Majibu ya Dr. Masau wa THI kwa maswali mbalimbali

Hata Afya kuna walioishi Marekani kama wewe! na wametambua qualifications zake na kumpa licence.

Convince us that Afya people were wrong and YOU ARE THE ONE WHO IS RIGHT!... Yaani unawazidi hata jamaa wa Tanganyika Medical Board! Duh!

Mimi binafsi ninao ndugu (wa karibu kabisa) ambao wako pale Afya waliosomea Emory School of Medicine (Atlanta, Georgia)....
 
Wanafunzi wanaosomea uzamili UK katika Hospitali Uingereza hawana haja ya kuwa Registered wanapochukua mafunzo yao kwani vyuo ndio vinakuwa vinatambuliwa. Wanapochukua mafunzo huwa wako live kwenye kuwatibu wagonjwa n.k. tena utakuta wana vibandiko vimeandikwa Student ....na wanakuwa na wasimamizi wao. (wakimaliza kusoma na wanapotaka kufanya kazi ndio ngoma huanza na maswali kede kede ...Je wale waliosomea USA wanaweza kutupa mwanga?)

Swala lingine Je, Kuhani amesomea hiyo fani?

Unajua nini, nina rafiki yangu anayefundisha medicine pale Morehouse College nitamwuliza...
 
Hata Afya kuna walioishi Marekani kama wewe! na wametambua qualifications zake na kumpa licence.

Convince us that Afya people were wrong and YOU ARE THE ONE WHO IS RIGHT!... Yaani unawazidi hata jamaa wa Tanganyika Medical Board! Duh!

Mama yangu! Whaaat! The board of who ? wha...!

Oh maaaaan! Zile bodi bodi za Bongo ni miyeyu jamani! Lord have mercy!

Tanganyika what ?

Sitaki kujivika vikofia vya sifa hapa lakini hawa watu wameshindwa kupiga kasimu kamoja Marekani kuuliza kama Masau kasoma soma vipi halafu ka mtu kama mimi hapa na ka phone card kangu nimepiga simu kwenye call box ya barabarani wakanipa majibu unataka kusema ile ni bodi kweli ?

Mnaenda kumuuliza Masau mwenyewe kama kasoma upasua moyo ?

You kidding me ?

Na hapo ndio tunapojipindua, hapo tu. Ndio hao kina Chenge hao wanakuja na L.L.M za Harvard mnawaita "Harvard Lawyer" wakati technically sio.

Lord have mercy!

Masau anasema huwa anakuja kupasua halafu kweli kabisa tunakaa hatumtilii shuku wakati tunajua kabisa mfumo ulivyo kabisa ?

Sisi tusiposhtukia mambo yanavyokwenda na kutathmini mpasua moyo ataweza kufanya hii tathmini Mkulima wa Rufiji kweli ?

We're letting down the downtrodden people for sure. Shame on us. Can't use the little knowledge we have to question the power that be ? We're not worth of our name, so much for JF think tank!
 
Sishangai kwamba inachukua miaka 7 kupata leseni ya /kutopewa leseni kabisa unapotaka kufanya kitu cha maana Tanzania, Kwasababu Kama Tanzania imejaa watu kama kina Kuhani unazani tutaendelea? Hatuwezi kamwe ,,...........Hebu Kuhani utuonyeshe hiyo Private Investigation Institute yako uliyoanzisha Tanzania, Kafanye wateja utapata wengi tu kin arostam, Tukianza kukufuatilia vizuri wewe umejilipua kilundi wewe......
 
Mimi nilikuwa nataka aeleze kwa nini halipi kodi? Na ni kweli ana historia ya kutolipa kodi hata kwa Mwarabu wa Mikocheni?

naona hapa umeishiwa hoja,serikali inataiwa sembuse mtu ambaye ndio kwanza ana hanzisha biashara.
 
Sishangai kwamba inachukua miaka 7 kupata leseni ya /kutopewa leseni kabisa unapotaka kufanya kitu cha maana Tanzania, Kwasababu Kama Tanzania imejaa watu kama kina Kuhani unazani tutaendelea? Hatuwezi kamwe ,,...........Hebu Kuhani utuonyeshe hiyo Private Investigation Institute yako uliyoanzisha Tanzania, Kafanye wateja utapata wengi tu kin arostam, Tukianza kukufuatilia vizuri wewe umejilipua kilundi wewe......

