Majibu ya Dr Slaa kwa Sitta ni haya hapa

ukitaka kufuga nyuki utanunua mzinga kwa garama, utauweka sehemu husika kwa gharama.

Nao nyuki ni wadudu wa ajabu sana ukishawatengenezea nyumba wataweka hifadhi ya chakula chao(ASALI).

Nyuki anaona ni haki yake kuishi kwenye mzinga ule kwani ameweka hifadhi yake mle ndani. Na mmiliki wa mzinga anahisi anayohaki ya kurina asali (hifadhi ya chakula cha nyuki) kwani yeye ndio kaweka mzinga.

AMANI hutawala wakati wote kila mtu anafanya mambo yake (yaani nyuki anapokusanya asali na mwenye mzinga kuendelea na shughuli zake pasipo kumbughuzi nyuki)

Je unajua nini kitatokea pale mzinga utakapoguswa???????????

Je unajua mwenye mzinga atafanya nini endapo atang'atwa na nyuki

Watch: SITTA VS CHADEMA
 
Wanabodi,
Kwenye the game of politics, hakuna permenent friend or enemies, kuna comon interests only!.

Kama ni kweli Sitta alijipanga kujoin Chadema na kuzungumza na uongozi wa Chadema in confidence, then this is uncalled for kwa Dr. Slaa to reveal this!. This is too low!.

Mbona wengi tuu tunajua fika Sitta was the man behind CCJ na tumejinyamazia?!.

Mbona mimi binafsi niliongea na Dr. Slaa kuhusu msimamo wake kugombea au kutogombea urais 2015, alinijibu na sijautangaza humu kwa vile mazungumzo hayo tulifanya off the record!.

Kitenndo cha kuleta mazungumzo ya faraga into an open is uncalled for, hali inayoonyesha baadhi ya viongozi wa Chadema are not dependable when it comes to secret deals, they'll blow you up!.

Kwa kuwasaidia tuu wasio fahamu, JK is very much aware Sitta na Mwakiembe were behind CCJ na akatumia principle keep your friends close, your enemies closer kwa kuwapa Sitta na Mwakiyembe ministerial posts just to keep them closer!, sasa hizi siri za Sitta ambazo Dr wa ukweli anazinwagwa hadharani, hazipunguzi credibility yoyote ya Sitta bali ya Dr. kuwa he is not dependable! which is not good for a "president in waiting"!.

Pasco.
 
Kama kuna watu wengine wana nia ya kuhamia chama chako mheshimiwa Dr. unawatia wasiwasi wa kuja kuwaanika mbele ya safari kama unavyofanya kwa Sitta.
Huoni ya kuwa unaweza kupoteza sifa ya chama?

kama unaimani na cdm hutakuwa na wasiwasi wa kujiunga.watu wanaochafua chama lazima waanikwe wazi
 
Kama kuna watu wengine wana nia ya kuhamia chama chako mheshimiwa Dr. unawatia wasiwasi wa kuja kuwaanika mbele ya safari kama unavyofanya kwa Sitta.
Huoni ya kuwa unaweza kupoteza sifa ya chama?

Sitta kayataka mwenyewe. CHADEMA si magamba na hekima imetawala kwa kuyaweka wazi muda mwafaka. Sifa ya chama itaongezeka kwa kuwa viongozi wanaonyesha busara hakuna unafiki.
 
Konrad Ardeneur Stiftung (KAS) chini ya rais wa zamani wa ujerumani, Hon Horst Kohler......una swali lingine usaidike? Kwa makubaliano gani, mi sijui.....
 
Dr Slaa, kama Prof Lipumba ni wagombea urais wa kudumu.

Bila shaka mkuu ritz na ecoli mumepata msg cha muhimu mumfikishie ujumbe mzee wenu mnafiki huyo tena sana hafai katika nchi hii ni haramu kabisa na mwenzake eti nae anataka urais sombody like membe nani awape urais wanafiki wakubwa hao for real M4C ndo mwendo.
 
Wanabodi,
Kwenye the game of politics, hakuna permenent friend or enemies, kuna comon interests only!.

Kama ni kweli Sitta alijipanga kujoin Chadema na kuzungumza na uongozi wa Chadema in confidence, then this is uncalled for kwa Dr. Slaa to reveal this!. This is too low!.

Mbona wengi tuu tunajua fika Sitta was the man behind CCJ na tumejinyamazia?!.

Mbona mimi binafsi niliongea na Dr. Slaa kuhusu msimamo wake kugombea au kutogombea urais 2015, alinijibu na sijautangaza humu kwa vile mazungumzo hayo tulifanya off the record!.

