Majibu ya Maria Sarungi kwa wana UKAWA

Majibu ya Maria Sarungi kwa wana UKAWA

Ahsante kwa kazi nzuri Tyta, japo huu utafiti una ukakasi, ukawa wangeangalia mambo wanayoweza kujifunza kama kuna namna ya kuyafanyia kazi, mfano ni jambo la wapiga kura kuingia kwenye chumba cha kupigia kura wakitafuta ukawa wakati atakaekuwepo ni mgombea wa ukawa kupitia CDM, hii inaweza kusumbua kidogo ukizingatia uelewa wa wapiga kura unatofautiana. Kuna haja ya kuwaelimisha zaidi wapiga kura hapa.

Jambo la msingi kabisa. UKAWA wafanye utafiti wa wapigakura kujua kama wananchi hasa kule vijijini, je wanajua kuwa Lowasa anaungwa mkono na UKAWA lakini chama ni CHADEMA. Maana wakikosa uelewa wa jambo hilo nasema wapenda mabadiliko hawataamini kitakachotokea. Shime tumaini makene et al mutoe elimu ya uelewa!
 
Last edited by a moderator:
Duh kweli ccm wamepanic jamani.....wanatumia lugha za matusi, kebehi, hela nyingi kuhonga ila October hataamini macho yao
 
haja ya kuwaELIMISHA Ipo hasa katika ngazi za chini ambapo kuna mgombea zaidi ya mmoja kutoka vyama vinavyounda UKAWA.Katika ngazi ya Urais ama pale Ukawa iliposimamisha mgombea mmojamoja ni nadra kuamini kwamba mwananchi amekarariri kuna ''chama'' kinachoitwa Ukawa ambacho umri wake hauzidi hata mwaka mmoja bila kutambua hiyo UKAWA inaundwa na vyama vipi/gani.labda kama kampeni hazifanyiki.

Na huo ndio wasiwasi wangu kwa sababu kura zote ni muhimu na kila kura ina mchango mkubwa wa kuleta mabadiliko.
 
Jambo la msingi kabisa. UKAWA wafanye utafiti wa wapigakura kujua kama wananchi hasa kule vijijini, je wanajua kuwa Lowasa anaungwa mkono na UKAWA lakini chama ni CHADEMA. Maana wakikosa uelewa wa jambo hilo nasema wapenda mabadiliko hawataamini kitakachotokea. Shime tumaini makene et al mutoe elimu ya uelewa!

Uko sahihi na huo ndio hasa wasiwasi wangu kuhusu uelimishwaji wa wananchi siku ya kupiga kura. Lazima iwaingie wapiga kura kwamba Lowassa anaungwa mkono na UKAWA lakini atapigiwa kura kupitia CDM.
 
haa haa huyu dada anaanza kujihami baada ya kushitukiwa kuvuta mshiko duh...haa haa. nimeamini ule msemo wa money is every thing ni kweli. twaweza imegeuka na kuwa twawezeshwa.

Samahani kwa wanao.mfaham vzr bado ni " msichana " ama maana dah
 
haja ya kuwaELIMISHA Ipo hasa katika ngazi za chini ambapo kuna mgombea zaidi ya mmoja kutoka vyama vinavyounda UKAWA.Katika ngazi ya Urais ama pale Ukawa iliposimamisha mgombea mmojamoja ni nadra kuamini kwamba mwananchi amekarariri kuna ''chama'' kinachoitwa Ukawa ambacho umri wake hauzidi hata mwaka mmoja bila kutambua hiyo UKAWA inaundwa na vyama vipi/gani.labda kama kampeni hazifanyiki.

Acha kujidanganya mkuu! Wananchi wa saas sio wa miaka ya 47! Wanauelewa mkubwa sana na wanapashana habari kwa haraka kupita maelezo!

Chuguza, karibu kila mwananchi hata vijijini ndani kabisa anatumia smart phone, na anajua kuperuzi habari anayoitaka kutoka kwenye mtandao!

Sasa mawazo yenu hayo, ndiyo mnaopeleka gari la CCM mtaroni!
 
Ahsante kwa kazi nzuri Tyta, japo huu utafiti una ukakasi, ukawa wangeangalia mambo wanayoweza kujifunza kama kuna namna ya kuyafanyia kazi, mfano ni jambo la wapiga kura kuingia kwenye chumba cha kupigia kura wakitafuta ukawa wakati atakaekuwepo ni mgombea wa ukawa kupitia CDM, hii inaweza kusumbua kidogo ukizingatia uelewa wa wapiga kura unatofautiana. Kuna haja ya kuwaelimisha zaidi wapiga kura hapa.
Tanzania hii nani asiyeijuwa picha ya lowasa,


Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Sarungi ni miongoni mwa watu wakupelekwa ICC yakizuka yakuzuka pia bila kumsahau yule hatuachii ikulu wa jumuiya ya wazazi
 
Kwa yeyote aliyeshiriki katika kutunga na kuigiza huu utafiti anapaswa ajitupe kwenye pipa la taka mwenyewe. Ni utafiti wa hovyo kabisa kuwahi kufanyika TZ.
 
Jambo la msingi kabisa. UKAWA wafanye utafiti wa wapigakura kujua kama wananchi hasa kule vijijini, je wanajua kuwa Lowasa anaungwa mkono na UKAWA lakini chama ni CHADEMA. Maana wakikosa uelewa wa jambo hilo nasema wapenda mabadiliko hawataamini kitakachotokea. Shime tumaini makene et al mutoe elimu ya uelewa!
wakuu sijawaelewa,yaan mtu aweze kusoma neno ukawa halafu ashindwe kutambua sura ya lowasa?seriously?
 
Hovyooooo hiki kibibi...!!

From today onwards, i take her as rubbish...!!

She lost all reputation, she is just a pretender and useless...!!!

kama kawa. mtu asiyefanana na ww ni useless rubish withiout reputation. tupunguze jasba na tuwape nafasi kwenye mioyo yetu wale wasiofanana na sisi.. hivi wote tungekuwa tunafanana watu wangehangaika kutafuta wapenzi?
 
Uko sahihi na huo ndio hasa wasiwasi wangu kuhusu uelimishwaji wa wananchi siku ya kupiga kura. Lazima iwaingie wapiga kura kwamba Lowassa anaungwa mkono na UKAWA lakini atapigiwa kura kupitia CDM.
acheni masihara wakuu.kuna mtu mzima asiyemjua Lowasa kwa picha?tena anayeweza kusoma UKAWA?
 
Huyu dada kachanganyikiwa kabisa.....

Ila nasikitika majibu ya Lowassa mods walitoa ila hii ya Maria wameibakiza mpaka sasa
 
Back
Top Bottom