Majibu ya Dr Slaa kwa Sitta ni haya hapa

Conflict of interest.
kama 6 alitaka kugombea urais ni lazima zisiive na padri slaa.
pia kwa kua alitaka awe mwenyekiti nafasi ambayo ni ya kiukoo inamilikiwa na mkwe wake mmiliki wa casino lazima zisiive na mbowe.
 
Sijui utoto wa kuendeleza ukabila humu jamvini mtaacha lini nyie pro-ccm!
Udini mlio upandikiza sasa ume wagharimu lakini bado hamjapata funzo!

Conflict of interest.
kama 6 alitaka kugombea urais ni lazima zisiive na padri slaa.
pia kwa kua alitaka awe mwenyekiti nafasi ambayo ni ya kiukoo inamilikiwa na mkwe wake mmiliki wa casino lazima zisiive na mbowe.
 
Pasco
Wewe ndiye uko too low! Huyu mnafiki Sitta ameitusi CDM kwamba haina mtu mwingine anayefaa kuwa kiongozi zaidi ya Dr Slaa.Pili anasema Mbowe ni Disco Joker kwa hiyo CDM haina Mkiti wa maana.Kama hayo mawazo yake ni kweli kwanini alifanya mazungumzo na Disco Joker kujiunga CDM? Na kwanini alitaka kujiunga na CDM isiyo na viongozi zaidi ya Dr Slaa?
Pasco tunakujua wewe una chuki kubwa na Dr.Slaa ndiyo maana kila anachofanya Dr Slaa unakipinga na kumshusha thamani.Kwa bahati nzuri kwa vile tunafahamu msimamo wako wa chuki dhidi ya Dr Slaa hatushangai unayoandika dhidi yake!

No. Mkuu alichokisema Pasco hata kama ni mpinzani wako kina maana sana. Dr. Slaa hakupaswa kufika huko angalau kwa sasa. Alichoeleza sita ni weakness ya chama na mwenyekiti wake. Dr. Slaa angeeleza stregth ya chama na mwenyekiti wake pamoja na kuwa ni disco joker.siasa ni ushawishi kama ilivyo kutongoza mwanamke. Watu watamwogopa kwa kuwa hatunzi siri. Confidentiality ni muhimu sana
 
Last edited by a moderator:
Huyu Sita badala ya kupambana na makundi yanayompinga ndani ya
chama chake analumbana na CDM,sasa wakina EL,Chenge wanashangilia.
 
Dhaifu ni chama cha mabwepande, kama cdm ni dhaifu si mtumie udhaifu huo kutawala wa tz milele? Mbona mnarusha mawe sana kwenye huu mti cdm? Au ndo unamatunda mengi?
No. Mkuu alichokisema Pasco hata kama ni mpinzani wako kina maana sana. Dr. Slaa hakupaswa kufika huko angalau kwa sasa. Alichoeleza sita ni weakness ya chama na mwenyekiti wake. Dr. Slaa angeeleza stregth ya chama na mwenyekiti wake pamoja na kuwa ni disco joker.siasa ni ushawishi kama ilivyo kutongoza mwanamke. Watu watamwogopa kwa kuwa hatunzi siri. Confidentiality ni muhimu sana
 
Last edited by a moderator:
Asante Dr. Slaa kwa kutufumbua macho, tulikuwa hatuoni sasa tunaona na unafiki wa viongozi wa CCM tumeuthibitisha. Suala la Gharama za M4C si kazi Secretary General bali aulizwe Mkurugenzi wa fedha otherwise mtamwonea Dr. Have a nice week end.
 
bila shake wewe ni mwhu wetu nape kaz kwel kwel

jitahidini sana kuchangia mada husika kwa hoja na kupingana bila matusi/lugha mbaya na vijembe visivyo na tija. Heshimu mawazo ya member mwenzako. Be great thinker.
 