Lakini sijarudi Burundi kujifanya Mrundi kweli!
 
Ni hivi, hakuna kiumbe cha Mwenyezi kinachoweza kugusa mgonjwa - achilia mbali kupasua - kugusa mgonjwa wa mafua Marekani kama huna kibali cha uganga. Period. Simple as that. Period.

I don't think there is any way whatsoever that foreign doctor, unlicensed in America, can come here and perform an operation, so Dk. Masau, enough with the obfuscation. Please, sir, please!

Mkuu hapa na wewe unaharibu sana, huko USA uliwakuta watu kibao waliokuwepo kabla hujaenda, mimi nimekaa US 20 years, ninasema haya maneno yako sio kweli kabisaa ni pure nonesense, acha kujiingiza kwenye shimo la choo na uongo usioweza kuuthibitisha,

The only way watu walioamua kufanya udakitari huko US bila ya kua na leseni wanaweza kushikwa ni iwapo tu mgonjwa aliyetibiwa na hao madakitari vihiyo, atalalamika kwa serikali kuwa hakufanyiwa inavyotakiwa na huyo dakitari kihiyo, au kama mgonjwa atakufa kwa utata, otherwise wapo madakitari kibao huko wasiokuwa na leseni wala kibali, wanakamatwa kila siku wakiwa wamesha-practice kwa miaka karibu kumi au ishirini, ninawajua wabongo kibao wenye kusoma udakitari hawana leseni na wana-practice kwa under the table,

Kama vile ambavyo wapo watu kibao huko wenye green card za feki, kuwajua ni mpaka washikwe, ama sivyo mimi nina washikaji kibao wanazo na wanadunda tena wengine mpaka wkenye kazi za serikali, kama una ishu nyingine na huyu Dr. Masau uiseme wazi, lakini hii ya ku-practice bila kibali au leseni lipo sana na linaeleweka sana na hata kwa serikali ya US.

Hapa kwa mara ya kwanza umejibiwa na the horse mwenyewe, sasa omba radhi au shut up! Lakini usiendelee kutuabisha wengine wote hapa JF, nilikuambia kuwa huwezi kupiga siku tu kule Texas Board of Medical wakakupa info za siri za mwanafunzi aliyewahi kusoma pale, nilikuambia kuwa haijawahi kutokea in USA, now stop it usiendelee kututia aibu hapa na maneno mengi ya shule ambayo ni hewa tupu, jaribu kutumia elimu yako kuwaelemisha wananchi wengine wasiokuwa nayo, sio kuwatisha tisha na maneno hewa,

Dr. Masau sujui mengine mkuu, lakini kwa hili ninakupa heshima kwa kujibu inavyotakiwa, kma hatuna hoja zaidi tumuache mzee wa watu aendelee na kazi zake.

Ahsante Wakuu!
 
Mama yangu! Whaaat! The board of who ? wha...!

Oh maaaaan! Zile bodi bodi za Bongo ni miyeyu jamani! Lord have mercy!

Tanganyika what ?

Sitaki kujivika vikofia vya sifa hapa lakini hawa watu wameshindwa kupiga kasimu kamoja Marekani kuuliza kama Masau kasoma soma vipi halafu ka mtu kama mimi hapa na ka phone card kangu nimepiga simu kwenye call box ya barabarani wakanipa majibu unataka kusema ile ni bodi kweli ?

Mnaenda kumuuliza Masau mwenyewe kama kasoma upasua moyo ?

You kidding me ?

Na hapo ndio tunapojipindua, hapo tu. Ndio hao kina Chenge hao wanakuja na L.L.M za Harvard mnawaita "Harvard Lawyer" wakati technically sio.

Lord have mercy!

Masau anasema huwa anakuja kupasua halafu kweli kabisa tunakaa hatumtilii shuku wakati tunajua kabisa mfumo ulivyo kabisa ?

Sisi tusiposhtukia mambo yanavyokwenda na kutathmini mpasua moyo ataweza kufanya hii tathmini Mkulima wa Rufiji kweli ?

We're letting down the downtrodden people for sure. Shame on us. Can't use the little knowledge we have to question the power that be ? We're not worth of our name, so much for JF think tank!

Convince us that Afya people were wrong and YOU ARE THE ONE WHO IS RIGHT!...
 
