Ukawa ni wa kupuuzwa, madai yao mengi ni katika hali ya ushabiki, si ajabu kuipigia matarumbeta hii tafiti kama mgombea wao angeonekana kuongoza, hamuwezi kwenda ikulu kwa kupiga propaganda, ikulu inafaa walio na siasa safi za kueleweka, sio hizi za kitoto na kupinga kila kitu.
IN FACTS NI KWELI ALISEMA KWA MANENO KTK TV ;-
UTAFITI HUU HAUAKISI MATOKEO YA URAIS 25/10
NIMEMSIKIA MIMI MWENYWE LIVES!
ii
Kweli CCM ni wakatili leo hii TWAWEZA imegeuzwa kuwa TWAFEDHA!
IN FACTS NI KWELI ALISEMA KWA MANENO KTK TV ;-
UTAFITI HUU HAUAKISI MATOKEO YA URAIS 25/10
NIMEMSIKIA MIMI MWENYWE LIVES!
ii
ukiniletea account Original ya Maria Tofauti ni hiyo,Nasema @moderator anipe lifetime ban.Na je kama ni kweli ufanywe nini?....Siwezi anzisha mada Jukwaa la UCHAGUZI/SIASA hata siku moja kwa ushahidi wa kizushi...
Kwani karatasi ya kura itakuwa na oicha ya chama tu bila mgombea? Hudhani kuwa wapiga kura wanamjua wampigiaye kura na sio chama? Maana kama ni chama badi CCM hawawezi kuchaguliwa kwa kiti cha urais maana mabango ya Magufuli yameandikwa chagua Magufuli na hakuna sehemu imeandikwa CCM
ukiniletea account Original ya Maria Tofauti ni hiyo,Nasema @moderator anipe lifetime ban.Na je kama ni kweli ufanywe nini?....Siwezi anzisha mada Jukwaa la UCHAGUZI/SIASA hata siku moja kwa ushahidi wa kizushi...
Hoja ya Ukawa haina nguvu. Karatasi za kura zina picha za wagombea na pia kwa mujibu wa matokeo yao wapenzi wengi wa CCM ni wasiojua kusoma, hiyo hoja ha kutafuta ukawa inatoka wapi!? Wasiitumie hii kutaka kuhalalisha utafiti husio na mashiko!Tutakuwa tunaangalia palipoandikwa Lowassa; siyo palipoandikwa Chadema au Ukawa.
Sasa hao siyo watu wa kuchanganya ukawa na chama cha siasa...wanaufahamu halisi wa maana ya ukawa.wanajichanganya wanasema wapiga kura wa mjini wengi watachagua ukawa, vijana wengi watachagua ukawa, waliosoma wengi watapiga ukawa, kwa mujibu wa sensa vijana ni wengi, kwa mujibu wa tume ya uchaguzi vijana wamejiandikisha wengi, kwa mujibu wa serikali watu waliosoma ni wengi, kwa mujibu wa akili yangu mjini kuna watu wengi. sasa inakuwaje kwenye utafiti wa twaweza mambo yanapingana.
ni vyema hili wali angeulizwa Maria Sarungi mwenyewe....