Majibu ya Maria Sarungi kwa wana UKAWA

Majibu ya Maria Sarungi kwa wana UKAWA

Katika pitapita zangu twitter nimekutana na shutuma kali zikielekezwa kwa mmoja wa Washiriki/wafanikishaji wa Utafiti uliotolewa na TWAWEZA leo,Bi Maria Sarungi Tsehai.Moja ya majibu yaliyonivutia ni kutoka swali alilouliza Mdau ajulikanaye kama Godfrey Mwangungul.Wanaukawa hawatakiwi ''kupanick'' na kuanza kumshambulia mtu mmojammoja.Majibu hayo aliyotoa yanaeleza Taswira nzima(Ngoma bado mbichi) ya huu utafiti kuwa si lolote si chochote.
Tweet yenyewe hii hapo chini...
attachment.php

... ni mchanganyiko wa kuwa'rookie' & 'rogue' pollster.
 
Umalayaaaa ukauleta katika taaluma kinachofuata ni ubakaji wa mawazo timilifu ya kutaka mabadiliko ya kweli.

ccm wamewanunua akina polepole, dr. slaa mihogo , lipumba na akina dk. Bana pale udsm.

haitoshi wamewanunua twaweza, mliaminika ila njaa mbaya sana. na umalayaaa wa kisiasa mbaya sana hatimaye mwakalia gogo lenye dudu washa. poleni twaweza ila Mtazaa mwaka huu mshakojolewa na ccm.
mtazaa mabadiliko na kupima DNA

najua watu mnapenda mabadiliko ila hayawezi kuja kwa kutoa lugha chafu na kejeli. Punguza
 
acheni masihara wakuu.kuna mtu mzima asiyemjua Lowasa kwa picha?tena anayeweza kusoma UKAWA?

Unajua hapa tunaongelea kundi la wapiga kura linalojumuisha watu wenye upeo wa kuelewa na uwezo wa aina zote. Tusisahau kuna wale wasiojua kusoma na kuandika, kuna wale ambao japo hawajui kusoma lakini wanaweza kujua hii picha inamaanisha CDM, CUF ACT nakadhalika. Hizo kura ni za muhimu sana na si za kupoteza. (Unafikiri kwa nini watu wameamua bila aibu kuiga nembo ya M4C?)

Kujua au kuifaham picha ya Lowassa ni jambo moja na kupiga kura kwa usahihi ni jambo lingine.
 
Huyu dada tangu awe swahiba wa ZZK sasa hajitambui kabisa

779
 
Dada anajifanya mwanaharakati na ahaegemei kokote lakini ukikaa vizuri ukamfuatilia unajua kabisa ni pro ccm kabisaaaa...mtoto wa kada wa ccm

Mkuu we ulitegemea nini ???!. Hebu angalia safari za mkuu kule USWIS huyu mdada ni mmoja kati wajumbe wa rais MKUTANO WA UCHUMI DUNIANI. ulitegemea asilipe fadhila???!
 
Personally i used to rate her so high and a great intellect. I used to look up to her, imitate her in every sense and wanting to become her. But after today's rubbish, i would not waste my time to watch any of her TV shows, i really do feel irritated, i never thought she could stoop so low!!!!!!.
 
Sasa hiyo twitter si imesema mpaka tarehe 8.9.2015, lowassa alikuwa ndani ya nyumba tayari, tafiti kubwa haifanywi wiki tu na kuimaliza na kutoa majibu. Hata sioni hoja yenu hapa sababu hata watu waliulizwa maswali ya kuhusu wagombea moja kwa moja na jina la loassa tumeona wamesema anaumgwa mkono na watu wengi mjini, hawajasema chadema!na huyu Maria ukawa mlimkubali sana bunge la katiba. Tatizo mnataka kila mtu awe upande wenu, na pia kawapooza kuwa hii haiakisi uchaguzi tarehe 25???tatizo liko wapi??
 
Naamini sasa mabadiliko mwaka huu ni mpango wa Mwenyezi Mungu maana hila zote zinazopangwa na wapinzani wa lowasa zinakuwa na dosari na hivyo wananchi wanang'amua mapema kuwa jamaa wamenunuliwa...refer slaa, lipumba wote walibugi kwenye kujieleza na kuonekanika wamelishwa maneno...ndo ilivyo tokea kwa twawezeshwa wameingia chaka mbayaa....
 
Naona ukawa mnachanganyikiwa mpaka sasa maana twaweza wanefanya kazi yao na wanaendelea kufanya kazi yao ukweli ni kwamba mmepanic na mtazimia
 
hamna haja ya kupaniki,tusubiri tarehe 25 Rais atakapokuwa JP magufuli na wote tutsema amina
 
katika pitapita zangu twitter nimekutana na shutuma kali zikielekezwa kwa mmoja wa washiriki/wafanikishaji wa utafiti uliotolewa na twaweza leo,bi maria sarungi tsehai.moja ya majibu yaliyonivutia ni kutoka swali alilouliza mdau ajulikanaye kama godfrey mwangungul.wanaukawa hawatakiwi ''kupanick'' na kuanza kumshambulia mtu mmojammoja.majibu hayo aliyotoa yanaeleza taswira nzima(ngoma bado mbichi) ya huu utafiti kuwa si lolote si chochote.
Tweet yenyewe hii hapo chini...
attachment.php

kama ulifanyika utafiti wakati vyama vina wagombea wao bado tutachukua kama ni utafiti hai kabisa kuangalia mustakabali wa october 25.
 
Mimi nahisi walijichanganya wakatoa Takwimu za push up za Magufuli ...
 
Mtumiaji si mstahimilivu wa mawazo na tofauti. Lakini ndio sifa ya maukawa
 
sina wasiwasi na matokeo ya Twaweza na nafarijika kuona watu hawayakubali kwa sababu wamejiandaa kutokuelewa ila mwisho wa siku wataelewa tuu kwa sababu mambo ya kitalaam hayahusiani na siasa hasa za mitandaoni huku...........aliye tegemea kufurahishwa na Twaweza asahau kufurahishwa
 
bado nitazidi kuuchukulia huo utafiti kama outstanding, na watanzania wana muono wa sura ya matokeo hayo licha ya kelele nyingi za pande zote huko mitaani. Twaweza wamefanya utafiti na watakaukataa wakatae kwa tafiti sio blablaa
 
Back
Top Bottom