Pasco
Wewe ndiye uko too low!
Pasco tunakujua wewe una chuki kubwa na Dr.Slaa ndiyo maana kila anachofanya Dr Slaa unakipinga na kumshusha thamani.Kwa bahati nzuri kwa vile tunafahamu msimamo wako wa chuki dhidi ya Dr Slaa hatushangai unayoandika dhidi yake!
Mkuu Molemo, ni kweli Pasco mimi nina chuki kubwa sana na Dr. Slaa, kwa sababu mgombea wangu wa urais 2015 ni EL, sasa huyu Dr na hizi kampeni zake za M4C, atatunguzia tuu kura zetu za ushindi!, hivyo namchukia sana, tena kwa vile huwa napata fursa kuongea nae in confidence, subirini nami nimwage siri zake kila tulichozungumza, na nitaanzia msimamo wake kugombea urais 2015!, wewe subiria tuu utashuhudia hizi chuki zangu dhidi ya Dr nimmalize kabisa!.

Tena chuki hizi sio kwa Dr. tuu ni pia kwa Chadema!, tutakimaliza humu humu jukwaani, wewe subiria tuu!.

Pasco.
 
Ni kweli Pasco mimi nina chuki kubwa sana na Dr. Slaa, kwa sababu mgombea wangu wa urais 2015 ni EL, sasa huyu Dr na hizi kampeni zake za M4C, atatunguzia tuu kura zetu za ushindi!,
Tena chuki hizi sio kwa Dr. tuu ni pia kwa Chadema!, tutakimaliza humu humu jukwaani, wewe subiria tuu!. Pasco.

Kwa mtaji huo nakudharau moja kwa moja

Sisi tunalalamika na fisadi EL kuna watu kama wewe mnatuzimia taa ya nuru ya kutuangazia ukombozi

Nakupongeza kwa kukiri una chuki, kasoro yako unachukia pasipo uhalali wa chuki

Ebu kua uelewe tofauti ya imani za itikadi inavumilika bila chuki kama tulivyoivumilia CCM yako miaka 50 ya majuto

Mwisho heshima inaanzia kwa kujiheshimu Pasco jiulize uko wapi kwa hili?
 

Msisitizo katika redi hapo juu upo sahihi (correct) lakini hauko timilifu (incomplete).
Hauko timilifu kwa sababu hukuweza kuweka bayana hizo permanent interests zinalindwa na kuhifadhiwa kwa namna gani!
Tunaelewa kuwa katika siasa kuna kitu kinaitwa mikakati/mbinu za kisiasa(political strategies).Na kwa kutambua umuhimu wa mikakati, baadhi ya vyama huwa na wapanga mikakati wake(political strategists).
Kwa kawaida hawa huwa ni watu wenye ufahamu na ujuzi mpana katika maeneo ya siasa,saikolojia, uchumi ,elimu na mawasiliano.Ni wabobezi katika maeneo yao na wana akili zinazochemka..Hawa huweza kufanya kazi pasipo kujulikana kwa umma kwa kufanya kazi nyuma ya pazia(behind the scene).
Ni fani inayothaminiwa na inafanywa kisayansi na kimantiki na kwa kuzingatia ukweli pasipo kuweka uzandiki fitna,unafiki, majungu, uongo na upotoshaji uliopoozwa kwa kuitwa ''propaganda''..Mara tu weledi na umakini unapopuuzwa,mara moja, propaganda huchukua nafasi yake.
Sasa Spika Majeruhi amefanya propaganda zenye lengo la kupotosha.
Makamanda wameona ni vema kuweke ukweli hadharani ili wananchi wamwelewe mtoa ''hoja'' kwa kina.
Tunawezaa kuona kuwa lengo kuu(general objective) katika tamko hilo lilikuwa ni kuonyesha ya kuwa Majeruhi wetu hana uhalali wa kimaadili.Lengo mahususi(specific objective) lilikuwa kukanusha shutuma alizotoa hata kama zingekuwa zimetolewa na mtu mwenye uhalali wa kimaadili tofauti na yeye..Mara mtoa hoja anapokosa uhalali wa kimaadili asilalamike upande wa pili unapoachana na hoja zake na kuanza kumkabili mtoa hoja.Hii ni kawaida kabisa.
Katika siasa mbinu mbali mbali huweza kutumiwa..Hakuna mbinu ya aina moja..Mazingira ,kwa maana ya hoja na wakati tofauti, huhitaji mbinu tofauti.Naamini mbinu mwafaka imetumika.


