MAJIBU: Ukweli Kuhusu PASSION LADY...

MAJIBU: Ukweli Kuhusu PASSION LADY...

Nilimfotoa shost wangu Arabela.
Ngoja nikaichukue picha kwenye maktaba yangu.

We bibi wewe, kutwa kucha kumsakama daddy angu na huyo mtoto wa Tanga... Lolest mtue daddy angu kabisaaaaa.....

Au una mpango mamaangu aachike na uzee wote huuuuu. tenyaaaaaaa!!!!! Sosi: we mwenyewe!
 
Last edited by a moderator:
ni kweli hayo yametokea.. watu8 sema kweli

Jamani haya maswali watu8 hakujiandaa kujibu leo....Leo ni zamu ya kutambulishwa Passion Lady next time mtoto wa Tanga....
Mkuu mambo yanavyokwenda, sintashangaa nikisikia kuna mtoto mwingine huku juu ya kwa Loning'o ........
 
Last edited by a moderator:
Hahahah eti kwa Loning'o...
Aisee mitaa ya huko sina best nilikua naenda kula vyepe tu na kununua Super Loaf, enzi hizo mitaa hiyo Loning'o peke yake ndio alikuwa na duka.

sawa mpenzi nimekuelewa nasubiri wa Tanga akitambulishwa ndo ntakuwa mzungumzaji mkuu
 
Last edited by a moderator:
Hahahah eti kwa Loning'o...
Aisee mitaa ya huko sina best nilikua naenda kula vyepe tu na kununua Super Loaf, enzi hizo mitaa hiyo Loning'o peke yake ndio alikuwa na duka.

Jamaa enzi zile ndio alikuwa mfanyabiashara maarufu.....Siku hizi kafunikwa....
 
Nawaoneeni huruma sana huyo Passion Lady wenu mwizi yupo central dar toka jana na jambazi mwenzake manoah yupo msimbazi baada ya kuruka kwenye gari ya polisi akiwa na pingu na baadae kukamatwa mkitaka kuamini angalieni kama kuna post watakayojibu wizi mtupu mtaingia wengi kwenye matatizo yasiowahu; Ushauri wangu tafuteni inshu za kufanya co mida yote macho kodo kwenye mitandao RUTASHOLWA anatafutwa!!!
 
Mkuu naona umemfanyanisha.... Hebu kamuangalie tena vizuri!!!!!!
 
Habari zenu wanaChitchat....
Ni miaka mingi imepita tangu nilipoondoka kijijini kwetu, na sababu ya kufanya hivyo ilikuwa ni baada ya mkasa wa kifamilia ulionitukia nyumbani.
Hii ilikuwa ni mara tu baada ya Vita ya Kagera kuisha, maisha ya wakati huo yalikuwa ni magumu haswa kwa sisi vijana tuliotoka vitani.
Nakumbuka mara tu baada ya kumalizika kwa vita, nami nikiwa mkoani Kagera nilikutana na binti mrembo mwenye asili ya Kinyarwanda ambaye tulipatana tuoane na nikarudi naye kwetu.
Wazazi wangu na dada zangu walipinga sana lakini msimamo wangu usiotetereka na mapenzi ya dhati kwa binti huyo ndivyo vilikua nguzo muhimu ya mimi kuendelea kuishi naye kama mke.
Wakati narudi kijijini na mpenzi wangu tayari alikuwa ni mjamzito wa kama miezi miwili hivi, na ulikuwa ni ujauzito wa watoto mapacha(Hili sikulijua wakati huo).
Baada ya miezi tisa mke wangu alipatwa na uchungu, kwa bahati mbaya siku hiyo ilikuwa ni siku ya gulio kijiji cha jirani hivyo mimi sikuwepo.
Msaada pekee alioupata mke wangu ni kutoka kwa wifi zake na mama mkwe ambaye ndiye mama yangu wa kunizaa. Alitafutwa kungwi na shughuli ya kumzalisha mke wangu ikaendelea.

Mungu ni mwema, mke wangu alijifungua mabinti mapacha wakiwa na siha njema kabisa tena wenye kufanana kweli na baba yao ambaye ndio mimi.
Hapo awali nilidokeza kuwa mke wangu hakuwa amekubalika sana kwenye familia yetu, hivyo mara baada tu ya kujifungua na kupata nguvu familia ikamdanganya kuwa pacha mmoja amefariki na mmoja yupo hai.
Kumbe haikuwa hivyo, mama yangu kwa kushirikiana na dada zangu walimchukua pacha mmoja na kwenda kumficha nia ikiwa ni kumpatia binamu yetu mmoja ambaye alikuwa hajajaliwa mtoto.

Miaka imepita sasa na binti amekuwa mkubwa wa kuweza hata kuposwa. Kabla mama yake hajafariki(ambaye ndiye binamu yangu), aliacha barua yenye kumueleza mkasa mzima na kumuelekeza wapi kwa kumpata baba yake.
Binti huyu jina lake anaitwa Passion Lady na ndiye pacha wa WiseLady, dada wa charminglady na sweetlady.
Mpenzi measkron, njoo tumpokee mwanetu amerudi nyumbani baada ya kumpoteza kwa miaka yote hii.

NB:
Nimeweza kuthibitisha hilo kutokana na majibu ya Mkemia mkuu wa Serikali na majibu yalikuwa POSITIVE.
Passion Lady karibu nyumbani kipenzi, measkron ni mama yako wa kukuzaa na wala sio mama mdogo.
Ba Mkwee
 
Nawaoneeni huruma sana huyo Passion Lady wenu mwizi yupo central dar toka jana na jambazi mwenzake manoah yupo msimbazi baada ya kuruka kwenye gari ya polisi akiwa na pingu na baadae kukamatwa mkitaka kuamini angalieni kama kuna post watakayojibu wizi mtupu mtaingia wengi kwenye matatizo yasiowahu; Ushauri wangu tafuteni inshu za kufanya co mida yote macho kodo kwenye mitandao RUTASHOLWA anatafutwa!!!

Mh...hapa kuna jambo limejificha.....
 
Lazima itakuwa hivyo best...halafu umemjuaje huyo mtu wewe, ulikua unaskonga Ekenywa au Enaboishu hehehe just curious!!!

Jamaa enzi zile ndio alikuwa mfanyabiashara maarufu.....Siku hizi kafunikwa....
 
Sikuelewi ujue best...
Sijui kama wenzangu mnaelewa kilichoandikwa hapa na huyu best...

Back
Top Bottom