Lazima itakuwa hivyo best...halafu umemjuaje huyo mtu wewe, ulikua unaskonga Ekenywa au Enaboishu hehehe just curious!!!
Sikuelewi ujue best...
Sijui kama wenzangu mnaelewa kilichoandikwa hapa na huyu best...
Wala usijali best tena utakuwepo "hai tebo"
Kama vile kweli. hapa naona kwako ni majina matamu tamu tu.
Bela utapamba ukumbi...
mbona washangaa...butwaa la nini tena hilo??