Mkuu hapa na wewe unaharibu sana, huko USA uliwakuta watu kibao waliokuwepo kabla hujaenda, mimi nimekaa US 20 years, ninasema haya maneno yako sio kweli kabisaa ni pure nonesense, acha kujiingiza kwenye shimo la choo na uongo usioweza kuuthibitisha,

The only way watu walioamua kufanya udakitari huko US bila ya kua na leseni wanaweza kushikwa ni iwapo tu mgonjwa aliyetibiwa na hao madakitari vihiyo, atalalamika kwa serikali kuwa hakufanyiwa inavyotakiwa na huyo dakitari kihiyo, au kama mgonjwa atakufa kwa utata, otherwise wapo madakitari kibao huko wasiokuwa na leseni wala kibali, wanakamatwa kila siku wakiwa wamesha-practice kwa miaka karibu kumi au ishirini, ninawajua wabongo kibao wenye kusoma udakitari hawana leseni na wana-practice kwa under the table,

Kama vile ambavyo wapo watu kibao huko wenye green card za feki, kuwajua ni mpaka washikwe, ama sivyo mimi nina washikaji kibao wanazo na wanadunda tena wengine mpaka wkenye kazi za serikali, kama una ishu nyingine na huyu Dr. Masau uiseme wazi, lakini hii ya ku-practice bila kibali au leseni lipo sana na linaeleweka sana na hata kwa serikali ya US.

Hapa kwa mara ya kwanza umejibiwa na the horse mwenyewe, sasa omba radhi au shut up! Lakini usiendelee kutuabisha wengine wote hapa JF, nilikuambia kuwa huwezi kupiga siku tu kule Texas Board of Medical wakakupa info za siri za mwanafunzi aliyewahi kusoma pale, nilikuambia kuwa haijawahi kutokea in USA, now stop it usiendelee kututia aibu hapa na maneno mengi ya shule ambayo ni hewa tupu, jaribu kutumia elimu yako kuwaelemisha wananchi wengine wasiokuwa nayo, sio kuwatisha tisha na maneno hewa,

Dr. Masau sujui mengine mkuu, lakini kwa hili ninakupa heshima kwa kujibu inavyotakiwa, kma hatuna hoja zaidi tumuache mzee wa watu aendelee na kazi zake.

Ahsante Wakuu!

Jamani kituko hiki, ha haha aaaaaaa!
 
Jamani kituko hiki, ha haha aaaaaaa!

Kila mweye akili hapa anajua kuwa kituko hapa ni nani, aibuuu mtu mzima wewe ndiye member wa kwanza JF, kutolewa uvivu na mlengwa saafi sana Dr. Masau hii aliyoifanya ndio tunaita kukata mziziz wa fitina, ukome kuwazulia wananchi maneno ya uongo, wewe ni muongo, mzandiki na umejaa chuki tupu rohoni mwako leo umeshikwa na umeumbuliwa waziii aibuuuuu!
 
Convince us that Afya people were wrong and YOU ARE THE ONE WHO IS RIGHT!...

Naona umerekebisha. Umeondoa the "Tanganyika Board" clutter you had before.

Anyway, you are struggling with an incredibly simple, concise, solitary point:

Shule ya Masau imesema alikuwa anasoma kwa kutazama tu!

What is so hard to process ? Ha hahaaaaaaaa!

Let's do the drill over:

Shule ya Masau imesema alikuwa anasoma kwa kutazama tu!

You wanna try saying that by yourself? Go ahead, give it a shot!

Shule... go ahead finish it...
 
There you have it people...hivi huyu mjinga mjinga Kuhani mnamchukulia serious kweli? I would hope not....
 
Jamani kituko hiki, ha haha aaaaaaa!

Kuendeleza swali la FieldMashall, " Ni kipengele Gani Cha Sheria kilikuruhusu Kupata Information za Dr Masau?"

Because Data Protection Act forbid for third part person kupata Information za Mtu Mwingine without His Consent '
 
Wanafunzi wanaosomea uzamili UK katika Hospitali Uingereza hawana haja ya kuwa Registered wanapochukua mafunzo yao kwani vyuo ndio vinakuwa vinatambuliwa. Wanapochukua mafunzo huwa wako live kwenye kuwatibu wagonjwa n.k. tena utakuta wana vibandiko vimeandikwa Student ....na wanakuwa na wasimamizi wao. (wakimaliza kusoma na wanapotaka kufanya kazi ndio ngoma huanza na maswali kede kede ...Je wale waliosomea USA wanaweza kutupa mwanga?)

