ibesa mau
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 2,109
- 1,707
Sasa hiyo twitter si imesema mpaka tarehe 8.9.2015, lowassa alikuwa ndani ya nyumba tayari, tafiti kubwa haifanywi wiki tu na kuimaliza na kutoa majibu. Hata sioni hoja yenu hapa sababu hata watu waliulizwa maswali ya kuhusu wagombea moja kwa moja na jina la loassa tumeona wamesema anaumgwa mkono na watu wengi mjini, hawajasema chadema!na huyu Maria ukawa mlimkubali sana bunge la katiba. Tatizo mnataka kila mtu awe upande wenu, na pia kawapooza kuwa hii haiakisi uchaguzi tarehe 25???tatizo liko wapi??
mi naamini kila siku watu hubadilika kutokana na changamoto za kisiasa wanazo kutana nazo za kisiasa. Hivyo tangu septemba 8 hadi leo septemba 23 hali ipoje ya kisiasa