

Ningeshangaa sana kumuona Prof. Muhongo wa wakati ule mitaani mpaka sasa hajabadilika.

Kila nikiona mabadiliko ya kiutendaji kwa binadamu huwa ninamkumbuka mwalimu wangu wa shule ya msingi ambaye yeye alikuwa anawateua wale wanafunzi watukutu na wafanya fujo darasani kuwa ni ma-monitor wa darasa ili wafahamu ugumu wa kazi na vile vile mwalimu aondokane na adha ya kupambana nao. Kilichokuwa kinatokea ni wao kubadilika kwa haraka sana mpaka wanafunzi wengine lilikuwa wanapata wasiwasi na mabadiliko yao ya kutoka utukutu na furugu darasani mpaka kuwa zaidi ya watu wanyeyekevu darasani.

Prof. Muhongo wakati akiwa nje ya utendaji serikali alikuwa kinara wa kubainisha makosa na ufumbuzi wake, na kwa kufanya hivyo, he was pain in the government ass na serikali kwa kutambua hivyo, kwa kupitia uwezo wa Rais kisheria, akapewa wizara hiyo kuisimamia. Matokeo yake ndiyo haya tunayoyajengea hoja. 'Amebadilika'.
ndo maana huwa napenda kusisitiza mara kwa mara, tuwaache wataalamu wawe wataalamu.... siyo lazima kila mtaalamu awe mwanasiasa.... tunaua maendeleo ya nchi....
Prof. Muhongo anaheshimika sana ndani na nje ya nchi katika maswala hayo hayo ya madini na gesi, sasa hivi anaonekana ni wale wale tu (kasoro tarehe).
Uongozi ni zaidi ya kuwa mtaalamu wa kitu fulani....
 
hapo kwenye RED ndo tunapojikuta kila siku tunashika mkia na wakati tuna kila sababu ya kuongoza.
haraka ya nini? kweli hatuna haraka? siamini hili. tutakaa na madini ardhini mpaka lini? kwa nini kitu kinachowezekana leo kingoje kesho? tutangoja mpaka lini?

Kwani Dunia inaisha lini?
 
kaazi kwelikweli. Kule Mtwara walisema isiende Dar. huyu jamaa anasema isiende kwa wageni! Prof chapa kazi. usisikilize kelele za hawa wasiotaka maendeleo ya Tanzania

kweli nyie ndo walewale nyerere aliosema 'umeshika dhahabu isiyo feki anakuja m2 mwenye zahab feki anakuambia shika hii ndo nzuri zaidi na we ulivy zuzu bila kutafakar kwann anakupa unapokea haraka na kujisifia acha uzuzu kuwa kama m2 aliy elimik
 
kaazi kwelikweli. Kule Mtwara walisema isiende Dar. huyu jamaa anasema isiende kwa wageni! Prof chapa kazi. usisikilize kelele za hawa wasiotaka maendeleo ya Tanzania

kweli umaskini huwa tunauita wenyewe
 
As we are heading towards 2015 general election ndio mtawajua Raia Mwema ni watu wa aina gani.

......Hawaminiki wale...wakina Ulimwengu??!!! wale wa siasa chafu za kuchafuana enzi za Habari Cooperation?!!

yaan waandisha hatuna,,,,,
 
Tatizo si kuwa hakuna wataalamu wa sheria...

Tatizo unaingia mkataba na mtu unayembembeleza asiende Ghana au Uganda....we are racing to the bottom....kwa ku soften regulations zetu ili tuwe na mazingira ambayo ni more foreign investors friendlier...

Hata Word Bank wanatoa hizi technical supports lakini uki dig deeper ni kwa manifaa ya western investors... wanataka nchi iwe na sheria ambazo ni predictable...

Norway wangekuwa na roho nzuri wangetukopa mtaji na wataalamu ikiwemo wa management za mafuta na ges tuchimbe wenyewe kama wao

Norway gives $4.9mln to AfDB to help break ‘resource curse'