Mkuu Fort Jesus, asante kwa darasa, nafarijika sana nikukuta jf inaongeza idadi ya vichwa vya Nguruvi3 type!, this is very healthy kwa mijadala humu jukwaani. Thanks.
 
Rudi jandon wawezaje kumwambia mkubwa kwako kuwa mwongo! Ikipangwa sita awe juu nani azuiae?Askar mnzuri huficha silaha zake kwani mbwa mlinzi hana kelele ila ingia maeneo yake utajuta kuzaliwa.

Hayo maneno mwambie John Mnyika.
 
Kwa mtaji huo nakudharau moja kwa moja

Sisi tunalalamika na fisadi EL kuna watu kama wewe mnatuzimia taa ya nuru ya kutuangazia ukombozi

Nakupongeza kwa kukiri una chuki, kasoro yako unachukia pasipo uhalali wa chuki

Ebu kua uelewe tofauti ya imani za itikadi inavumilika bila chuki kama tulivyoivumilia CCM yako miaka 50 ya majuto

Mwisho heshima inaanzia kwa kujiheshimu Pasco jiulize uko wapi kwa hili?
Mkuu Wewe Baba, kama utanidharau kwa kumsupport EL na kuiunga mkono CCM ili itawale milele, then nidharau kwa uwezo wako wote, muda wa kuniheshimu utakapo wadia, itakuwa ni heshima mbele mwanzo mwisho!.

Mimi ni miongoni mwa wale ambao tutasema ukweli mchungu daima hivyo kuchukiwa, kubwezwa, kudharauliwa, kutukanwa na hata kudhalilishwa ila ukweli utakapotimia itakuwa ni heshima mbele!.

Pasco.
 
kwa hiyo...?Kama kuna kufa ndio tusijenge majengo ya kudumu.Au kwa vile wanandoa wanapata pia Ukimwi ndio tusioe..?Lazima siasa ziwe dynamic kwani kama enemy anajirekebisha ,kwa nini afungie milango chama kitakuwa vipi?What if unaishi na adui tupu na wameshikilia resources zinazoshikilia uhai wako.Huwezi tumia the "enemyof your enemy is your friend"?CDM imefika hapo kwa mambo mengi ambayo yatachukua years CCM kuelewa.


Nani kakuambia kuna haja ya kuficha Siri ya mtu anayekwambia kuwa anakwenda kumbabu seya mwananzi huku ukijua ameathirika?Utakuwa na utiifu mbovu na utakuwa sehemu ya huo uovu.Itakuweje siku mtu anakunong`oneza kuwa ana kwenda wabaka watu wa jinsi ya kike wote nyumbani kwenu,kwa vile kaona wote wana mtamanisha na haomi wa kuacha...?utaendelea tunza hiyo sriri ndugu yangu?Mbaya zaidi hakuna ulipomuahidi kuwa hutosema?Kwani haikuwa sehemu ya mkataba.Na utakuwa mpuuzi kam utaiweka.

Kwani hata kama ungesema ulikuwa na uwezo gani wa kufanya kitu?

