ng`wana ong`wa kulwa
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 2,420
- 1,755
- Thread starter
-
- #601
anazani ndoa simple act hajui pale heshima kuu inaanza tawala kashazoea vigodoro cant blame ila nikiambiwa nimuoe lara bora niweke box nilipe jina latifa kuliko kuka na huyo mfugo unaweza pata murdercase for pulling a trigger
Mkuu umeuliza maswali 'logic' sana ambayo inabidi mtu atulie sana ili atoe majibu. Kwa aina ya majibu ya huyo uliyemuuliza anayotoa sidhani kama atajibu. Huu uzi ulitawaliwa kwa vijembe kama bunge maalumu la katiba, ila kwa jinsi ilivyo, mtu kishasoma na kuelewa tofauti kati ya usiri wa changamoto za ndoa na 'unafiki' wa wanandoa.
Tena wanaenda mpk kwa waganga il wazipate lakini wapi, wanaishia kutukana na kuponda kuwa Ndoa si nzuri lkni moyoni wanaumia,Halafu wengi wao wanazitamani ila bahati haijawaangukia,wanaponda huku mioyo inawachoma hivyi kuna mtu asiye penda kukaa na mme anayempenda wale na kunywa pamoja watembee pamoja akiugua anamwangalia kama mtoto wake?
Tena wanaenda mpk kwa waganga il wazipate lakini wapi, wanaishia kutukana na kuponda kuwa Ndoa si nzuri lkni moyoni wanaumia,
Hahahahaha unani chekesha yani unasema inabidi mnyamaze kwakuwa matatizo hayafanani? Wakati kila leo wanao amua kuyaeleza asilimia kubwa yana fanana?
Pengine mnajaribu kuonesha kuwa ndoa ni taasisi yenye mazuri tuu? Pengine mnafikiri ukweli ukisemwa wengine hawato tamani kujiunga!
Mnachotakiwa kujua kuwa hata kama mkisema mabaya yanayo wakumba ,watu hawato acha kuingia kwenye ndoa bali watazidi kujifunza!
Asprin dozi yako haiwezi kuponya kizazi cha .com?
Tena wanaenda mpk kwa waganga il wazipate lakini wapi, wanaishia kutukana na kuponda kuwa Ndoa si nzuri lkni moyoni wanaumia,
Kukosa jf siku mbili tatu inaelekea nimemiss mengi!
Naogopa kuua. Kizazi cha dot com kimezoea kutumia diclopar na diclofenac ndo maana unaona nguvu zao za uzazi zinazidi kupungua siku baada ya siku
Kweli kabisa Lisa wanapishana kwa masangoma kugeuza mioyo ya wanaume lakini wapi!
Af hii mada kumbe bado inaendelea? Aah mimi nimezichoka hizi mada jamani
Rafiki yangu kabisa ana miaka 38 sasa anampango wa kwenda kwa TB Joshua kuomba muujiza aolewe. Hapa kuna kujazana ujinga nyumba ya keyboard lakini kwenye maisha halisi ndoa ni muhimu sana, na katika maisha kuna changamoto zake!
Usichoke mkuu haka kakahaba kimetibua hali ya hewa
Tena wanaenda mpk kwa waganga il wazipate lakini wapi, wanaishia kutukana na kuponda kuwa Ndoa si nzuri lkni moyoni wanaumia,
Acha longolongo, kaolewe huko. Kama umekosa bwana njoo kwangu nikuoe uwe mke wa tatu.
Doh ...ndoa tamu sanaaa
Acha longolongo, kaolewe huko. Kama umekosa bwana njoo kwangu nikuoe uwe mke wa tatu.