Majibu ya Maria Sarungi kwa wana UKAWA

Majibu ya Maria Sarungi kwa wana UKAWA

Tatizo lenu chadema rafiki zenu ni wale mnaoongea lugha mmoja lakini wanaowapinga wote ni maadui wenu hivyo mnatakiwa kujiandaa kwa pande zote katika kuyapokea matokeo

kama ulifanyika utafiti wakati vyama vina wagombea wao bado tutachukua kama ni utafiti hai kabisa kuangalia mustakabali wa october 25.

ndo maana kuna mahali wanasema magufuli anakubalika sana na watu wa umri wa makamo na loassa kwa vijana wengi ingawa bado magufuli ndo anaongoza, maana yake wagombea walikuwapo tayari.

ukawa hamna jipya tena maana kwenu kulalamika ni jadi
but magufuli atashinda kweupeeeeeeee!!!!!

maskini ya mungu chadema!vilaza kama mgombea wenu!!hiyo ni account fake

hivi kwani majibu sahihi ya takwimu za twaweza ni zipi?
Maana naona kuna watu wa fungu la kukosa tena wachache sana,wanasumbua wengine kutaka waonekane wameonewa.
Ccm wala haitegemei kubebwa kwenye takwimu, ccm inapita kutafuta kura zitakazoingia kwenye box tar 25.
Vyama vya upinzani bado havikujiandaa kwa ajili ya kushika nchi

Wakuu, Maria ni very smart, fair and a good model ya watanzania wanawake wenye upeo

SI kwasbabu ametoa au ameshiriki kwenye habari tusiyoipenda, au ambayo in walakini basi ndio awe anadeserve matusi na all that... Wasomi mnajua probability ya bias unapotumia small sample kwenye study kama hizi, achilia mbali matatizo yanayoweza kutokana na data collectors, influence ya kutoa simu na charger etc.

Na kama alivyosema, tafiti imefanyika early august, bado kulikua na sintofahamu ya ukawa, sasa hali ni better...

Maria deserves kudos kwa jinsi alivyoelezea why UKAWA should not despair

cdm walikuwa na kura nyingi sana kuanzia pale lowasa alipohama ccm ila kuanzia siku cdm wanazindua kampeni zao pale jangwani tar 29 aug. Kura zimekuwa zikipungua kwa wingi sana. Tena kipindi hiki kasi ya kupoteza kura imezidi sana.
Nina wasiwasi kufikia oct 25 hata yeye mwenyewe hatojipigia kura.

Katika pitapita zangu twitter nimekutana na shutuma kali zikielekezwa kwa mmoja wa Washiriki/wafanikishaji wa Utafiti uliotolewa na TWAWEZA leo,Bi Maria Sarungi Tsehai.Moja ya majibu yaliyonivutia ni kutoka swali alilouliza Mdau ajulikanaye kama Godfrey Mwangungul.Wanaukawa hawatakiwi ''kupanick'' na kuanza kumshambulia mtu mmojammoja.Majibu hayo aliyotoa yanaeleza Taswira nzima(Ngoma bado mbichi) ya huu utafiti kuwa si lolote si chochote.
Tweet yenyewe hii hapo chini...
attachment.php

Siamini kama wewe pia umeungana na Mwangungul kuuliza swali bila kuangalia kilichoelezwa.!!! Kasema utafiti ulikuwa mapema na mwisho wa utafiti ulikuwa Sept 8, sasa hiyo ya Mwezi wa nane aliyoisema muuliza swali kaitoa Wapi? Kwani Lowasa kahamia Ukawa lini?
Inawezekana mnaprove maneno ya mwanafalsafa Benjamin Dislaer " My idea of the agreeable person is the one who agrees with me"
Kwahiyo hatujali kama kinachoongelewa kina maana au la, ilimradi kipo upande wetu.

Huu utafiti hata thinkers wa maana wa CCM wanaukosoa sana, sio HALISI kabisa. Wapishi wametoa chakula kikiwa kibichi kabisa. Hauna msaada hata kwa CCM kwa kuwa haonyeshi Picha halisi ili makada wajipange kuongeza nguvu wapi.
Kosa lilianza baada ya Makamba kuropoka wiki iliyopita wakati akijua tayari matokeo ya kupikwa ya utafiti Wa Twaweza yalishavuja. Big mistake.

Nadhani sasa Magufuli anaweza akajua wazi ni wanaCCM gani waliokuwa kwenye timu take wanao mhujumu, issue imeharibika mapema sana, hata ile programme ya mkikimkiki inakufa na ule mtego Wa mdahalo Wa wagombea umeyeyuka kwa uzembe na ujinga Wa makada Wa CCM. Siku zinayoyoma kwa kasi, Lowassa na timu yake wako busy na kampeni zao kwa kasi ya ajabu, kwa speed yao ya sasa wanapambana kuchukua viti vingi vya ubunge ili watawale bunge na madiwani wengi ili waongeze halmashauri mbalimbali.

only laboratory research ndo naziamini coz mimi mwenyewe mpaka sasa animal model wangu anaenda vyema hapa chuoni....twaweza wanatumia questionnaire unaweza puka na kupakua

Mkurugenzi wa twaweza kahoji mke wake na familia yake inayoishi kwa kutegemea fadhila za ccm huwezi kupata matokeo tofauti na hayo.

Aidan na Maria na Makamba walikutana gest ndiyo wskatoka na hayo waliyo yaleta

Nilitegemea CCM wangekuwa smart katika kipindi
hiki cha kampeni ili waweze kudhibiti kasi ya ushawishi ya Lowassa, bahati mbaya wamerudia makosa yale yale, wanabahatisha kuyatafuta Mawimbi ya masafa ya UKAWA kwa kutumia Media, matokeo ya Tafiti tata, matusi nk. Tafiti ya Twaweza ndio imevua nguo kabisa michezo mibovu ya CCM inayochezwa nyuma ya pazia. Katika hili CCM wanapaswa kumlaumu January Makamba, kwa sababu alijua kila kitu na akaishauri CCM vibaya, sasa amemwingiza Magufuli kwenye wakati mwingine mgumu zaidi, amesema Yupo tayari Saa yoyote kwa Mdahalo bahati mbaya UKAWA wao hawataki mgombea wao aende kwenye mdahalo, sasa CCM wamesita tena wanasema kama Lowassa hatashiriki basi na Magufuli hatashiriki, waandaji wamebaki njia panda, ama waarishe kisa Lowassa hayupo au Waite mdahalo Wa vyama na sio wagombea.

Hawa wasomi wetu wa leo sijui wanatufundisha nini, maana kama elimu imekuwa biashara basi ndiyo matokeo yake haya, watu wazima wanahongwa mapesa ili waudanganye umma ambao hata ndugu zao pia waathirika kwa upumabavu wao, hivi hawa ndiyo maprofesa na madaktari wetu tena walio wengi ni watu wazima au wazee waliosoma kwa fedha za wakulima na walipa kodi masikini wa nchi hii, wanatufanyia UHUNI!!! ajabu sana hii, MUNGU yupo nasi atatukomboa tu maana anatuona tunavyohujumiwa na kunyanyaswa. TWAWEZA mbarikiwe na mtalaaniwa kwa tamaa yenu ya fedha kuliko maslahi ya baba na mama zenu walioko vijijini ambao mnawatesa kwa utafiti wa KIPUMBAVU kama huu, fyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Hamna kitu kibaya kama trusted professionals wanapoikacha taaluma yao na kuruhusu upumbavu.

Back
Top Bottom