Tutakuamini vipi kuwa kweli ulikutana naye na mlichoongea ndicho unachoweza eleza?Au kwanini umlazimishe atumie vigezo vyako vya usahihi kama universal?Kwanza ujue Uwepo wake na nia yake ya kugombea ni card ya kuongeza unpredictability kwa upande wa ccm, so sicshangai kam dr. aliamua kukumanipulate ili ukawaanganye waliokutuma.CIA huwa wanawapoison agent wa wengine kwa kutumia "double agent".Na kumtumia kibaraka wa CCM in private kunaongeza imani na faraja ya uongo kwa CCM kwa vile wanadhani wamegundua kitu ya siri toka roho mwa mtu wanayemhofia.Kwa wanaume wajinga huwa ni rahisi sana kupoteza muda mwangalia mwanamke aliyekaa na sehemu ndogo ya juu ya mguu ikaonekeana,kwa mategemeo kuwa atazidi jiachia zaidi, na kadiri muda uanvyoenda ndivyo upuuzi unazidi na akili inaenda mbali zaidi,ikitaka zaidi mwisho mwanamke wa watu anajikalia vyema au kama ratiba ilimtak aondoke anaondoka.Na huyu jamaa anaondoka akiwa kaharibika fikra.Na pengine kuja kuwa mbakaji.

kwani wewe upo dependable?Mpaka hapo tayari tayari umeshatoa clue zote, na akikubana mtu kwa dakika kadhaa utajikuta umemalizia iliyobaki.

Kwani walipeana kiapo kisisemwe?sasa kwani kam asita alijua kuwa mdomo wake ni kama wa mtoto mdogo na sifa kwake ,zimezidi umri umri wake , na uzoefu wake hauna mahusiano na fikra zake kwanini akatafutie sifa pale?

Sita kadhani legacy ya bunge kulipua mambo imekuwa "Nobel Prize", hajui watu wanajua kual alizima nyingi, na vilizomponyoka zilitokana na upuuzi wa makundi ya ccm.

Huwezi jipitisha palipo "Canines" huku umebeba unga.Yeye kujipitisha CDM kwa kuweweseka na kujibwatukia mambo haimaanishi CDM walikuwa hawajui?Hujawahi pelekwa na dalali kwa muuzaji ambaye tayari mlishaongea naye?sasa dalali atajisifu kwa lipi?

Sitta anaweweseka, ingawa bado kuna watu wa Sura yake hadharani, sura ya kujifanya kuwaita wengine mafisadi, na hao wanaoitwa mafisadi bado hawajashika vizuri kamba ya kumnyonga.Dr. kulipua ni kumweka mahali pazuri mafisadi wamning`inize.He is very coward ingawa bado anaamini kuwa ni political asset.Hakujua kuwa CDM ingekuwa kinga yake sana kama angejiunga na kuwa downlow.Sasa kanyea kambi,siku analia kilio kikuu hakuna wa kumsaidia na alivyo mwoga sijui atalia na nani?Hawa ni watu wa grade ya chini sana kimaadili .Tabora haifanani na nafasi walizozishika.Tazama Rage,Sitta ,Lipumba nawengine.Lipumba hajaweza fight kutengeneza " proposal " atengeneze "model" atakayoipigia deme katik mashirika aya kimataifa ili pilot projects zipelekwe Tabora wanalia tuu na kukimbizwa na vivuli vyao.Pamoja na kuwa Tabora asali na tumbaku kibao inapatikana.

Dr, wa ukweli hawezi kuwa black mailed na wanasiasa uchwara.Hujawahi sikia mtu akimkimbiza mtu ,anapomweleza ujinga.Dr. kwa taarifa ya dr. ni kuwa baada ya chama kumpiga chini walimsitiri ila kwa vile mwenyewe anachokonoa ,ten akwa bidii na kulala ili hayo yasemwe basi ikabidi aanze mpatia haki yake.Sitta keshawehuka, akajichekesha kwa watu anaowaogopa sana, sasa anadhani akiwaonyesha kuwa anshambulia chadema watamwacha salama.Ahahisi kuwa wameshamkubali na kusahau jinsi alivyowamaliza na kubwatuka kwake.Hii ni ishara kuwa hata maana kamili ya uzoefu haijui.Hajui minefield anayotembea, hakumbuki kuwa kwa menye akili huwa hatakiwi kujenga mazingira ya kuwachoka walioshikilia siri zako.