Kitenndo cha kuleta mazungumzo ya faraga into an open is uncalled for, hali inayoonyesha baadhi ya viongozi wa Chadema are not dependable when it comes to secret deals, they'll blow you up!.

Kwa kuwasaidia tuu wasio fahamu, JK is very much aware Sitta na Mwakiembe were behind CCJ na akatumia principle keep your friends close, your enemies closer kwa kuwapa Sitta na Mwakiyembe ministerial posts just to keep them closer!, sasa hizi siri za Sitta ambazo Dr wa ukweli anazinwagwa hadharani, hazipunguzi credibility yoyote ya Sitta bali ya Dr. kuwa he is not dependable! which is not good for a "president in waiting"!.

Pasco.

Pasco
Wewe ndiye uko too low! Huyu mnafiki Sitta ameitusi CDM kwamba haina mtu mwingine anayefaa kuwa kiongozi zaidi ya Dr Slaa.Pili anasema Mbowe ni Disco Joker kwa hiyo CDM haina Mkiti wa maana.Kama hayo mawazo yake ni kweli kwanini alifanya mazungumzo na Disco Joker kujiunga CDM? Na kwanini alitaka kujiunga na CDM isiyo na viongozi zaidi ya Dr Slaa?
Pasco tunakujua wewe una chuki kubwa na Dr.Slaa ndiyo maana kila anachofanya Dr Slaa unakipinga na kumshusha thamani.Kwa bahati nzuri kwa vile tunafahamu msimamo wako wa chuki dhidi ya Dr Slaa hatushangai unayoandika dhidi yake!
 
SIKU moja baada ya waziri wa Afrika Mashariki na mbunge wa jimbo la Urambo Mashariki Samwel Sitta kumrushia kombora mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe kuwa ,katibu mkuu wa Chadema Dkt Willbroad Slaa aibua tuhuma nzito dhidi ya waziri Sitta amwita msaliti .

Dkt Slaa amedai kuwa waziri Sitta ndie alikuwa katika makubaliano ya kuja kugombea uspika kupitia Chadema ila alisaliti pamoja na kukubaliana vizuri kuwa angekihama chama chake CCM.

Dkt Slaa alitoa tuhuma hizo leo mjini Iringa alipozungumza na waandishi wa habari katika hoteli ya M.R alisema ilikuwa Mei mwaka 2010, Sitta ambaye hivi sasa ni Waziri wa Afrika Mashariki alipokutana na viongozi wa Chadema na kuonesha dhamira ya kujitoa CCM na kujiunga na chama chao ila alionyesha usaliti wa hali ya juu.

Alisema kuwa katika mazungumzo hayo yaliyoendelea kufanywa katika kipindi chote cha bunge la bajeti lililokuwa la mwisho kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010, Dk Slaa alisema katika masharti yake ya kujiunga na Chadema, Sitta ambaye kwa wakati huo alikuwa Spika, alitaka apewe nafasi ya kuwania urais kupitia chama hicho na vikao vilikuwa vikifanyika ofisini kwake Dodoma.

Alisema ameamua kutoa siri hiyo baada ya kiongozi huyo (Sitta) kunukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari juzi akidai kwamba Dk Slaa ni mtu pekee ndani ya Chadema ambaye ni tishio kwa urais katika uchaguzi ujao, huku akimponda Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kwamba ni mchezesha disco.

Hata hivyo alisdai kushangazwa na waziri Sitta kuanza kuzungumzia mambo ya watu badala ya kujibu hoja na kuwa Chadema haipendi kuzungumza habari za watu, inazunguma maendeleo. Kwa muda mrefu tumemuhifadhi Sitta lakini baada ya kupeleka mashambulizi sehemu isiyohusika sasa tunampiga ngumi za tumbo na uso

Dkt Slaa alisema kuwa wakati akitaka aandaliwe mazingira ya kujiunga na Chadema na kupewa nafasi ya kuwania urais, Sitta alidai ana kundi la wabunge zaidi ya 55 waadilifu kutoka katika chama hicho ambao angetoka nao pamoja CCM na kuhamia Chadema kabla ya bunge kuvunjwa.

Alisema kwa kuwa Chadema haina ubinafsi, ilihadi kuyafanyia kazi maombi yake ya kuwania urais kwa uzito mkubwa hata hivyo katika mazingira ya kushangaza aliwatelekeza.

Dk Slaa alisema Sitta ambaye uzoefu wake katika siasa na umakini wake katika kushughulikia maendeleo ya nchi umeanza kuwatia shaka watanzania, alisahau jinsi alivyowatelekeza kabla ya Uchaguzi Mkuu na baada ya uchaguzi huo akaja na hoja mpya kitaka Chadema wampe nafasi ya kuwania uspika kwa kile alichodai kuwepo kwa mizengwe ndani ya CCM.