Swala lingine Je, Kuhani amesomea hiyo fani?

Dua.

Umeandika vizuri sana kuwa wanapochukua mafunzo hawana haja ya kuwa na licence hilo ni sehemu ya mafunzo yao.

LAKINI lililotiwa chumvi na Mwanakijiji kuwa DR.Masau alikuwa na maisha yake Marekani na aliajiriwa kama Daktari kitu ambacho Masau mwenyewe kakiri kuwa hakuwa na LICENCE YA KU PRACTISE na hakuwa daktari anayetambulika kisheria,alitambulika kama Mwanafunzi tu kwa miaka mitatu,Mwanakijiji alisema alikuwa analipwa mshahara mnono na WAMAREKANI sio kweli aliishi kwa Allowance ya uanafunzi.

Nimepitia maelezo ya DR.Masau nimegundua kuwa ni mwongo hasemi ukweli wa mambo anasema kuwa alikweda TEXAS 1997-2000 ni muda wa miaka mitatu katika kipindi hicho amepasua mioyo zaidi ya 1800 kwa maelezo yake,wastani wa oparesheni mia sita za mioyo kwa mwaka, sawa na wagonjwa zaidi ya 50 kwa mwezi na iwe kwa siku zote saba akifanya operesheni bila kupumzika basi kwa miaka mitatu yote itakuwa wagonjwa wawili kwa siku.

DR.Masau anataka kutuambia kuwa alipofika tu Texas akawa anapasua watu kila siku? hakuna siku alikuwa OFF au alikuwa na kazi za Theory? Hapa kajichanganya sana Marekani kunatakiwa madaktari lakini siamini kuwa Daktari anaweza kufanya operesheni mbili kwa siku na ndani ya miaka mitatu akafanya oparesheni 1800.

KUHANI.

Huyu mtalaam yuko sawa alichosimamia ni ukweli hata Masau kaukwepa na hajabisha ni sawa na Golikipa wetu Juma Kaseja au Mapunda aende kufanya training na timu yetu DENMARK au Uswisi halafu awe anafanya mazoezi na timu za kule, akirudi aseme alichezea Ligi ya Denmark au Uswizi na Kuhani akaenda kuuliza kwenye FOOTBALL ASSOCIATION yenye dhamana na usajili wa wachezaji wote wa Uswizi au Denmark huko wakasema kuwa hawajawahi kumsajili mchezaji anaitwa Kaseja,lakini akaja Kaseja na kusema kuwa alifanya mazoezi na Timu ya ABX. Hizo Taasis alizoandika Masau ni kama NGO hazihusiani na taaluma yake, kama angesema alikuwa REGISTER na Texas Medical Board hapo ningekuwa sina ubishi nae.

DR.Masau hakuna anayebisha hajasoma Muhimbili na China ila Marekani hakuwahi kuwa Daktari na hana kibali cha kutibu mtu,huwezi kutibu kama huna kibali.
 
Unaona sasa hiki kitu! Eeeh, Dr. Masau, unaona unavyozidi kuharibu! You're in a hole, the first thing you wanna do is stop digging, alright!

Ningekuwa sijakaa Marekani hata mimi labda ningempa kibali cha kufungua hospitali. Na ndio maana nasema watu wa Afya ni vigumu sana kumshuku mtu kama Masau.

Ni hivi, hakuna kiumbe cha Mwenyezi kinachoweza kugusa mgonjwa - achilia mbali kupasua - kugusa mgonjwa wa mafua Marekani kama huna kibali cha uganga. Period. Simple as that. Period.

Nimekaa kiwanja mvua kibao, and trust me, I didn't spend my life in America watching the Grammies, alright, I'll tell you that for sure. And in the modern world of google you don't even have to subscribe to the morning paper so as to learn the system.

I don't think there is any way whatsoever that foreign doctor, unlicensed in America, can come here and perform an operation, so Dk. Masau, enough with the obfuscation. Please, sir, please!

Wale watu pale Afya, oh yeah, utawapelekesha, lakini sio mtu aliyeishi Kiwanjani mvua nenda mvua rudi, so please save me that spin, ok. Thank you.