Source: Thomson Reuters Foundation - Mon, 2 Sep 2013 04:51 PM

LONDON (Thomson Reuters Foundation) - Norway has agreed to give $4.9 million to the African Development Bank (AfDB) to help African governments negotiate "fair and balanced" deals with oil, gas and mining companies operating on the continent, the bank said on Monday.
The money will go to the African Legal Support Facility, a body set up by the AfDB to help African governments hammer out complex commercial deals.
"Norway is seeking to help turn Africa's ‘resource curse' into a ‘resource blessing' by supporting the negotiation of better contract terms," Norway's minister of international development, Heikki Eidsvoll Holmas, said in a statement.
The ‘resource curse' describes the phenomenon of countries rich in natural resources that often have significant governance problems, high levels of corruption and widespread poverty.
"The aim is for the countries to strengthen their own revenues and economies, and in the long term for them to be able to manage without aid," Holmas added.
‘Governance and accountability' is one of the AfDB's five 2013-2022 strategic priorities and improved governance in the extractive sector is expected to play a significant part in that effort.
The Democratic Republic of Congo, for example, lost at least $1.36 billion in potential revenues between 2010 and 2012 due to cut-price sales of mining assets to offshore companies, according to a report from the Africa Progress Panel, led by former United Nations Secretary-General Kofi Annan.
"This work also enhances financial transparency surrounding contracts which are crucial to be able to uncover and stop illicit financial flows," Holmas said. "Every year, 10 times as much money disappears out of developing countries through illicit financial flows as is received in the form of aid and development support."
The AfDB forecasts growth in Africa at 4.8 percent this year, with sub-Saharan Africa - excluding South Africa - the fastest-growing region at 6.6 percent.
But aid to Africa from the developed world has been cut for the first time in 10 years and the continent needs to look for ways to make that money go further.
"The reality is, Africa is being ripped off big time," African Development Bank president Donald Kaberuka told Thomson Reuters in June.
"Africa wants to grow itself out of poverty through trade and investment - part of doing so is to ensure there is transparency and sound governance in the natural resources sector," he said.

My take:
Hii ni taarifa ya hivi Septemba. Na makubaliano kati ya Norway na AfDB yametiwa saini 29 Augusti 2013. Kumbuka Norway ni miongoni mwa nchi mfano duniani amabyo imepitiwa mbali na ugonjwa wa "resource curse"
Hivi Tanzania tunafikiria kinyumenyume au? Bila shaka katika nchi zinazotakiwa kujengewa uwezo wa kupata "better deal" ya Gesi na Oil Tanzania haitakuwemo cause sisi tumeshajadili na kusaini tayari mikataba
yetu.
 
Huko nyuma kuna mkataba kuhusu madini ulisainiwa huko London, ili uwahi kabla ya sheria mpya ya madini kupitishwa.Huo mkataba ulikuwa unahusu mgodi wa Kahama. Kila mfuatiliaji wa masuala haya anajua kilichofuatia, na yupi anafaidi matokeo ya ule mkataba. Tuliambiwa kuwa makosa hayo ya mikataba bila kuwa na sera yenye manufaa kwa taifa, hayatarudiwa.

Leo tena, naona part II ya sinema ile ile inajirudia. Haraka ya nini? Yataoza hayo madini? Kwa nini lakini? Tuna matatizo gani? Au ulimbukeni unatusumbua?

Hapo kwenye red, sio ulimbukeni!!! NI LAANA, TENA KUBWA SANA!!!
 
Muhongo ni janga la taifa. Yani ana muita mwenzie dalali alafu na yeye anashindwa kututhibitishia kuwa si dalali.

Muhongo ni mpambe wa wazungu na yuko tayari wazawa wakose ili deal litimie apate chake.

Kwa maongezi ya muongo ni wazi anafanya udalali ili apate cha juu.

Kauli za muhongo zinakera sana na haziwezi kutumiwa na kiongozi yeyote mwenye utimamu.

Hivi ni nani anampa kiburi cha namna hii?
 
zimwi likujualo halikuli likakwisha! ukweli unabaki pale pale hata kama huyo mzawa ni mmbinafsi believe me kuna watanzania watanufaika, wawe ndugu zake au watu wengine. Ni muhimu katika rasilimali kama hizi wazawa wenye uwezo wapewe nafasi.
 
hapo kwenye RED ndo tunapojikuta kila siku tunashika mkia na wakati tuna kila sababu ya kuongoza.
haraka ya nini? kweli hatuna haraka? siamini hili. tutakaa na madini ardhini mpaka lini? kwa nini kitu kinachowezekana leo kingoje kesho? tutangoja mpaka lini? hata kama madini hayaozi hiyo siyo justification ya kuyafanya yaendelee kubaki ardhini. Tunapata faida gani kama taifa madini yanapoendelea kubaki ardhini? au tuna mpango wa kuuza ardhi yetu hapo baadae tuseme kuwa itakuwa na value kubwa sababu ina madini? tuamke sasa.
Mimi naona tunachopaswa kupigania, kama watanzania, wazalendo, ni kuhakikisha hayo madini yanatoka kwa utaratibu unaofaa ili nchi kama nchi inufaike na hilo.
Tunatakiwa kuwashinikiza hawa "watawala" wetu wafanye maamuzi kwa ajili ya Taifa, siyo kuwaambia wasubiri.....

haya mkuu hayo madini yameshatoka huko chini mashimo ya kutosha! umeona faida yake kwa watanzania? ndo maana watu tunalilia sera ya vitu kama hivi ili kila mtanzania aweze kuona kile kinachopatikana kutoka kwenye hizi natural resources!
 
Back
Top Bottom