Majibu ya Chatgpt baada ya kumuuliza swali hili

Majibu ya Chatgpt baada ya kumuuliza swali hili

DINI ni Mfupa aliotupiwa mwafrika ili atoe nafasi mgeni aweze kula mema ya nchi.

Endeleeni kuviringishana na hilo fupa.
BTW, dini na kunyanduana ndio vitu pekee mtu mweusi anavyoweza kuvifanya kwa umakini zaidi.
Amkeni..!!
Hiyo ni dhana mbaya
We deal na mada
 
Hiyo ni dhana mbaya
We deal na mada
Hakuna mada hapo wewe....Dini ni illusion.....Kuhangaika na mambo ya dini ni sawa na kucheza na kivuli chako, jua likizama kila kitu kinapotea.
 
Back
Top Bottom