Majibu kwa Lissu na Pascal Mayalla

Majibu kwa Lissu na Pascal Mayalla

Utaratinu ufuatwe interpol waemde wakhoji ka ilibyotaliwa kufamyila alipokua Maironi.
Kwanini asirudi Tz kuja kudai haki yake?Kwanini serikali iangaike wakati mhanga anaweza kurudi na kuja kutafuta haki yake?Huyo mhanga si anamawakili?kwanini asifungue kesi kudai haki na tayar yuko poa saiz na dereva yuko poa pia?Mimi nilifikiri lisu ndiye alitakiwa kufanya kila liwezekanalo ahojiwe na haki yake ipatkane,tofaut ni lisu kutoa mashart ya kuhojiwa mara mnifuate Belgium, Lisu ndiye mtuhumiwa?Kwann mhanga hapambani kudai haki yake zaid ya kutoa mapovu yasiyo na tija yyt kwenye social media?
 
kujadili hii ishu ni kama kupoteza mda sasa mashahidi wa tukio ni watatu CCTV dereva na Lissu mwenyewe selikari imeficha cctv camera chadema wanamficha dereva Lissu anaongea kisiasa hakuna ukweli utakaosemwa na upande wowote ule
 
Tatizo lenu mnapenda kusikia yanayo wafurahisha tuu na nininyi huwa wa kwanza kuwanyooshea wengine vidole hawana uvumilivu kwa wengine...
Kama mnataka kuendeleza mjadala wa Lissu msipangie watu jinsi ya kujadili swala husika na kamwe uwezi kumuweka pembeni dereva wa Lissu kwenye mjadala huu...

Mna wasi wasi gani? Mnaficha nini wana chama wa demokrasia na maendeleo?
Ni kweli kabisa ila Mayalla Leo ile post au kaandikiwa au ipo hacked sio Yule role model ninaemfahamu kabisa. Kashindwa hata kuhojI walinzi waliondolewa getini?
Hao majambazi walowatoa police mchana kweupe? ?? Kisha wakaamuru cctv camera kwa Waziri ziondolewe?? Hakuna asie na bei nimeelewa. Wewe unajulikana sina shida ila Pascal? ?
 
Nje ya hapo ni kuendelea kunufaisha wanaonufaika siku zote na hawa watz wanaotakiwa kusaidiwa KUFIKIRI
Tatizo lako huna basic knowledge ya criminology,halafu unatoa maelekezo ya nini kifanyike
Kwenye jinai hata majeruhi anaweza kuwa suspect kulingana na upelelezi utakavyojongea
Dereva ni mtu muhimu sana kutoa muelekeo wa upelelezi,kwa nini unaogopa asihojiwe?
 
Binafsi nalipongeza jeshi la polisi lilivyoi-handle hii issue,Mtu akileta ujuaji ilhali tukio Zima linahusu ustawi wake mnaachana naye mnaangalia walioko tayari kutoa ushirikiano.
 
Maswali ya Nyongeza 1,.Je Km wameshindwa Kuchunguza kwanini hawataki Tume Huru kuna kitu gani nyuma ya Pazia
2, Wanao Mtuhumu dereva je ana cheo gani cha kuwaamrisha Walinzi wote wasiwepo kwenye maeneo yote
3.Ninani Hupanga zamu za walinzi
4.Je walinzi ni wa Kampuni Binafsi.
Haya ni maswali magumu sana kwao sidhani kama utapata majbu
 
Sasa yuko Chuo Anasema certificate kisha Diploma akimaliza degree ndiyo anakuja kuhojiwa
Habari za ndani zinasema anatafutiwa namna ya kupata Uraia au Ukimbizi
Jiulizeni kwanini yote hayo yanafanywa na Chadema?
Nyie ni wapumbavu na nyei ndio wahusika hizi za kuzungumzia dereva ni geresha tu ila DAB na Jiwe( ibilisi mkuu) ndio wahusika directly hakuna kumung'unya maneno hapa.

Yaani unataka kusema Lissu na Derecmva wske ndio wahusika na tukio la kupigwa kwa Lissu? Kwamba mtuhumiwa namba moja ni Dereva harafu huyo huyo dereva anafichwa na Lissu??

Wapumbavu dunia hii hamtaisha.
 