Katika mazingira ya kushangaza badala ya kufikia uamuzi wake wa kuhamia Chadema kama dhamira yake ilivyomtuma, Sitta aliwatelekeza tena akidai kwamba atajiunga na chama hicho mpaka pale atakapokwenda jimboni kwake Urambo na kutangaza rasmi kujiondoa CCM.
Alisema kiongozi huyo aliyekuwa akitaka msaada wa viongozi wa Chadema ili afanikiwe kujiunga na chama hicho na hatimaye kupewa nafasi ya kuwania nyadhifa alizokuwa akitaka ameanza kuwatusi hadharani viongozi hao akiwemo Menyekiti wake Mbowe.

Alisema kauli inayotolewa na Sitta kwamba Mbowe ni mchezesha disco inadhihirisha jinsi asivyo makini jambo linalowafanya waanze kuitilia shaka elimu na uzoefu alionao katika kuendesha shughuli za serikali.

“Sita anataka kutuambia kwamba watu wanaocheza disco wakiwemo mawaziri wengi tu wanaokutwa kwenye kumbi za burudani wanatenda dhambi na ni uhalifu kufanya hivyo?,” alisema.

Alisema kama biashara hiyo ya Mbowe inafanywa kinyume na sheria za nchi, serikali inasubiri nini kufuta leseni yake.
Kuhusu uongozi na namna ya kupata viongozi ndani ya chama hicho, Dk Slaa alisema sio kazi ya Sitta akuwapangia utaratibu.
“Sitta hajui kwamba duniani hakuna chuo cha kusomea uwaziri, ukatibu mkuu, na hajui kwamba Mwalimu Julius Nyerere hakuwa na uzoefu wakati akipewa madaraka ya kuongoza taifa hili na kwamba hata wasaidizi wake nao walipata uzoefu baada ya kupata madaraka,” alisema.

Alisema Sitta ni kiongozi mnafiki na atakumbukwa zaidi alipokuwa Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwasababu kuna hoja mbalimbali zilizowasilishwa na wabunge wa upinzani kuhusu ufisadi alizizima.

Alisema kuzimwa kwa hoja hizo ikiwemo ya Mkataba uliogubikwa na utata wa Buzwagi, unadhihirisha jinsi naye alivyotumia madaraka yake vibaya kwa kujenga ofisi ndogo ya Spika ambayo yeye aliita ya mbunge jimbo kwake Urambo.

Alisema wakati serikali imeridhia ofisi za wabunge zijengwe kwa kiasi cha fedha kisichozidi Sh Milioni 40 kwa kuzingatia upatikanaji wa fedha, ofisi hiyo ya Urambo ilijengwa kwa Sh Milioni 350.

“Kauli zinazotolewa na Sitta kuhusu chama chetu zinadhihirisha jinsi alivyomnafiki na asivyofaa jambo lililosababisha hata CCM wamemnyime nafasi ya kuwania kugombea kwa mara nyingone tena nafasi ya Uspika,” alisema.

Dk Slaa na viongozi mbalimbali wa chama hicho wako mkoani hapa, wakisubiri waanza mikutano yao ya vugugugu la mabadiliko walilolipa jina la M4C baada ya kuzuiwa na jeshi la Polisi kufanya mikutano yao katika kipindi chote cha sensa.

Wakati huo huo Dkt Slaa ameshindwa kutolea ufafanuzi juu ya kiasi cha fedha walizotenga kwa ajili ya mikutano yao ya M4C inayoendelea hapa nchi huku akiishia kudai kuwa fedha zinazotumika ni fedha zinazotokana na ruzuku ya serikali na michango ya wananchi bila kutaja kiasi hicho cha fedha.

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Said Issa Mohamed hupenda kusema "kikikosekana kizuri, kibaya huonekana ndiyo kizuri." Kwa sababu hakuna taarifa nyingine inayosadifu exactly kilichozungumzwa kwenye press conference hiyo, habari kama hii iliyoandikwa kwa kulipua, inaweza kuonekana ni nzuri.

Lakini kwenye rangi hiyo nyekundu, mwandishi kanifurahisha sana, kwa kuamua kujiunga katika kundi la waimba taarab wa mabilioni mchafu wakiongozwa na Katibu Mwenezi. Swali liliulizwa na mwandishi mmoja hivi double dealer na lilijibiwa inavyotakiwa.

Punde itawekwa hapa taarifa kamili ya press conference ya leo. Baada ya kikao cha tathmini ya leo kumalizika.
 
