Majibu ya Maria Sarungi kwa wana UKAWA

Majibu ya Maria Sarungi kwa wana UKAWA

Umalayaaaa ukauleta katika taaluma kinachofuata ni ubakaji wa mawazo timilifu ya kutaka mabadiliko ya kweli.

ccm wamewanunua akina polepole, dr. slaa mihogo , lipumba na akina dk. Bana pale udsm.

haitoshi wamewanunua twaweza, mliaminika ila njaa mbaya sana. na umalayaaa wa kisiasa mbaya sana hatimaye mwakalia gogo lenye dudu washa. poleni twaweza ila Mtazaa mwaka huu mshakojolewa na ccm.
mtazaa mabadiliko na kupima DNA
 
Huyu dada kachanganyikiwa kabisa.....

Ila nasikitika majibu ya Lowassa mods walitoa ila hii ya Maria wameibakiza mpaka sasa
Me ninaomba wani ache tu kwa kipindiki hiki ila baada ya uchaguzi ninajuwa tutashinda na lowassa ata apishwa uwanja wa taifa ila jamii forum wanifute humu maana wamekuwa wafuasi wa ccm!
 
Wacha hadi wajinunue wenyewe hawa CCM utafiti wakweli wasisi wanaNCHI tutautoa tar 25....oct
 
Ubovu wa utafiti huu ni aina ya maswali yaani maswali na majibu yaliyoandaliwa hayakidhi malengo ya muulizaji yaani research objectives . Jaribu kupitia maswali yoote na majibu ya kuchagua yaliyopo
 
Katika pitapita zangu twitter nimekutana na shutuma kali zikielekezwa kwa mmoja wa Washiriki/wafanikishaji wa Utafiti uliotolewa na TWAWEZA leo,Bi Maria Sarungi Tsehai.Moja ya majibu yaliyonivutia ni kutoka swali alilouliza Mdau ajulikanaye kama Godfrey Mwangungul.Wanaukawa hawatakiwi ''kupanick'' na kuanza kumshambulia mtu mmojammoja.Majibu hayo aliyotoa yanaeleza Taswira nzima(Ngoma bado mbichi) ya huu utafiti kuwa si lolote si chochote.
Tweet yenyewe hii hapo chini...
attachment.php
Lakini hata hiyo mapema hata Magufuli alikuwa hajulikani huko vijijni? Waseme tu kuwa wamebugi kwa sababu hauhitaji kwenda mbali, nenda tu mitaani utaona matokeo ni tofauti sana na hali halisi. Wangeweza kudanganya kidogo kwa tofauti ndogo ya asilimia lakini siyo kubwa kiasi hicho na hasa katika nafasi ya uraisi.
 
Ukiwa mtu ama taasisi makini ni muhimu kufahamu athari ya matokeo ya tafiti husika . Na kwa sampo saizi isiyofika 50000 wameshindwaje kutoa matokeo haraka ,iweje tafiti ya mwezi wa nane mwanzoni majibu yaje september kipindi cha wiki tatu za kampeni? wakati tafiti inafanyika kampeni zilikua bado? Ulikua unapima nini kama sio namna kampeni zilivyo wafikia watu ?wapuuzi sana
 
Kweli CCM ni wakatili leo hii TWAWEZA imegeuzwa kuwa TWAFEDHA!
 
Times are changing. Pity Twaweza hawajaliona hili. Old tricks just won't do.
 
CCM kweli wamebinywa Korod..i

Sema tu pumbu hakuna kuogopa kama kunifunga waje. Manake tumechoka haya maisha mabaya ya ccm na maccm ni machoko tu waongo sana na ni wasanii. Mimi kura yangu kwa lowasa. Hata waje na tafiti zao za kichoko tutawachokonoa october25.
 
eti kipi bora kati ya ujinga usio na shari na elimu isiyotumika?
 
Huyu maria kama Polepole tu , mara midahalo , mara tafiti simkubali huyu mganga njaa tu,watanzania ukiwaheshimu wanakuona zuzu. Utafiti haukuwa na validity na reliability levels za kukubalika kwasababu ya aina ya maswali. Kibaya zaidi ni kukosa fOCUS ndio maana majibu yapo hovyo
 
Katika pitapita zangu twitter nimekutana na shutuma kali zikielekezwa kwa mmoja wa Washiriki/wafanikishaji wa Utafiti uliotolewa na TWAWEZA leo,Bi Maria Sarungi Tsehai.Moja ya majibu yaliyonivutia ni kutoka swali alilouliza Mdau ajulikanaye kama Godfrey Mwangungul.Wanaukawa hawatakiwi ''kupanick'' na kuanza kumshambulia mtu mmojammoja.Majibu hayo aliyotoa yanaeleza Taswira nzima(Ngoma bado mbichi) ya huu utafiti kuwa si lolote si chochote.
Tweet yenyewe hii hapo chini...
attachment.php

Nafikiri unaweza tzama twitter zake,pia yeye ndiye mfuasi wa kwanza wa Makamba katika twitter na makamba hivyo hivyo.

hata utafiti wa CCM walipewa wao wakauita utafiti wa ndani.
mimi si mpenzi wa vyama laniki nachukua kubaka taaluma ya utafiti

attachment.php

attachment.php

Kwa mf kama yuko fair hii post kwa nini ali retweet ,ina faida gani?
attachment.php

View attachment 289812View attachment 289816

......................................
 
Kweli CCM ni wakatili leo hii TWAWEZA imegeuzwa kuwa TWAFEDHA!

Twawezeshwa na kupuuzishwa

................
 
Kuna watu pale AZAM TWO wana maono yao hasa huyu IVONA KAMUNTU ASI MWANAHABARI HURU KWA MAONI YANGU
 
Twawezeshwa kumbukeni kwamba mshahara wa zambi ni mauti na hii zambi itawafuata popote pale mtakapoenda.Oneni aibu nyinyi aarggggg!
 
Ahsante kwa kazi nzuri Tyta, japo huu utafiti una ukakasi, ukawa wangeangalia mambo wanayoweza kujifunza kama kuna namna ya kuyafanyia kazi, mfano ni jambo la wapiga kura kuingia kwenye chumba cha kupigia kura wakitafuta ukawa wakati atakaekuwepo ni mgombea wa ukawa kupitia CDM, hii inaweza kusumbua kidogo ukizingatia uelewa wa wapiga kura unatofautiana. Kuna haja ya kuwaelimisha zaidi wapiga kura hapa.
Tutakuwa tunaangalia palipoandikwa Lowassa; siyo palipoandikwa Chadema au Ukawa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom