Majibu ya Dr. Masau wa THI kwa maswali mbalimbali

tulia dogo utabakwa bure! huyo sijui nani unayemtegemea ulimi huooo ndio itakuwa wewe ambae hata ungo bado hujavunja!!? makelele tu, huna lolote la maana unaloongea zaidi ya kujaza pages tu hapa!! nenda kafundwe, halafu rudi hapa siku nyingine mara nyingine..'till then, take care of your young, stupid and fragile self.!!

MODS.

Nimetukanwa bila sababu naomba sheria ichukue mkondo wake, yote haya sababu kuna watu wanataka kutudanganya kuwa unaweza kutibu Marekani bila Leseni wakati Masau mwenyewe kasema hakuwa na leseni na hakutibu Marekani, mimi nijuavyo Gari huwezi kuendesha Marekani bila leseni ya Marekani hata kama umekaa miaka 20 na hilo gari useme kuwa unapanda wewe mwenyewe, sidhani kama Wamarekani wanaweza kumruhusu mtu kutibu bila leseni kutoka kwenye bodi ya udaktari, wanataka kutuambia kuwa leseni ya udereva ya Tanzania inafaa Marekani.

ukienda kujiendeleza na kozi ya Urubani Marekani unaweza kuwa na leseni yako ya Tanzania kwenye mafunzo lakini huwezi kurusha ndege za kimarekani na kubeba abiria wa Kimarekani bila kupata idhini ya bodi ya Wamarekani.
Acheni kudanganya watu Marekani inajulikana hadi kwenye mitandao sio lazima mtu aishi miaka 20 ndio aijue.
 
Kweli Jf Imevamiwa!!!!waeanza Na Ujuzi Mmepewa Vielelezi=o

Wamekuja Na Kodi!!!nyie Tra???????

Wachieni Mahakama Zifanye Kazi

Loh!!!!!!!!!!!!!!!
 
kwani ili kueleweka ni lazima uandike kwa makelele namna hiyo? hivi ni chepi unachoongea wewe ambacho wengine hatukijui!? jamaa hakuwa na leseni hapa US ya ku-practice Medicine, fact na wote tunajua!! jamaa kasomea upasuaji wa moyo na ni bingwa, fact na wote mpaka wewe unajua!! sasa ubishi wako ni nini hasa? Acha utoto, grow up na unabore kichizi yaani...... kama ishu ni kushinda mjadala basi wewe na buraza "kalumanzira" mshashinda, sasa nini tena? maana mshamchafua Dr. wa watu vya kutosha kwa kutaka kwenu sifa za kuonekana wachambuzi wa mambo mliobobea, kumbe si lolote kama mchele ni "mdundiko" toka Japan.

mshindwe na mlegee.

Buraza Kalumanzira....bwahahahahahahahaha...hii imenichekesha. Huyu buraza kachemsha kweli kweli hapa.....
 
Kasomea udaktari Muhimbili akaenda Uchina.
HAJAWAHI KUTIBU MAREKANI NA HATAMBULIKI KAMA DAKTARI MAREKANI ILI ATAMBULIKE INABIDI AJISAJILI NA BODI HUSIKA KITU AMBACHO SI RAHISI KWAKE.
NINACHOPINGA HAPA ULE UONGO UNAORUDIWA RUDIWA KUWA ALIKUWA AKITIBU NA KUISHI MAREKANI,KWA BAHATI MBAYA VYOMBO VYETU VYA HABARI VINAANDIKA TU KITU AMBACHO SI KWELI, NITAKUFA NA UKWELI HUU KUWA HAKU PRACTISE MEDICINE YAKE MAREKANI,HILI HALIHITAJI KUMJUA MTOTO WA DR.SALIM AHMED SALIM ALIYEPO NEW YORK ANAYEFANYA WORLD BANK,AU BALOZI DR.MAHIGA.

MWANAKIJIJI AKIWA KIJIJJINI NACHINGWEA ANAWEZA KULIJUA.

AU ATIBU BILA LESENI KAMA ALIVYOSEMA FMES ILA HUO SI UTARATIBU WA NCHI NA WIZARA YA AFYA YA WAMAREKANI.

Ebana eeh jibu swali: Unakubali kuwa alisomea upasua moyo?
 
MAUMAU MKUU

SOMA HAPA

2. Nilikuwa sponsored na University of Texas Health Science Center-Houston kwenda Texas Heart Institute kwenye Cardiovascular Surgery Fellowship Program. Nilikuwa Texas Heart Institute kwenye hiyo program kuanzia January 1997 hadi June 2000 na katika kipindi hicho nilishiriki katika kufanya operation za upasuaji wa moyo zaidi ya 1800 (vielelezo vyote vipo).
 
pumba tupu! andika kitu ambacho hatukijui...leta info mpya na sio una recycle pumba zile zile toka uanze kupost ktk huu mjadala....kama unaweza kuchukua pumzi, basi rudia post zako na jisome uone jinsi ulivyo kiwavi!!

Mods hawakuokoi wala nini..wewe njoo na point hapa na maisha yako yatakuwa burudani, vinginevyo unaleta story ya "the muffins joke." STOP IT.....nyoooooo
Pumba za aliyesema kuwa unaweza kutibu bila leseni Marekani na Masau kajibu kuwa hakuwa na leseni hakutibu Marekani na hajulikani na TEXAS MEDICAL BOARD kama Daktari anayetibu.
 
Ulimi umemtoka kama mbwa koko alokurupushwa akiwa ktk mitkasi ya kuiba kuku wa jirani!! Mie nilijua tu kuwa jamaa anaji-set up na siku zake si nyingi atakuja kuumbuka.

Eti, "oooh mie hapa kiwanjani nimefanya kweli na nilikuwa siangalii grammies and blah blah blah." Bull $hyt....watu wameangalia grammies, ma-spring break na membership za kwenye viatu virefu na wameitoa vilevile!! sasa sijui unataka kutwambia nini...mijitu mingine bwana ovyoooooooooooo, bure ni ghali!! Lijamaa linakera sana.
Endeleeni naona hamna nia ya kuchangia zaidi ya shari.
Kazi njema endeleeni.
 
nani sasa asiyejua hilo? kama unaishu na alosema hivyo sasa si umalizane nae kwenye PM kwani ni lazima utupe wooote ride hapa? isitoshe ni post ngapi umetundika unaongelea jambo hilo hilo moja? shika adabu yako na jaribu kujiheshimu.
Lete matusi zaidi, hiyo hainizuiwii kumjadili Masau na mapungufu yake hata ushushe matusi kila Post ndio unazidi kunipa nguvu.
 
exactly...get outta here!!.

Vitisho kwangu ni mwiko kaanza mwenzio kuwa kaishi miaka 20 Marekani na sasa kakimbia, wewe lete matusi kadri unavyoweza lakini Masau hakutibu Marekani na hana LICENCE ya kazi hiyo, matusi yako na jamaa zako hayawezi kuwa LICENCE ya Masau Ku practise Marekani, yeye kakiri hakuwa na licence, wewe mpambe unasema alikuwa na licence.
 
Kuna watu watatamani dunia ipasuke waingie huko wajifiche. Duh hii ni kali haya tulikuwa tunagubikwa hapa na porojo. Mwenyewe kasema sasa. Bring another Theory...

Amekubali kuwa hakuwa na licence ya udaktari ya kutibu na hakuwahi kutibu kama Daktari alikuwa Marekani kwenye capacity ya uanafunzi tu, Hakuwahi kuajiriwa kama Daktari na Taasisi yeyote Marekani. Yalisemwa mengi kuwa kafanya kazi na alikuwa akilipwa vizuri angelipwa vipi bila leseni?

Ukiwa na leseni ya udereva ya Tanzania huwezi kuendesha UK au Marekani bila kuwa na leseni au kupewa baraka za bodi zinazohusika na mambo hayo za UK au Marekani.

Masau anasema hajui Mtandao wakati alifanya mahojiano na Mwanakijiji kutokana na mijadala iliyopo humu JF kumuhusu yeye? na anasema hatujui lakini alihojiana na Mwanakijiji wiki tatu zilizopita. Masau amekuwa na kauli za kubabaisha sijui anaficha nini.

Kwenye Mahojiano alisema kuwa kama atawekewa mizengwe na serikali ya Tanzania atarudi Marekani, leo anasema hana leseni ya kutibu Marekani na hakuwahi kuwasiliana na bodi inayotoa vibali kwa madaktari kwani hakuwa na nia ya kuishi Marekani, lakini wakati anaongea na Mwanakijiji ali PRETEND kama ni Daktari anatibu Marekani, hayuko sawa anabadili sana kauli zake.
 
Mie najua kama Masau hana licence ya kutibu hapa US kitambo! lakini hapa mjadala ni kama huyu bwana ni Mpasuaji wa moyo aliyebobea....wewe unang'ang'ania kitu ambacho kishaeleweka na si cha msingi ktk mjadala huu.......

Matusi bado hujatukanwa, ukitukanwa utajua??
Kwa kauli hii unapingana na Mwanakijiji aliyesema kuwa alikuwa akilipwa pesa nyingi na Wamarekani kama daktari Bingwa? mbona mwenyewe alisema akiona mizengwe inazidi atarudi Marekani kuendelea kuwatumikia Wamarekani, jee alikuwa akidanganya na kututishia Nyau Watanzania ili tushtuke na kuona kuwa yeye ni kifaa kinaliliwa Marekani hivyo tumuache akae bure na tusimdai?
 
Duh ukisikia kumkoma nyani ndio huku....
Alafu kuhusu madokta kupractice bila license hizo cases ziko nyingi tuu, ukigoogle unazipata, mfano mzuri ukienda kwenye communities za latinos unawakuta tuu...
 
Mimi nipo hapa Texas kwa miaka 11. Watanzania wenzangu ukweli ni kwamba Dr. Massau anasema ukweli na malumbano ya utalaamu wake hayana msingi. Kama mnataka kuzungumzia mambo mengine sawa lakini ukweli ni kwamba huyu jamaa kabobea na mimi namfahamu kwa miaka yote hapa Texas na familia yake. Tatizo dogo alilonalo ni la kitabia, ni mbinafsi kidogo na kitu hicho ndicho kibaya tu ambacho nimekiona. Siyo mfisadi na hapendi makuu kwenye maisha na si mtu wa kujilimbikizia pesa lakini ni mbinafsi na hilo si siri. Iliuweze kufanya udoctor binafsi unahitaji kufanya mitihani na kufanya hospitali ili upate Residency lakini kama hutafanya kazi marekani haina maana kwani kila nchi inasheria tofauti. Kwa ufupi watu wanaojaribu kusema Dr Massau hajasoma au si muhitimu ni kichekesho kwani ukienda Texas Medical Cnt ambayo ni kubwa kuliko zote duniani na kuuliza Dr Massau kwa madaktari wengine wanamjua na ukifanya kazi hapo na ni Mtanzania wanakuuliza kama unamjua Masau. Msemeni kwa mangine lakini education na qualification mtachemsha na kuonekana wajinga na washabiki.
Kwa kauli yake kasema hakuwa na licence ya kutibu ya TEXAS na board ya kutoa licence hajawahi kuwasiliana nayo alitibu vipi bila leseni? soma paragraph namba mbili ya maelezo yake. HUWEZI KUTIBU BILA LESENI sawa unaweza kuwa dereva Mzuri lakini lazima uwe na leseni ili uendeshe gari.
 
Duh ukisikia kumkoma nyani ndio huku....
Alafu kuhusu madokta kupractice bila license hizo cases ziko nyingi tuu, ukigoogle unazipata, mfano mzuri ukienda kwenye communities za latinos unawakuta tuu...

Ukisema kuwa alikuwa anatibu bila licence ni kosa kubwa ni sawa na kumuuzia kesi? wapo wengine wanatumia vyeti vya wengine lakini huo si utaratibu,
yeye mwenyewe kasema ili atibu TEXAS alihitajika kuwa na LICENCE lakini hakuwa contact Texas Medical Board na wala hawamjui, kwa kauli yake ili utibu lazima uwe na LICENCE hili halihitaji kuishi miaka 20 Marekani au kumuuliza mtoto wa waziri yeyote unaweza kulipata kwenye google.
 
Mkuu hapa na wewe unaharibu sana, huko USA uliwakuta watu kibao waliokuwepo kabla hujaenda, mimi nimekaa US 20 years, ninasema haya maneno yako sio kweli kabisaa ni pure nonesense, acha kujiingiza kwenye shimo la choo na uongo usioweza kuuthibitisha,

The only way watu walioamua kufanya udakitari huko US bila ya kua na leseni wanaweza kushikwa ni iwapo tu mgonjwa aliyetibiwa na hao madakitari vihiyo, atalalamika kwa serikali kuwa hakufanyiwa inavyotakiwa na huyo dakitari kihiyo, au kama mgonjwa atakufa kwa utata, otherwise wapo madakitari kibao huko wasiokuwa na leseni wala kibali, wanakamatwa kila siku wakiwa wamesha-practice kwa miaka karibu kumi au ishirini, ninawajua wabongo kibao wenye kusoma udakitari hawana leseni na wana-practice kwa under the table,

Kama vile ambavyo wapo watu kibao huko wenye green card za feki, kuwajua ni mpaka washikwe, ama sivyo mimi nina washikaji kibao wanazo na wanadunda tena wengine mpaka wkenye kazi za serikali, kama una ishu nyingine na huyu Dr. Masau uiseme wazi, lakini hii ya ku-practice bila kibali au leseni lipo sana na linaeleweka sana na hata kwa serikali ya US.

Hapa kwa mara ya kwanza umejibiwa na the horse mwenyewe, sasa omba radhi au shut up! Lakini usiendelee kutuabisha wengine wote hapa JF, nilikuambia kuwa huwezi kupiga siku tu kule Texas Board of Medical wakakupa info za siri za mwanafunzi aliyewahi kusoma pale, nilikuambia kuwa haijawahi kutokea in USA, now stop it usiendelee kututia aibu hapa na maneno mengi ya shule ambayo ni hewa tupu, jaribu kutumia elimu yako kuwaelemisha wananchi wengine wasiokuwa nayo, sio kuwatisha tisha na maneno hewa,

Dr. Masau sujui mengine mkuu, lakini kwa hili ninakupa heshima kwa kujibu inavyotakiwa, kma hatuna hoja zaidi tumuache mzee wa watu aendelee na kazi zake.

Ahsante Wakuu!

DR.Masau kasema kwenye maelezo yake paragraph ya pili kuwa HAKUWA NA LICENCE YA TEXAS na hakuwahi kuwasiliana na bodi inayotoa leseni ya kutibu kwa vile hakuwa na nia ya kuPRACTISE Udaktari Marekani, kauli ina maana kuwa hakuishi Marekani kwenye capacity ya Udaktari.
Pili
Kusema kuwa unaweza kutibu bila leseni kwa wale madaktari Vihiyo una maana alikuwa akitibu UNDERGROUND? kwanza ni kosa la kisheria na ikithibitika basi atakuwa na kesi ya kujibu, na kama alikuwa akifanya hivyo TEXAS basi una ungana na kauli yako wanaofanya hivyo ni madaktari vihiyo jee DR.Masau ni kihiyo?

ES unaweza kuendesha gari bila leseni kwa safari kadhaa lakini sheria za udereva ni kuwa na leseni hata kama unajua kuendesha, naamini fani ya Udaktari nayo inaheshima yake kama ku Practise ukiwa na baraka za bodi husika.

KUHANI yuko very right kuwa Masau hakuwahi kuwatibu Marekani kama kazi ndio maana hana picha hata moja akiwa Marekani kavaaa nguo za kidaktari.
Tulidanganywa sana kuwa alikuwa KIPUSA kwa Wamarekani, Mwenyewe kajikoroga kuwa hakuwa na leseni na kamuogopa KUHANI kama angesema ali Practise jamaa wa TEXAS wangemfungilia kesi kwa kutumia jina lao vibaya.
kuna watu wanapenda kupita mitaani na kujifanya kuwa wao ni usalama wa TAIFA kumbe sio kweli.

KUHANI.

Endelea kazi nzuri sana jamaa kajua unafuatilia kakubali ukweli kuwa hakufanya kazi TEXAS kwani alijua kuwa akisema uongo wewe utaupeleka kwenye Medical Board.
 
zipo Nyingi Sana Hasa Kwenye Communities Za Wabrazil Huku Ninapoishi Mimi...na Kesi Nyingi Ni Cosmetic/elective Surgeries....lakini Sidhani Kama Huyu Bwana Alikuwa Ana Practice Illegaly!! Mie Naona Hii Ni Smear Tu...