Nawashauri acheni habari kumtaja taja dereva whether ni kwa lengo la kuonesha hahusiki au anahusika. Tatizo ni kuwa watz wengi wanahitaji kusaidiwa ktk KUFIKIRI na at the same time wasiojulikana wapo kazini kupitia media, genge za kahawa na shoeshines kuwasaidia KUFIKIRI kuficha ukweli.

Maoni yangu ni kuwa mjadala wote juu ya jaribio la kumuua LISSU uwe ktk sura hii;
1. Je mtz yoyote akishambuliwa uchunguzi unatakiwa unafanywa na nani?
2. Je kuna uchunguzi wowote umefanyika juu ya Lissu?
3. Km NDIYO je maendeleo ya uchunguzi huu yamefikia wapi?
4. Km HAKUNA je why serikali ya Tz imeamua kutokufanya uchunguzi wa tukio la Lissu?
5. Je kwa katiba yetu nani ni mkuu wa serikali ta Tz na ana mamlaka kiasi gani?
6. Je nani ni mkuu wa serikali ya Tz wakati Lissu ameshabuliwa na sasa mwaka moja baadaye?
7. Je aliyepigwa risasi kuna watu anaowashakia walihusika in/directly?
8. Km wapo WANAOSHAKIWA je ni kina nani?
9. Km hawapo wanaoshakiwa hi habari ya dreva wa Lissu lengo lake ni nini?
10. Kwa hiyo sisi km watz tunafanyeje juu ya Lissu kupigwa RISASI 38?

Jibu la swali namba 10 ni hv, ondoa kichaa jiwe na genge lake by any means necessary, tengeneza katiba ya MERIT BASED SOCIETY kisha serikali na taasisi zitafanya kazi zake za kuchunguza yote ya kina lissu, saanane, azori, mawazo, yona na wengine wote.

Nje ya hapo ni kuendelea kunufaisha wanaonufaika siku zote na hawa watz wanaotakiwa kusaidiwa KUFIKIRI
Mkuu nimeona wapumbavu wengi hadi wamefikia hatua ya kudanganya bila aibu yoyote, eti gari ilishambuliwa upande wa dereva daah, popote aliko huyo aliyeanzisha huo uongo namwambia kwa ustaarabu "IPO SIKU ATAINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE MBELE YA MKE/MME WAKE" naomba niishie hapa tafadhali.
 
It is a pity kuwa watu tuliokuwa tunawatumaini kama brain za nchi hii angalau katika tasnia ya uandishi wa habari , ndio wako hivi kama Pascal! Nilkuwa nimeanza kujenga positive attitude na huyu bwana , lkn post ya leo imenitoa kabisa! Pascal unashindwa kuona kuwa wapinzania wote wa Jiwe ambao ni outspoken wamepotea, and knowing kuwa Lisu ni namba MOJA mpinzani (siyo adui) wa Jiwe, kuwa hili lililotokea most likely and that is SO ni mkono wa Jiwe? Pascal Mayalla
Tatzo lako unamjadili paskal kama Paskal ndo shida yako ndg!!! Na hili limekuwa tatzo sana ktk jamii za kiafrika!!!!

Unapswa ujadili hoja alizozitoa syo kum describe mtu huo ni udhaifu mkubwa kabsa wa mtu mwenye kuweza kujenga hoja.... Hivyo toa mawazo yako na pitia hoja zake syo kwakua hajakugusa unapopataka hvyo hoji toa facts na hoja kuntu ktk maoni yake syo kumpinga koz hajatoa hoja kama ulivyotarajia!!!! Tuache kuangalia hoja kwa kuangalia nani kasema bali tujadili hoja za mtu huyooooi
 
Kaka mkubwa nilidhani utakuwa unajadili kwa fikra huru kumbe umefungwa na ubinafisi wa fikra.
Naomba nikuulize maswali ya msingi kama yafuatayo
1) Kiasi furani utakuwa umesoma au kusikia tukio lolote linapotokea ni watu gani wanakuwa wakwanza kuojiwa na jeshi au vyombo husika vya Usalama?
2)Je kila tukio la upelelezi police wanalazimika kutoa taarifa kwa jamii au wananchi husika?
3) Wewe unataka watanzania wafanye nini kuhusu kupigwa risasi 38? Na je Lissu ndie mtanzania wa kwanza kupingwa risasi na kama sio wa kwanza je waliopigwa kabla yake watanzania walifanya nini na ww ulifanya nini
Ombi langu kwako ukiwa unajadili mambo yanayogusa jamii kwa ujumla wake husiongozwe na matamanio binafisi
Safi ndg watu wanadhani yeye sjui ndo mtanzania wa kwanza kuuawa!!
 
