MAJIBU: Ukweli Kuhusu PASSION LADY...

MAJIBU: Ukweli Kuhusu PASSION LADY...

Halafu ninahisi wewe ndiye uliyefoji cheti chake cha kuzaliwa...
Vipimo vya DNA na Carbon Test vyote vinaonesha umri wake iweje leo unipe fiksi za mwaka 56...

We watu8 mbona Passion Lady kazaliwa 1956 ?
Hivyo vita vya Kagera au vya majimaji?
 
Last edited by a moderator:
ss mbna una wa copy ma haters, haya,nitakutafta soon,tushirikishane hilo jambo shirikishi..ss nikutafte kwa njia gan
Afu mimisa unitafute, kuna "jambo shirikishi" inabidi tuongee, inawezekana ukurasa mpya ukafunguka unexpectedly.
Copy: All HATERS....!
 
Last edited by a moderator:
ss mbna una wa copy ma haters, haya,nitakutafta soon,tushirikishane hilo jambo shirikishi..ss nikutafte kwa njia gan

Nimewa copy ma haters kwa sababu maalum, kuna watu watakuja hapa utawaskia ooh.. mwenyekiti.... ooh kimeenda kikarudi, hata Judgement aliwahi kulisemea hili..
 
Last edited by a moderator:
umesomeka mwenyekiti..so nakutaftaje ss?..
Nimewa copy ma haters kwa sababu maalum, kuna watu watakuja hapa utawaskia ooh.. mwenyekiti.... ooh kimeenda kikarudi, hata Judgement aliwahi kulisemea hili..
 
Last edited by a moderator:
We acha tu...majina yote wamepewa na mama yao na yanaendana kweli na tabia zao.
Nikijisikia nahitaji furaha na kuujaza uso wangu kwa tabasamu basi charminglady huwepo kando.
Wakati ninaohitaji busara na hekima kwenye mambo magumu basi WiseLady huwepo kando.
Wakati wa mambo machungu na yenye kukatisha tamaa basi sweetlady huwepo kando.
Na sasa wakati wa kukosa upendo na kuhisi kukataliwa basi Passion Lady huwepo kando.

Thats my Daddy.....

Morning Daddy!!! :smile: :smile:
 
Back
Top Bottom