Majibizano ya Rais Samia na Spika yanaweza kuleta Anarchy!

Ndugai hajajibiwa hoja yake. Hoja yake kuu kwa nini walikubaliana tozo ya miamala ya simu itumike kujenga madarasa na zahanati. Iweje tena tukope pesa za kwenda kufanya kile walichokubaliana kupitia tozo.

Majibu yanayo toka. Tutakopa atake hasitake, mara sgr, bwawa la nyerere
 
Kazi ya bunge ni kutunga sheria, kuishauri serikali na kuisimamia serikali..
Sio kujibizana na serikali..

Majibizano ni ishara kwamba serikali haishauriki .. na hili sio jambo jema

Kauli ya Ndugai akiwa nje ya bunge haimaanishi ule ndio msimamo wa bunge...

Ile ni kauli kaitoa kama mwanasiasa kwa motives zake tu, pengine si sehemu ya mtandao wa Samia au pengine ni minyukano tu ya ndani ya CCM...
 
Wewe umegeuka mchungaji? Tunasoma biblia wote halafu wewe unataka unifafanulie?
Wewe ulikuwa kichwani kwa Ndugai
Wote mnaokomalia huu mjadala ni wapumbavu kwasababu mnajadili kitu ambacho Ndugai hakumaanisha.

Mjadala umejikita kwenye UPUUZI
 
Kazi ya bunge ni kutunga sheria, kuishauri serikali na kuisimamia serikali..
Sio kujibizana na serikali..

Majibizano ni ishara kwamba serikali haishauriki .. na hili sio jambo jema
Wewe unaona bunge la Ndugai linaishauri serikali ?
 
Kwanza kabisa walaumiwe walioliharibu Bunge...hapa list ni ndefu ila Spika Ndugai hawezi kukwepa hizi lawama, pamoja na Polepole, Bashiru, Mwendazake, n.k
Hawa wamesababisha majadiliano yaliyopaswa kufanyika bungeni yafanyike mtaania...
Na hili ni tatizo maana mijadala ya mitaani ni unguided, uninformed na endless...

Nimeligusa hilo hapo juu kidogo maana kimsingi ndio lililozalisha huu mjadala wa 'mikopo na nchi kupigwa mnada' kati ya Rais Samia na Spika - Ndugai.
Nitagusia kidogo huu mjadala kisha nitamalizia na athari zake kwa imani ya wananchi juu ya watu wanaowaongoza.

1. Deni letu la taifa lina usiri mkubwa sana. Hapa Nape aliwahi kusema kuna haja ya kulifanyia 'audit' na kutafuta thamani ya fedha kwenye miradi mikubwa ya maendeleo inayoendelea. Hoja hii ikawa chungu kuliko 'mbilimbi' na mara moja ikazalisha timu ya 'wahuni' na 'viroboto'. Kama kawaida hoja ikageuka kioja na baadae ikafa kifo cha kawaida..japo umuhimu wa hoja yenyewe utaendelea kuwa hai.

2. Mama Samia ameongelea 'concession loans' zitakazoanza kulipwa baada ya miaka 20. Ukweli ni kwamba;
● Baada ya hiyo miaka 20 mama hatakuwa madarakani na hivyo sio yeye atakayelipa hayo madeni. Najua pia na yeye analipa madeni ya nyuma...HAPA...hapa ni pakiangalia sana. Utaratibu wa kiongozi kutengeneza tatizo leo litakalokuja kuonyesha makali wakati hayupo madarakani sio utaratibu mzuri kwasababu haya matatizo yatakua juu ya wananchi na vizazi vyao.
● Rais atakayekuwepo baada ya miaka 20 atahitaji pia kufanya miradi ya maendeleo kutokana na uhitaji wa jamii wakati huo, je itakuwaje? Miradi inayotegemewa kulipa hii mikopo ni pamoja na Ule wa umeme wa bwawa la Nyerere ambao kwakweli nina mashaka nao sana.. mvua ikigoma pale tutavuna tu kambale ambao sidhani kama watalipa deni. Kuna ule mwingine wa Shirika la Ndege ulioanza kuingiza hasara kabla hata haujaanza..big doubt!

