Tunahitaji mawaziri wa aina hii, tafadhali waambie na mawaziri wengine wajiunge jf
Jaribuni basi kujifunza kuwa kuna A na HA; kama kulivyo na R na L. Unaweza kuandika mawazo mazuri lakini makosa madogo kama haya yanaleta impression nyingine kabisa! Hii imezidi sana hapa JF sasa!Mama Tibaijuka, kidumu chama cha mapinduzi. Nikupe ongera kwa ujasili wako wa kuja kutolea majibu humu jukwaani, ukizingatia kwa vuguvugu la ushindani lilivyo kwa sasa, nikupe hongera.
Lakini kuhusu jengo pale mtaa wa Indra Gadhi, Posta. Sidhani kama pingamizi lililo tolewa lina tija, ukizingatia hali ya usalama kwa wakazi wa eneo husika bado si shwari, watu hawana amani na wanashindwa kufanya shughuli zao kwa uhuru.
Mimi nadhani jengo livunjwe haraka iwezekanavyo, harafu mahakama kuu kama chombo cha kusimamia na kutoa haki, tuone itahamua nini. Haya ni maisha ya watanzania tunayangelea hapa, hatuwezi kuendelea kuyahatarisha kwa pingamizi la mtu mmoja au kikundi cha watu kwa kulinda maslahi yao.
Mama Tibaijuka, kidumu chama cha mapinduzi. Nikupe ongera kwa ujasili wako wa kuja kutolea majibu humu jukwaani, ukizingatia kwa vuguvugu la ushindani lilivyo kwa sasa, nikupe hongera.
Lakini kuhusu jengo pale mtaa wa Indra Gadhi, Posta. Sidhani kama pingamizi lililo tolewa lina tija, ukizingatia hali ya usalama kwa wakazi wa eneo husika bado si shwari, watu hawana amani na wanashindwa kufanya shughuli zao kwa uhuru.
Mimi nadhani jengo livunjwe haraka iwezekanavyo, harafu mahakama kuu kama chombo cha kusimamia na kutoa haki, tuone itahamua nini. Haya ni maisha ya watanzania tunayangelea hapa, hatuwezi kuendelea kuyahatarisha kwa pingamizi la mtu mmoja au kikundi cha watu kwa kulinda maslahi yao.
umejibu maswali mawili tu tena uliyotumiwa kwa PM,
zingatia sheria za JF mtu anapokutumia private msg.
mmhh!!!! hapana jamaa angu mama kaeleza vizuri sheria zetu hizi tunazitunga wenyewe na kuzisimamia, jengo lilindwe kwa maana lisilete madhara , mimi ningeshauri tu wakati wanalilinda walitegue kidogo kuonyesha soon litaleta madhara . kingine ni kwa nini ichukue muda sana labda kama unavyodai sheria ya dharura. inatkiwa hawa mahakama watambue wanacheza na uhai wa watu. wa kulaumu ni hawa watu wa mahakama kama wamehongwa ndiyo issue sasa
Ahsante
mama japo umejibu kwa bla bla,suala la kubomoa ghorofa halihitaji
usubiri hukumu ya mahakama we unatakiwa ufanye kazi zako kwa kufuata
sheria.kiujumla serikali imelemewa na mafisadi mmebaki kuwaonea na kuwagandamiza wananchi wa chini wasio na feha.mama kwakuwa we ni mjumbe wa cc ya ccm utakapokuja kujibu maswali mengine nami naomba utueleze chama kina mpango gani wa kuwawajibisha mwigulu,Nape,na wasira kwa kuendesha siasa za kimafia na kibaguzi nchini.
Ndiyo umejibu nini sasa. Kati ya hoja nyingi zilizoulizwa kweli Unakuwa na majibu mawili tu? Hivi hammnaga wasaidizi? Nilitegemea timu yako ingekaa ikafanya research nakutoa snap answers kwa hoja zote zilizoulizwa. Sikutegemei wewe ndo ujibu. Hawa ndiyo genius wetu! Where is your experience! Ungejikaliaga na kuwa states woman na kuishauri nnchi. Heshima yako inakuwa questioned un necessarily.
Ndiyo umejibu nini sasa. Kati
ya hoja nyingi zilizoulizwa kweli Unakuwa na majibu mawili tu? Hivi
hammnaga wasaidizi? Nilitegemea timu yako ingekaa ikafanya research
nakutoa snap answers kwa hoja zote zilizoulizwa. Sikutegemei wewe ndo
ujibu. Hawa ndiyo genius wetu! Where is your experience! Ungejikaliaga
na kuwa states woman na kuishauri nnchi. Heshima yako inakuwa questioned
un necessarily.
Mheshimiwa waziri ukipata nafasi naomba unijibu hili.
Mheshimiwa mbunge mwenzenu kada wa CCM, Bwana JUMA NKAMIA alisema kwenye mahojiano na televisheni ya Taifa TBC1 kuwa mtandao wa JF ufutwe kwani ni mtandao ambao hauna sifa ya kuitwa mtandao wa kijamii kwani unaandika uwongo na mambo ya kufikirika na utashi wa mtu.
Mheshimiwa wewe ni member wa JF, unafikiri alichosema kada huyo ni sahihi? nini ushauri wako kweke?
naamini mpaka alipofikia uamuzi wa kubomoa aliona zipo sheria na kanuni alizoona zimekiukwa na hazikufuatwa ambazo yeye kama waziri anatakiwa azisimamie.court injunction kwa issue kama hii hamzuii yeye kuendelea kufanya kazi zake.
Umepinga kitu ambacho sikusema halafu ukaunga mkono kitu ambacho nilisema! Mimi nimezungumzia ''uwepo wa sheria ya dharura'' ya ku-deal na vitu vya hatari namna hii! i. e. Kama jengo kweli linaonyesha liko chini ya kiwango na huenda likaanguka siku yoyote ni lazima kitu kifanyike ''ndani ya sheria'' ili kuepusha madhara!
umeanza vyema umemaliza vibaya, kama unahitaji ajira ni PM uje ntakuajiri.mkuu, hata kama ametumiwa kwa pm, wengi tumenufaika kutokana na majibu yake. lengo la mtu kutuma pm si tu watu wengine wasione bali humrahisishia aliyetumiwa kuona kwa haraka tofauti na kuanza kupitia post moja hadi nyingine. kumbuka huyu ni waziri na ana majukumu mengi ya kufanya tofauti na wewe ambaye kupost jf ndo kunakupa ulaji