Kwa sababu hoja yake ina udhaifu anaposema huwa anakuja na kurudi hapa kufanya operation anapotaka - wakati hana kibali - basi hata hayo mengine ya operation 1800 wakati anajifunza nashindwa kumwamini.

You have to have a license to practice in America. That's mandatory in the story!

Kuhani, wewe ndo bomu kabisa, kama ulikuwa Marekani sijui ulikuwa marekani hipi, For my experience, nilikaa sana uko kama miaka 5 nikisoma medicine, kuna madakitari wanatoka nchi mbalimbali kuja kufanya operation nyingi tu kwanza wanakuwa covered na insurance ya Hospital, ndo wanafanya hiyo operation, Madakitari toka South America, Europe wanakuja na kufanya operation na kurudi kwao. Mwaka huu kama unafatilia mambo kuna biti wawili walizaliwa wakiwa wameungana kuna dakitari toka Australia, German, Brazil na US walifanya hiyo operation na ikawa succesfully. Kama ulikaa uko Marekani basi bill zilikuelemea kiasi kwamba kazi yako ni kuangalia channel na muziki na kubeba box tu.
 
Mkuu hapa na wewe unaharibu sana, huko USA uliwakuta watu kibao waliokuwepo kabla hujaenda, mimi nimekaa US 20 years, ninasema haya maneno yako sio kweli kabisaa ni pure nonesense, acha kujiingiza kwenye shimo la choo na uongo usioweza kuuthibitisha,

The only way watu walioamua kufanya udakitari huko US bila ya kua na leseni wanaweza kushikwa ni iwapo tu mgonjwa aliyetibiwa na hao madakitari vihiyo, atalalamika kwa serikali kuwa hakufanyiwa inavyotakiwa na huyo dakitari kihiyo, au kama mgonjwa atakufa kwa utata, otherwise wapo madakitari kibao huko wasiokuwa na leseni wala kibali, wanakamatwa kila siku wakiwa wamesha-practice kwa miaka karibu kumi au ishirini, ninawajua wabongo kibao wenye kusoma udakitari hawana leseni na wana-practice kwa under the table,

Kama vile ambavyo wapo watu kibao huko wenye green card za feki, kuwajua ni mpaka washikwe, ama sivyo mimi nina washikaji kibao wanazo na wanadunda tena wengine mpaka wkenye kazi za serikali, kama una ishu nyingine na huyu Dr. Masau uiseme wazi, lakini hii ya ku-practice bila kibali au leseni lipo sana na linaeleweka sana na hata kwa serikali ya US.

Hapa kwa mara ya kwanza umejibiwa na the horse mwenyewe, sasa omba radhi au shut up! Lakini usiendelee kutuabisha wengine wote hapa JF, nilikuambia kuwa huwezi kupiga siku tu kule Texas Board of Medical wakakupa info za siri za mwanafunzi aliyewahi kusoma pale, nilikuambia kuwa haijawahi kutokea in USA, now stop it usiendelee kututia aibu hapa na maneno mengi ya shule ambayo ni hewa tupu, jaribu kutumia elimu yako kuwaelemisha wananchi wengine wasiokuwa nayo, sio kuwatisha tisha na maneno hewa,

Dr. Masau sujui mengine mkuu, lakini kwa hili ninakupa heshima kwa kujibu inavyotakiwa, kma hatuna hoja zaidi tumuache mzee wa watu aendelee na kazi zake.

Ahsante Wakuu!
.

Kwa vile Masau mwenyewe kakubali kuwa hatambuliki na bodi yenye dhamana na madaktari ya Marekani kama ambavyo anadai au kusema KUHANI, wewe unataka kutuambia kuwa DR.Masau alikuwa anafanya upasuaji bila leseni? hilo nalo ni kosa na ubabaishaji mkubwa.
Kama alifanya haikuwa sahihi na si utaratibu, mimi sikubali kuwa mtu anaweza kuanza kumtibu mtu Marekani bila ridhaa ya bodi husika na wala sihitaji kuishi marekani miaka 20 kujua kuwa hilo halipo kwenye dunia ya leo.
 
Dua.

Umeandika vizuri sana kuwa wanapochukua mafunzo hawana haja ya kuwa na licence hilo ni sehemu ya mafunzo yao.