3. Kauli ya Ndugai kwamba hii nchi itapigwa mnada.. hii ni alert kubwa sana kutoka kwa kiongozi wa mhimili wa bunge. Hii ni kengele ya hatari.
Ila kama kuna viongozi wa ajabu nchi hii nadhani Ndugai amewazidi wote.. yeye binafsi ameitia nchi hasara, misimamo yake imekuwa ikitegemea hali ya hewa ya siku hiyo. Huyu ameshiriki kugeuza bunge kuwa kituko na kutengeneza msingi wa maamuzi mabovu mengi ambayo mwendazake aliyafanya. Wakati wote deni linakuwa alikuwa akiangalia na kukaa kimya... leo miradi iko katikati ya utekelezaji na uchumi ukiwa umeyumba vibaya, anataka wananchi watozwe ili kuikamilisha... sasa sijui watatozwa nini??

Yote kwa pamoja, majibizano ya 'titi for tati' kati ya rais na spika wa bunge hayana afya kwa ustawi wa taifa...
Haya majibizano yanapeleka ujumbe kwa wananchi kuwa jikoni mambo sio mazuri. Eee..na sio mazuri kweli.. kama wapishi wanasema chakula kimeungua, basi yawezekana kweli kimeungua..
Mitaani watu wanachagua upande.. kuna wale wanaomsupport mama na kuna wagalilaya walio upande wa mwenzao..
Mwisho wa haya mabishano mtaani ni kufa kwa imani ya wananchi dhidi ya viongozi wao...hence..Anarchy!!
Kuna swali ukiliuliza watu wanaweza wakashindwa kukuelewa. Hawa wanaoibuka sasa na kuongea kina Askofu Mwingira, Ndugai na Polepole wangeweza kusema haya wanayoyasema kama JPM angekuwa bado yupo hai?.

Ukishapata jibu unapata picha lengo lao haswa lililojificha ni lipi, unawaelewa kwa undani kama ni watu wanaombeep Rais Samia.

Mikopo tangu uhuru imekuwa ikikopwa na ikilipwa na hakuna hata mara moja nchi yetu imekutana na tishio la kupigwa mnada.

Tatizo Ndugai anautaka urais, sawa sawa na vile walivyokuwa wakiutaka watangulizi wake, ana nia na urais sasa awe mpole tu.
 
Wote mnaokomalia huu mjadala ni wapumbavu kwasababu mnajadili kitu ambacho Ndugai hakumaanisha.

Mjadala umejikita kwenye UPUUZI
Ndugai anautaka urais kwa siri kwa chini chini. Ni mwanasiasa kama wanasiasa wengine.
 
Serikali ikikosa vision ya namna kuongeza mapato, matokeo yake ndo haya- kukopa kila mahali na mikopo inakuwa endless. Watalaam wa uchumi isaidien serikali kubuni vyanzo vingine vya mapato, sio kukopakopa
 
Kwanza kabisa walaumiwe walioliharibu Bunge...hapa list ni ndefu ila Spika Ndugai hawezi kukwepa hizi lawama, pamoja na Polepole, Bashiru, Mwendazake, n.k
Hawa wamesababisha majadiliano yaliyopaswa kufanyika bungeni yafanyike mtaania...
Na hili ni tatizo maana mijadala ya mitaani ni unguided, uninformed na endless...

Nimeligusa hilo hapo juu kidogo maana kimsingi ndio lililozalisha huu mjadala wa 'mikopo na nchi kupigwa mnada' kati ya Rais Samia na Spika - Ndugai.
Nitagusia kidogo huu mjadala kisha nitamalizia na athari zake kwa imani ya wananchi juu ya watu wanaowaongoza.

1. Deni letu la taifa lina usiri mkubwa sana. Hapa Nape aliwahi kusema kuna haja ya kulifanyia 'audit' na kutafuta thamani ya fedha kwenye miradi mikubwa ya maendeleo inayoendelea. Hoja hii ikawa chungu kuliko 'mbilimbi' na mara moja ikazalisha timu ya 'wahuni' na 'viroboto'. Kama kawaida hoja ikageuka kioja na baadae ikafa kifo cha kawaida..japo umuhimu wa hoja yenyewe utaendelea kuwa hai.

