marejesho
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 6,635
- 3,655
In a K/KOO mat,an elderly lady complaining about the music..Wekeni nyimbo za yesu'
Conductor: Mather,Yesu bado hajatoa album.......
Passenger: Kuna Kiti?
Conda:hao wengine wamekalia ndoo lakini wewe mambo safi usijali tutakupa kiti.
**************
Passenger: Kuna kiti ama ni Ule uwongo Wenu
Conda: Hehe,kama ulikuwa
unaogopa kukosa kiti c ungebeba chako!!
***********
Passenger: Punguza Sauti
Conda: Wewee,tuko na sheria za kutosha usituongeze zako
**************
Passenger: Bwana hii gari ina joto sana!!
Conda: Basi shuka upande fridge.
************
Conda: Madam,kuna seats pale nyuma, ingia
Passenger: Siwezi kaa seats za nyuma, nataka mbele.
Conda: Kwani za nyuma ziko nje ya gari.
Weekend Njema!