Majibu kwa lara 1


Mkuu aliyoianzisha jana alikandamiza sana ndoa ndo maana nikajing`uta mavumbi ng`wana kukabilana na Kim Jong Ung.
 
Marriage is a noble institution. Pamoja na hayo itakuwa na changamoto zake lakini hazitafanya isiwe a "noble institution".

Ndoa ya kitanzaia au kiafrika kwa ujumla wake ichukuliwe katika muktadha wa kiafrika. Tukichukua muktadha au dhana ya ndoa ya nchi zilizoendelea au za magharibi kwa ujumla katika mazingira ya kitanzania, lazima kutatokea mkanganyiko.
 
Swali zuri sana..ukiangalia watu wanaokandia ndoa hapa jf wana tabia flani hivi..chunguza vzr utagundua kitu..

Halafu wengi wao wanazitamani ila bahati haijawaangukia,wanaponda huku mioyo inawachoma hivyi kuna mtu asiye penda kukaa na mme anayempenda wale na kunywa pamoja watembee pamoja akiugua anamwangalia kama mtoto wake?
 

Ni kweli mkuu huwezi linganisha ndoa za Magharibu na za kibongo wa Magharibi ndoa zilisha washinda acha sisi tufurahie ndoa zetu.
 

Hahahaaaaaa!
Ndio nimetaahadharisha watu wote swma kwasababu WANA NDOA MNAJIOANA NI THE CHOOSEN ONES HUKU BONGO NA AFRICA ndo maana iliwashtusha mi kuchana LIVEEEE miongoni mwa wengine.

Yaani hapo kwenye matatizo ua single 100% PIA YANAWAKUTA WANANDOA, KUTOA MIMBA MNAONGOZA KWA KUPIGA MECHI KAVU, SWALA LA ZANZIBAR PIA MMO, MAANA NYUZI MUME WANGU ANATAKA KUNIPELEKA ZANZIBAR HAZIKAUKI HUMU, KULE WATOTO WENGINE MMEKIMBIA NYUMBANI VILE VILE. HAKUNA CHA HERI MWENYE NDOA WALA NINI NI NUSRA NURSA ALMANUSRA MOLA NINUSURU NA KIZAZI CHANGU!

Sanaasanaaa umethibitisha kuwa MARRIAGE IS 100% HYPOCRITICAL INSTITUTION KWASABABU HIO HOJA YAKO MATATIZO YENU WANANDOA YAJADILI WENYEWE TUUU ILA YA WENGINE KAMA SIE SINGLE NA NYIE MJADILI!!! HAHAHAHAHAAAAAAAAA!

SI NDO UNAFIKI WENYEWE HUO NA UZANDIKI KUPITILIZA, MBELE ZA WATU KUJIFANYA HAMNA TABU, MPO BLASSED, KUMBE JIONI MNAKAA VIKAO TIA MAJI TIA MAJI?

JUST BE HONEST KUWA MOTO WA CHANGAMOTO NI ULE ULE NO BODY IS SAFE ANYWHERE! Hahahaaaa! CHEZEA KUACHIKA NA WATOTO 3 UTAMPELEKEA NANI USED BEYOND RECOMENDED CAPACITY! No offence intended! Hahahaa!

MUACHE UNAFIKI KUWASEMA SINGLE LADIES KUMBE NYIE MPO ICU YA FURAHA! Semeni shosti changamoto zopo kote kote ni kupambana tu, ndo maisha yalivo! Sio nina bahatiiii! Kumbe buti linafunguliwa!
 
Hitimisho!
TUWE TU WA WAZI UOLEWE, USIOLEWE, MAISHA YOTE NI CHANGAMOTO! Married people should be honest and stop window dressing of facts THAT THEY ARE THE HAPPIEST, LUCKIEST, AND BETTER THAN EVERYBOY HAVING A HEAVEN ON EARTH AND SINGLE OLD CARGOS LIKE ME SHOULD GO HUG A TRANSFOMER BECAUSE WE ARE PITYFULL! Hypocrisy at its highest!

IT ABOUT TIME WE PUT ALL THE CARDS ON THE TABLE![/QUOTE]

I dnt think tulioolewa huwa tunajichukulia na kuwachukulia ambao hawajaolewa the way unavyozani wewe, na sijui ni nini kimekupelekea ukazani tuko hivyo
 

I dnt think tulioolewa huwa tunajichukulia na kuwachukulia ambao hawajaolewa the way unavyozani wewe, na sijui ni nini kimekupelekea ukazani tuko hivyo[/QUOTE]

Naomba kukutaarifu mwanzo wa yote ulikuwa UZI WA MGIRIKI DHIDI YA WADADA WALIO 30 AND ABOVE WALISULUBISHWA KAMA SIO WATU VILE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…