LAKINI lililotiwa chumvi na Mwanakijiji kuwa DR.Masau alikuwa na maisha yake Marekani na aliajiriwa kama Daktari kitu ambacho Masau mwenyewe kakiri kuwa hakuwa na LICENCE YA KU PRACTISE na hakuwa daktari anayetambulika kisheria,alitambulika kama Mwanafunzi tu kwa miaka mitatu,Mwanakijiji alisema alikuwa analipwa mshahara mnono na WAMAREKANI sio kweli aliishi kwa Allowance ya uanafunzi.

Nimepitia maelezo ya DR.Masau nimegundua kuwa ni mwongo hasemi ukweli wa mambo anasema kuwa alikweda TEXAS 1997-2000 ni muda wa miaka mitatu katika kipindi hicho amepasua mioyo zaidi ya 1800 kwa maelezo yake,wastani wa oparesheni mia sita za mioyo kwa mwaka, sawa na wagonjwa zaidi ya 50 kwa mwezi na iwe kwa siku zote saba akifanya operesheni bila kupumzika basi kwa miaka mitatu yote itakuwa wagonjwa wawili kwa siku.

DR.Masau anataka kutuambia kuwa alipofika tu Texas akawa anapasua watu kila siku? hakuna siku alikuwa OFF au alikuwa na kazi za Theory? Hapa kajichanganya sana Marekani kunatakiwa madaktari lakini siamini kuwa Daktari anaweza kufanya operesheni mbili kwa siku na ndani ya miaka mitatu akafanya oparesheni 1800.

KUHANI.

Huyu mtalaam yuko sawa alichosimamia ni ukweli hata Masau kaukwepa na hajabisha ni sawa na Golikipa wetu Juma Kaseja au Mapunda aende kufanya training na timu yetu DENMARK au Uswisi halafu awe anafanya mazoezi na timu za kule, akirudi aseme alichezea Ligi ya Denmark au Uswizi na Kuhani akaenda kuuliza kwenye FOOTBALL ASSOCIATION yenye dhamana na usajili wa wachezaji wote wa Uswizi au Denmark huko wakasema kuwa hawajawahi kumsajili mchezaji anaitwa Kaseja,lakini akaja Kaseja na kusema kuwa alifanya mazoezi na Timu ya ABX. Hizo Taasis alizoandika Masau ni kama NGO hazihusiani na taaluma yake, kama angesema alikuwa REGISTER na Texas Medical Board hapo ningekuwa sina ubishi nae.

DR.Masau hakuna anayebisha hajasoma Muhimbili na China ila Marekani hakuwahi kuwa Daktari na hana kibali cha kutibu mtu,huwezi kutibu kama huna kibali.

Maumau, hiyo inawezekana, Marekani magonjwa ya mioyo ni kama Malaria hapa Tanzania, Je Tanzania Dakitari kwa siku anatibu wagonjwa wangapi wa Malaria. Kazi kweli kweli kama ndo Blacks tulivyo basi kuna safari ndefu sana kufika kwenye sehehu tuliyoaidiwa, kuna watu wengi tu kama akina Maumau na Kuhani kweli jaribu kuogopa hizo familia hata kwa kuchumbia maana mwaweza kuzaa watoto mazezeta tu.
 
.

Kwa vile Masau mwenyewe kakubali kuwa hatambuliki na bodi yenye dhamana na madaktari ya Marekani kama ambavyo anadai au kusema KUHANI, wewe unataka kutuambia kuwa DR.Masau alikuwa anafanya upasuaji bila leseni? hilo nalo ni kosa na ubabaishaji mkubwa.
Kama alifanya haikuwa sahihi na si utaratibu, mimi sikubali kuwa mtu anaweza kuanza kumtibu mtu Marekani bila ridhaa ya bodi husika na wala sihitaji kuishi marekani miaka 20 kujua kuwa hilo halipo kwenye dunia ya leo.

Madakatari wangapi wanatoka nje ya Tanzania na kuja kutibu hapo Tanzania hata bila kupitia board. Kwa kweli kuna watu wengi sana mazezeta. Nakupa mfano wa Kennedy alivyoumwa hivi karibuni na kufanyiwa operation ya Cancer, kulikuwa na madiktari 4 bingwa mmoja toka UK, Texas medical center, Brazil na Colombia University. Je hao toka UK NA Brazili walipitishwa na board kwa siku moja na kuja kufanya operation.

Maumau, don't dance like idiot old school woman in the middle of the night.
 
... " Ni kipengele Gani Cha Sheria kilikuruhusu Kupata Information za Dr Masau?"