Dogo Anasema Eti "huwezi Hata Kuendesha Gari Bila Leseni Hapa Us"!? Lazima Atakuwa Anaota, Au Wewe Unasemaje?

Sheria Inakutaka Uwe Na Leseni Ya Gari Hata Kama Unaendesha Vizuri Kiasi Gani, Kama Ilivyo Kuna Watu Wako Marekani Na Hawana Permit Lakini Si Sheria Inavyosema, Kama Ambavyo Unaweza Kuuza Madawa Ya Kulevya Au Kuwa Unaiba Chip Za Computer Marekani Lakini Sheria Haisemi Hivyo, Tunazungumzia Sheria Za Nchi Sio Njia Za Panya.

Ukisema Kuwa Masau Alikuwa Akifanya Illegal Unamuingiza Kwenye Jinai Bora Unanyamaze Kama Matusi Yamekwisha.
 
nadhani una matatizo makubwa sana, kujibishana na wewe ni kupoteza muda.

Matatizo unayo wewe na wenzako, mliotaka kutudanganya kuwa mtu unaweza kutibu bila leseni Marekani kwa vile mna miaka 20, yapo mnaweza kutudanganya na vigumu sisi kuthibitisha kama vile ukisema mnaishi NEXT DOOR na Bill GATES au jana Mlimtoa OUT OPRAH au suti anazovaa OBAMA ameazima kwenu na kwenye kampeni ya OBAMA mmechangia dola laki moja siwezi kubisha.

Lakini kusema kuwa DR.Masau alifanya kazi ya Udakatari Marekani sikubali na kuwa alifanya akiwa hana leseni ni kosa hata ukiwa Somalia kusiko na serikali bado ni kosa , sembuse Marekani?

Masau hakuwahi kuishi Marekani kama Daktari alikwenda kwa kozi ndogo ndogo na aliishi kama Mwanafunzi sio kama Daktari. Hivi unajua Daktari wa Moyo analipwa bei gani Marekani? anavyoipenda pesa Masua angerudi Bongo?
 
mioyo 1800 tangu 1997 - 2000; very possible; I attended several heart attack victims (myself as a patient); real in a day that group of Doctors used to attend (Surgery) about 20 more patients; but such operation differ, either bypass, adding a pace maker etc etc!

Kwa suala la Dr. Masau, such a shining examples of motivated doctors; if i was a Government official responsible for this issue, i cud have taken a fair solution discussing issues to solve differences and make something constructive come out!

Sijui kwenye serikali hawa watu wame-discuss vipi na Dr Msau, lakini mie naona issue hii siyo problem ni license; the guy is a real professional who can be utilized!!
 
Unaona sasa hiki kitu! Eeeh, Dr. Masau, unaona unavyozidi kuharibu! You're in a hole, the first thing you wanna do is stop digging, alright!

Ningekuwa sijakaa Marekani hata mimi labda ningempa kibali cha kufungua hospitali. Na ndio maana nasema watu wa Afya ni vigumu sana kumshuku mtu kama Masau.

Ni hivi, hakuna kiumbe cha Mwenyezi kinachoweza kugusa mgonjwa - achilia mbali kupasua - kugusa mgonjwa wa mafua Marekani kama huna kibali cha uganga. Period. Simple as that. Period.

Nimekaa kiwanja mvua kibao, and trust me, I didn't spend my life in America watching the Grammies, alright, I'll tell you that for sure. And in the modern world of google you don't even have to subscribe to the morning paper so as to learn the system.

I don't think there is any way whatsoever that foreign doctor, unlicensed in America, can come here and perform an operation, so Dk. Masau, enough with the obfuscation. Please, sir, please!

Wale watu pale Afya, oh yeah, utawapelekesha, lakini sio mtu aliyeishi Kiwanjani mvua nenda mvua rudi, so please save me that spin, ok. Thank you.

Kwa sababu hoja yake ina udhaifu anaposema huwa anakuja na kurudi hapa kufanya operation anapotaka - wakati hana kibali - basi hata hayo mengine ya operation 1800 wakati anajifunza nashindwa kumwamini.

You have to have a license to practice in America. That's mandatory in the story!

Kuhani wa MARUHANI. Si ukiri tu kuwa ulizusha! Muungwana huomba radhi atelezapo kwa hoja. Umeshindwa hoja sasa wazua vioja...

Asha
 
Back
Top Bottom