Majibu ya Mwigulu Nchemba mbunge wangu nilipokuwa nachati nae kwenye facebook jana

jamani siku hizi privacy imebadili jina? au inakuwaje mazungumzo yaliozingumzwa faraghani bila ya idhni ya mwenyewe kuyaweka hadharani

Binafsi sidhani kama amefanya vibaya.

Hakuna waliloongea la siri kiasi hicho hadi kufikia kuomba ruhusa.

Na hili Bunge la JF tunapenda kupata Source ya kila hoja ili kuilinda.
KWani mada zinzotolewa hapa nyingi ni nzito na za kufichua sasa kama hakuna Source inakuwa shida sana. Kama angelitueleza tu kuwa ameongea na Nchemba tungelitaka atuwekee source.


CCM IPO ICU MUHIMBILI; SIDHANI KAMA ITAPONA TUANDAE KUCHIMBA KABURI;



MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
huyu mwiguru sawa na january makamba, akiwa humu mpoleee akiwa nje anakulupuka kama kaguswa kalio bila hoja za msingi.
 
Ukweli kama hawa watu wa aina ya Mwigulu watachaguliwa tena 2015 hakuna shaka nchi itaingia vitani! tusubiri tuone! Idadi kubwa ya wananchi wa kada zote wanasubiri kipenga tu waipindue nchi...Siyo Askari, Mfanyabiashara, Msomi< Kibaka, Tajiri wa kawaida anayepata kipato chake kihalali, Maskini, Viongozi wa dini, wazee, Akinamama na Vijana..Wote tumeungana maana Wabunge wametutosa, Mawaziri wezi, kila kitu ovyo tu..Stay tuned! mtasikia na ni bahati tukafika huko 2015
 
Mwigullu ana mdomo mchafu kama lusinde.

CCM ni Wachafu kwa kila kitu. Siyo mdomo tu.

SIDHANI KAMA MWAKA HUU ITARUHUSIWA KURUDI HOME TOKA PALE ICU MUHIMBILI. HALI YAKE NI MBAYA SANA. TUANDAE KABURI LA KUIZIKA



MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 

CCM ni Wachafu kwa kila kitu. Siyo mdomo tu.

SIDHANI KAMA MWAKA HUU ITARUHUSIWA KURUDI HOME TOKA PALE ICU MUHIMBILI. HALI YAKE NI MBAYA SANA. TUANDAE KABURI LA KUIZIKA



MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!

Inauma Sana Mizambwa.
 
Back
Top Bottom