Dr.Slaa, acha uongo bana ulikuwa wapi kusema hayo yetu, wewe ni mgombea urais wa Chadema unataka kutuambia ungekubali Sitta awe juu yako.

mkubwa umes6a vzuri huo uzi? Anasema kabla ya twent10 ndoa alikuwa sita anapropose hivyo na afta that baada la zengwe la uspika aktaka kugombea kupita chadema. Uzee uharibu sura ila NDIO FACULT YA BUSARA NA HEKIMA.
 
sijafurahishwa na malumbano haya kati ya dr slaa na sitta kwa sababu kwa maoni yangu hawa wawili ni viongozi bora katika nchi hii. mimi nadhani hawa wakiunganisha nguvu na kuwa pamoja ktk uongozi wa juu wa nchi wanaweza kutusogeza mbele.
 
ulichojibu wewe ndo wehu.
wewe unayejibu wehu kwa wehu, je hujui kuna ktu kinaitwa freedom of speech. I believe dr slaa has not replied, apropriately, bali amemwaga mtamaa penye kuku wengi. Sasa wale wote ambao wants to test waters and join chadema, but during negotiations there is no agrement concluded si wataogopa kujaribu hata kuongea na wana chadema.

Dr slaa ametuumiza sana, this shows how poor of a politician he is..........
 
Sita ameingia choo chaaaa.....au kama ameingia kwenye lift halafu amesahau kubonyeza anakokwenda hivi..

Senema ndo hii sasa,ni wakati wa kuzima taa....
 
wanabodi,
kwenye the game of politics, hakuna permenent friend or enemies, kuna comon interests only!.

Kama ni kweli sitta alijipanga kujoin chadema na kuzungumza na uongozi wa chadema in confidence, then this is uncalled for kwa dr. Slaa to reveal this!. This is too low!.


Mbona wengi tuu tunajua fika sitta was the man behind ccj na tumejinyamazia?!.

Mbona mimi binafsi niliongea na dr. Slaa kuhusu msimamo wake kugombea au kutogombea urais 2015, alinijibu na sijautangaza humu kwa vile mazungumzo hayo tulifanya off the record!.

Kitenndo cha kuleta mazungumzo ya faraga into an open is uncalled for, hali inayoonyesha baadhi ya viongozi wa chadema are not dependable when it comes to secret deals, they'll blow you up!.

Kwa kuwasaidia tuu wasio fahamu, jk is very much aware sitta na mwakiembe were behind ccj na akatumia principle keep your friends close, your enemies closer kwa kuwapa sitta na mwakiyembe ministerial posts just to keep them closer!, sasa hizi siri za sitta ambazo dr wa ukweli anazinwagwa hadharani, hazipunguzi credibility yoyote ya sitta bali ya dr. Kuwa he is not dependable! Which is not good for a "president in waiting"!.

Pasco.
well said bw pasco, umemaliza , trully a man of wisdom
 
Viongozi wa that ccm wenye machtngu na nchi hawafiki hata watatu weng wao wamejaa akina mr tumbo piga ua angalia hata uchaguzi unaoendelea wadada wengi wanagombea na wengine wanapata nafasi za bure sababu wanajua kuna pesa lakn wachache ambao ni self fighters kama halima mdee angalia walivyo aktivu ndani ya chadema sio sababu ya matumbo kama washenzi weng walioko ccm mazuzu mengi yako ssem mwangalie nape hana dhamila ya kweli kumkomboa mwananchi wa chini mcheki tumbolake lilivyokubwa sasa ndo utaju alikuw TUMBO FIGHTER TU! M4C DAIMA TUMBO FIGHTER NO CHANCE.
 
Dr.Slaa, acha uongo bana ulikuwa wapi kusema hayo yetu, wewe ni mgombea urais wa Chadema unataka kutuambia ungekubali Sitta awe juu yako.

Rudi jandon wawezaje kumwambia mkubwa kwako kuwa mwongo! Ikipangwa sita awe juu nani azuiae?Askar mnzuri huficha silaha zake kwani mbwa mlinzi hana kelele ila ingia maeneo yake utajuta kuzaliwa.
 
Dr Slaa, kama Prof Lipumba ni wagombea urais wa kudumu.

Slaa hii ni term ya pili,yaani kama Kikwete vile.Ila lipumba si ana umri wa CUF ktik chaguzi kuu?Napata taabu pia hapa...au ndio unalegeza kidogo ? ...unaficha uhasilia wako katika silly comment kama hii?teh teh ndio free thinker wetu hawa.
 
Sasa ukisema hoja hujibiwa kwa hoja mbona hukuambatana na huyo baba yako 6 ukamkumushe kujibu hoja za chadema badala ya kuongelea ma - Dj? au na hiyo ni hoja? Pole sanaaa kwa kuchoka kufikiria.:yawn:
 
Back
Top Bottom