Because Data Protection Act forbid for third part person kupata Information za Mtu Mwingine without His Consent '

Two important things:

One, ukipiga simu kwenye Chuo, kwa sheria za State nilizoishi mimi, wanaweza kumpa stranger kitu kinaitwa “directorial information” za mwanafunzi. Kwa mfano, ukia apply kusoma shahada za juu kwenye shule zilizo makini sana, kile chuo cha pili wakipiga simu chuo cha kwanza kuuliza, je ‘fulani’ alihitimu hapo ? Chuo cha kwanza wanaweza kutoa kitu kinaitwa “directorial information” tu: Jina, mwaka wa kujiunga na kumaliza, and that’s preatty about it. Hiki hapo nimeambiwa na Dean of Students wa chuo kinachotakiwa kufuata sheria za State. Sasa hizo ni directorial information

Second, and most relevant, is this: Katika fani ya udaktari unaweza kupewa reference much quicker. Mwaka juzi alitokea nesi mmoja anatembea kutoa hospitali moja mpaka nyingine akiuwa watu. State moja anahama anaenda state nyingine. Kwa hiyo, hiyo skandali ikawa a flash point event which renewed national debate on the breakdown in the medical system pertaining to cross referencing of practitioners.

Kwa hiyo ukipiga simu hospitali au kwenye teaching hospital unaulizia background ya daktari hawashindwi kukupa directorial information zake kwa sababu wanahofia yale yale ya the killing nurse.

Sasa hayo niliyoyasema hapo, wengi waliokuwepo hapa Marekani mwaka juzi waliyasikia.

N.J. Nurse Sentenced to Life for Killing 22

The New York Times
By JOHN O'NEIL
Published: March 2, 2006

02cullen.jpg

Charles Cullen, the nurse who admitted killing as many as 40 intensive-care patients with fatal injections, was sentenced today to life in prison without parole for the deaths of 22 victims in New Jersey.
Charles Cullen was sworn in during a court proceeding on Feb. 24 in Somerville, N.J.

Mr. Cullen, 46, pleaded guilty last year after admitting to the string of killings in hospitals in New Jersey and Pennsylvania between 1988 and 2003. Prosecutors have accounted for 29 deaths, seven of which occurred in Pennsylvania, and six attempted murders...

"We are extremely distressed at how the hospital hired Charles Cullen, who had a long history of mental problems, and placed him in a critical position."

"For someone to be able to hop from hospital to hospital with these problems for over 15 years defies trust," he said. "We are outraged that no one stopped Charles Cullen from murdering my son.”

"Tell us how you did this — who you fooled, who looked the other way," he said. "Our medical system has a disease, you're part of this disease."

Several relatives today called for hospitals to adopt systems of mandatory background checks, which they said would have stopped Mr. Cullen early in his killing spree.

A number of families of victims have filed civil suits against Somerset Medical Center, although the hospital set the investigation in motion by contacting the police after firing Mr. Cullen in 2003.
 
Mimi nipo hapa Texas kwa miaka 11. Watanzania wenzangu ukweli ni kwamba Dr. Massau anasema ukweli na malumbano ya utalaamu wake hayana msingi. Kama mnataka kuzungumzia mambo mengine sawa lakini ukweli ni kwamba huyu jamaa kabobea na mimi namfahamu kwa miaka yote hapa Texas na familia yake. Tatizo dogo alilonalo ni la kitabia, ni mbinafsi kidogo na kitu hicho ndicho kibaya tu ambacho nimekiona. Siyo mfisadi na hapendi makuu kwenye maisha na si mtu wa kujilimbikizia pesa lakini ni mbinafsi na hilo si siri. Iliuweze kufanya udoctor binafsi unahitaji kufanya mitihani na kufanya hospitali ili upate Residency lakini kama hutafanya kazi marekani haina maana kwani kila nchi inasheria tofauti. Kwa ufupi watu wanaojaribu kusema Dr Massau hajasoma au si muhitimu ni kichekesho kwani ukienda Texas Medical Cnt ambayo ni kubwa kuliko zote duniani na kuuliza Dr Massau kwa madaktari wengine wanamjua na ukifanya kazi hapo na ni Mtanzania wanakuuliza kama unamjua Masau. Msemeni kwa mangine lakini education na qualification mtachemsha na kuonekana wajinga na washabiki.
 
Back
Top Bottom