Mwanzo walisema ni mgonjwa sasa hivi lissu amesema anasoma huko belgium...
Mwanzo walisema CCTV zilikuwa kwa kalemani na jana Lissu kasema CCTV zilikuwa kwake...

Ndugu yangu kuna siku ukweli utafahamika tuuu. Kila siku watakuja na hoja tofauti kuhalalisha kuwa wanachokisema ni kweli japo wenyewe wanajua fika kuwa ni uongo. Ni wazi kuwa hata Lissu hataki dereva ahojiwe pamoja na kumfundisha mambo ya kuongea karibu mwaka mzima. Usishangae wakasema dereva ameomba hifadhi ya kisiasa huko aliko. Na ikilazimika akaja TZ naona uwezekano wa hao hao kumwuua na kusingizia serikali. Naamini mpango ulisukwa na Lissu na wenzake ili ashambuliwe ila wenzake kama kawaida yao wakabadilisha gear angani wakawaambia wale washambuliaji wammalize kabisa. Sasa Lissu atapenda hiyo ifahamike? Na wale wenzake watapenda ifahamike? Ni wazi dereva alihusishwa na wanaona anaweza kutoa siri. Fikiria gharama inayotumika kumficha huyu dereva. Karibu mwaka mzima amekaa nje ya TZ akifundishwa ya kuzungumza pindi akihojiwa na serikali. Ikitokea wakaamini kuwa hajafuzu watamwondoa tu ili kuepuka aibu.
 
Tatzo lako unamjadili paskal kama Paskal ndo shida yako ndg!!! Na hili limekuwa tatzo sana ktk jamii za kiafrika!!!!

Unapswa ujadili hoja alizozitoa syo kum describe mtu huo ni udhaifu mkubwa kabsa wa mtu mwenye kuweza kujenga hoja.... Hivyo toa mawazo yako na pitia hoja zake syo kwakua hajakugusa unapopataka hvyo hoji toa facts na hoja kuntu ktk maoni yake syo kumpinga koz hajatoa hoja kama ulivyotarajia!!!! Tuache kuangalia hoja kwa kuangalia nani kasema bali tujadili hoja za mtu huyooooi
You are not different from Pascal!
 
Tatizo lako huna basic knowledge ya criminology,halafu unatoa maelekezo ya nini kifanyike
Kwenye jinai hata majeruhi anaweza kuwa suspect kulingana na upelelezi utakavyojongea
Dereva ni mtu muhimu sana kutoa muelekeo wa upelelezi,kwa nini unaogopa asihojiwe?
Hivi kwa akili yako unafikiri dereva kajificha na polisi wameshindwa kumpata/kumuhoji?
Kenya/Ubelgiji ni kwamba hakufikiki? Hivi ingekuwa ni jaribio la kumuu rais huyu dereva angekuwa uraiani mpaka leo?
 
Tatizo lako huna basic knowledge ya criminology,halafu unatoa maelekezo ya nini kifanyike
Kwenye jinai hata majeruhi anaweza kuwa suspect kulingana na upelelezi utakavyojongea
Dereva ni mtu muhimu sana kutoa muelekeo wa upelelezi,kwa nini unaogopa asihojiwe?
Siyo Dereva tu hata Lisu mwenyewe ni suspect! Kumbuka kabla ya kujeruhiwa Lisu alikuwa anafanya kila kitu kushawishi mataifa ya nje yaichukie serikali ya awamu ya tano - Kwa mwendelezo huo anaweza akawa amepanga ajeruhiwe kusudi serkali ipakaziwe. Sasa katika kutekeleza hilo mambo hayakwenda kama walivyopanga ndo akaumizwa vibaya. Lakini siyo kichwani au sehemu za mwili hatari! Na yeye alishiriki katika mpango huo. Matukio kama hayo yameisha shuhudiwa pengi - hasa katika wivu Wa mapenzi. Sasa wanachelea Dereva kubanwa akasema! Nafikiri wapelelezi Wa dola walisha liona hilo.
 
Back
Top Bottom