Majibu ya Mwigulu Nchemba mbunge wangu nilipokuwa nachati nae kwenye facebook jana

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
180
20 hours ago
George James

    • Nchemba umeshasain?
    • kama hujasain jitahidi usain other wise nikuambie tuu huku JImboni kwako tuna hasira sana na mwenendo wako hasa matusi na kapu la hela Mlilloenda nalo Aruumer

20 hours ago
Mwigulu Nchemba

    • Ni sain nini umechanganyikiwa Rafiki yangu eeeeh;;
·
·


20 hours ago
GeorgeJames
o yaani hujui kinachoendelea huko Dodoma au
o sain kukubali hoja ya kumwondoa waziri mkuu na ikiwezekanakumuondoa Mkuu wa Kaya
o hali ni mbaya sana huku yale mambo tuliyokubaliana hayaendi na wale wafadhili wanakaribia kujitoa kwenye ule mradi wa visima vya Sunzu na Nzalala
·

20 hours ago
MwiguluNchemba
o Sita sain,wajitoe CCM itajenga na 2015 tutashinda kwa kishindo,njaa zenu tunazijua sana hainitishi
·

20 hours ago
GeorgeJames
o kwa nini?
o unafurahia hali yetu?au unakula na hao mawaziri wezi?
·

20 hours ago
MwiguluNchemba
o Tulishafanya uamizi hivyo mengine yote maigizo,usiamini kila neno unalosikia hapa Bungeni kaka zako wa Moshi wana act tuu wao wenyewe ni mafisadi wa kutupwa hukumsikiliza Lusinde kule Arumeru?/achana na Chama cha kihuni rudi CCM tukupe shavu 2015 hata ukuu wa wilaya unaweza wewe,mbona Nkuhi anasonga wewe huwezi shindwa
·

20 hours ago
GeorgeJames
o watu wote hapa Nzalala na Ntwike tuna hasira sana namisimamo yako ya kutetea magamba Achana na ahadi zako hewa nimekuzoea tokea shule na kwa taarifa yako o na leo tunaenda Shelui kumwaga sumu haiwezekani wew ukaehuko utetee magamba sisi huku tunakula vumbi
o hatutakubali tutawapa NCHI HII CHADEMA
o WAMEONYESHA MWANGA
o Kuna wananchi wa Sunzu walisema uliwatukana ,hii tabiaumeanza lini? mnafundishana na kina Lusindee eehh angalia braza siasa sio hivyoutapata shida sisi ndio wa Iramba bana
·

19 hours ago
MwiguluNchemba
o Acha umbeya mkuu tuongelee maendeleo
Mwiguluis typing ...

KWA HALI HII HATUKUCHAGUI TENA KAMA HAYA NDIO MAJIBU NAAMINI HII NI TOFAUTI NA MAKUBALIANO YETU YA PALE SUNZU
 
hivi kule ARUMERU hakuchakachua mkee wa kada mwenzie kama alivyofanya IGUNGA??????????
 
Hivi Wana-Iramba, hamnaga watu wenye busara na hekima zao huko na wanaojali na kuumizwa na Matatizo ya Wananchi badala ya hawa akina Nchemba, vibaraka wa Wezi wa Mali ya Umma? Chukueni hatua, Fanyeni maamuzi sahihi.
 
Usitegemee mtu kama Mwigulu asaini kutokuwa na imani na PM kwani kwa kufanya hivyo atakuwa amemsaliti swahiba wake JK! Lakini ni vizuri kuendelea kumuelimisha ili hatimaye akijiengua CCM awe kamanda wa ukweli.
 
20 hours ago
MwiguluNchemba
o Tulishafanya uamizi hivyo mengine yote maigizo,usiamini kila neno unalosikia hapa Bungeni kaka zako wa Moshi wana act tuu wao wenyewe ni mafisadi wa kutupwa hukumsikiliza Lusinde kule Arumeru?/achana na Chama cha kihuni rudi CCM tukupe shavu 2015 hata ukuu wa wilaya unaweza wewe,mbona Nkuhi anasonga wewe huwezi shindwa
·

Maandishi kwenye red ukisoma between lines utaona kabisa kumbe hata wao wanajua Fancy Nkuhi hana uwezo wa kuwa DC ila amepewa hicho cheo kwa vile tu yuko CCM, ndugu zangu watanzania kazi bado ni pevu.
 
Tutakosea kama tukiamini hayo mazungumzo yenu mlikubaliana uyalete kwenye JF sasa yamekuwa ya umma na si yenu wawili tena.Kama ndivyo basi Mheshimiwa Mchemba ni kipofu wa imani ama ni msanii. vinginevyo kitu imani na upofu ni mambo yanayoendana maana utaamini kuwa maji yote ya bahari ya Hindi yanajaa kwenye glasi ya nusu lita pasipo kufanya jaribio hapo feri!hoyo ndiyo imani ya upofu!.Mheshimiwa JK ni kada uchwara ambaye anajaribu kutatua kero za familia yake na rafiki zake,mtu wa aina hiyo huwezi kumpa hata uongozi wa nyumba kumi kwa sababu hana upeo wa kufikiri kiasi hicho.Hawa kina Mchemba nao kawaokotaokota kwenye misururu hiyohiyoya watu wenye upoo pungufu kuliko hata yeye so tegemea miujiza kama utategemea maendeleo ukiongozwa na watu wenye umakini mdogo kiasi hicho
 
Mwigulu hajui kusoma alama za nyakati yaani yeye bado anang'ang'ania old fashioned politics! Dr K. Mkumbo ameshajiandaa kumng'oa huko. Mimi naenda kulichukua jimbo pacha, Iramba mashariki 2015. Ni raha tupu!
 
Wananchi kuonyesha mshikamano tu, katika masanduku ya KURA dawa kuwamwaga kisha wakajipange upya. Hawana uchungu na nchi yetu bali wana uchungu na matumbo yao tu.

Hapa ndipo pa kujua kuwa wanatufanya mabwege; hata kauli yake inadhihirisha kabisa kuwa WAKITUHONGA TUTAWACHAGUA TENA 2015. NI MATUSI KABISA HAYA!!!!

CCM IPO WARD YA ICU MUHIMBILI inapumua kwa mipira ya Oksijen; NA MADAKITARI WAPO KATIKA MGOMO. SIDHANI KAMA ITAPONA. WANANCHI JIANDAENI KUCHIMBA KABURI. LUSINDE anatoa SANDA, NCHEMBA anatoa JENEZA, KIKWETE anatoa USAFIRI.



MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Nchemba ni mnyantuzu ndo maana hawajali wa Iramba, narrow mindedness yake isiwavunje moyo anaganga njaa, the writting is on the Wall, aluta??
 
Inasitisha sana,kama hujui kusoma ndugu Mwigulu hata picha huoni,Taifa linaibiwa mchana kweupe bado unatetea mawaziri wanaoshutumiwa,watch out man!!!!
 
jamani siku hizi privacy imebadili jina? au inakuwaje mazungumzo yaliozingumzwa faraghani bila ya idhni ya mwenyewe kuyaweka hadharani
 
Back
Top Bottom