Ningekuwa coordinator wa haya mambo ningemwita katik harambee, halafu pi animwalike Mh E.L ila nimwambie achelewe ingia,wakati sitta anapofikia bwatuka kuhusu ufisadi na kuwapaka matope wenzie.Mh .EL aingie, hata kabla ya kutamulishwa utaona jinsi Coward 6 atakavyopagawa.Kwa walio karibu na 6 na wenye kujua angalia tabia za mtu watakuwa wameona zaidi hofu yake.CCM wanamuua kwa hofu,wanamwacha akimbie kivuli chake ,akimbie kishindo chake mwenyewe na milio ya miti ipitiavyo na upeo.
Mkuu Nicholas, hili ni zaidi ya darasa, hii ni shule kabisa!. Thanks!.
 
Kwa niyo ulitaka anyamaze kwa kuambiwa tuna mwenyekiti dj?

Kuna mambo ya kuyafumbia macho lakini siyo haya ya sitta!

Sasa alivyo sema Dr slaa ndio tishio unajua nia yake?
Sitta alitaka kuivuruga cdm!

Na Dr angenyamaza ingeonekana kafurahishwa na maneno ya sitta hata wewe ungeongea mengine!

Sitta kapewa dose anayo stahili.

No. Mkuu alichokisema Pasco hata kama ni mpinzani wako kina maana sana. Dr. Slaa hakupaswa kufika huko angalau kwa sasa. Alichoeleza sita ni weakness ya chama na mwenyekiti wake. Dr. Slaa angeeleza stregth ya chama na mwenyekiti wake pamoja na kuwa ni disco joker.siasa ni ushawishi kama ilivyo kutongoza mwanamke. Watu watamwogopa kwa kuwa hatunzi siri. Confidentiality ni muhimu sana
 
Last edited by a moderator:
Pasco, I beg to differ!! Sitta should have behaved better in the first place. When you attack first, expect either an attack or nothing but the latter serves to confirm either truth or latter's weakness. This is why a response, of any sort, is usually expected!! People think punching below their weight guarantees wins, they just dont remember there are things called "shock defeats"!!

Sitta hit below the belt and he cant get away with it lightly. If CDM is an enemy, Sitta needed to keep them closer to his chest, going by your opinion. He was looking to score political points in poor manner. He attacked both CDM and its top brass personalities. Do we really need to hear Mbowe is a DJ and Dr. Slaa was once a priest??? Really?? Character assassination is a thing he went for and it's fair to be attacked from that same angle. Be it true on not, now people know he cant be trusted - CCM, CDM and CCJ!!! Now we know he wanted to join CDM n b their standard bearer and run for the speaker seat!! All that on just joining????

Sitta chose the wrong path. He dished out what he had, let others dish out what they have. Common sense suggests, what goes around comes around!! It was very low for the minister, former speak, member of CCM NEC to attack the Leader of House Opposition, chairman n secretary general of a prominent opposition party PERSONALLY!! We attack ideologies more, not personalities.

Kama wasemavyo wahenga, usitupe mawe kama wakaa kwenye nyumba ya vioo.
Mkuu New Order, asante kwa kunipiga darasa, somo linaniingia!.
 
We pasco jaribu kufikiri vizuri, yaani mtu ana chafua chama alaf aachwe?

Najua you against dr slaa always kwa hiyo huwezi kuona cha maana hakuna asiye kufahamu!
Mkuu Rutashobo, kwa vile mimi niko against Dr. Slaa, kwa hiyo ndiyo nisione chochote cha maana kwake!.

Niliwahi kusema humu kuwa kuna baadhi yetu humu wanawapenda viongozi wao mpaka kufikia kiwango cha kuwaona wao ni malaika hawawezi kufanya kosa lolote na kuna wengine wenu mpaka mnawaabudu kwa imani kuwa watawapeleka kwenye ile pepo ya 2015!.
 
Back
Top Bottom