2. Mama Samia ameongelea 'concession loans' zitakazoanza kulipwa baada ya miaka 20. Ukweli ni kwamba;
● Baada ya hiyo miaka 20 mama hatakuwa madarakani na hivyo sio yeye atakayelipa hayo madeni. Najua pia na yeye analipa madeni ya nyuma...HAPA...hapa ni pakiangalia sana. Utaratibu wa kiongozi kutengeneza tatizo leo litakalokuja kuonyesha makali wakati hayupo madarakani sio utaratibu mzuri kwasababu haya matatizo yatakua juu ya wananchi na vizazi vyao.
● Rais atakayekuwepo baada ya miaka 20 atahitaji pia kufanya miradi ya maendeleo kutokana na uhitaji wa jamii wakati huo, je itakuwaje? Miradi inayotegemewa kulipa hii mikopo ni pamoja na Ule wa umeme wa bwawa la Nyerere ambao kwakweli nina mashaka nao sana.. mvua ikigoma pale tutavuna tu kambale ambao sidhani kama watalipa deni. Kuna ule mwingine wa Shirika la Ndege ulioanza kuingiza hasara kabla hata haujaanza..big doubt!

3. Kauli ya Ndugai kwamba hii nchi itapigwa mnada.. hii ni alert kubwa sana kutoka kwa kiongozi wa mhimili wa bunge. Hii ni kengele ya hatari.
Ila kama kuna viongozi wa ajabu nchi hii nadhani Ndugai amewazidi wote.. yeye binafsi ameitia nchi hasara, misimamo yake imekuwa ikitegemea hali ya hewa ya siku hiyo. Huyu ameshiriki kugeuza bunge kuwa kituko na kutengeneza msingi wa maamuzi mabovu mengi ambayo mwendazake aliyafanya. Wakati wote deni linakuwa alikuwa akiangalia na kukaa kimya... leo miradi iko katikati ya utekelezaji na uchumi ukiwa umeyumba vibaya, anataka wananchi watozwe ili kuikamilisha... sasa sijui watatozwa nini??

Yote kwa pamoja, majibizano ya 'titi for tati' kati ya rais na spika wa bunge hayana afya kwa ustawi wa taifa...
Haya majibizano yanapeleka ujumbe kwa wananchi kuwa jikoni mambo sio mazuri. Eee..na sio mazuri kweli.. kama wapishi wanasema chakula kimeungua, basi yawezekana kweli kimeungua..
Mitaani watu wanachagua upande.. kuna wale wanaomsupport mama na kuna wagalilaya walio upande wa mwenzao..
Mwisho wa haya mabishano mtaani ni kufa kwa imani ya wananchi dhidi ya viongozi wao...hence..Anarchy!!
Ndugai huu ndio mwisho wake wacha tuone., mama keshamjua ni jamii ya kiroboto na hawa ndio wapinzani wake na ndio katika yale magroup mama amesema wanampango wa kumuhujumu afeli kwenye miradi ili mama aje atupiwe paka wa uso
 
Mkuu umeandika vizuri isipokua paragraph ya pili kutoka mwisho. Mungu akusamehe hujui utendalo.
 
umeongea point kubwa sana
ila yote haya yametokana na udhaifu wa bunge /bunge la chama kimoja maana yaliyotakiwa kujadiliwa bungeni yanaibuliwa huku mtaani
 
Kwanza kabisa walaumiwe walioliharibu Bunge...hapa list ni ndefu ila Spika Ndugai hawezi kukwepa hizi lawama, pamoja na Polepole, Bashiru, Mwendazake, n.k
Hawa wamesababisha majadiliano yaliyopaswa kufanyika bungeni yafanyike mtaania...
Na hili ni tatizo maana mijadala ya mitaani ni unguided, uninformed na endless...

Nimeligusa hilo hapo juu kidogo maana kimsingi ndio lililozalisha huu mjadala wa 'mikopo na nchi kupigwa mnada' kati ya Rais Samia na Spika - Ndugai.
Nitagusia kidogo huu mjadala kisha nitamalizia na athari zake kwa imani ya wananchi juu ya watu wanaowaongoza.

1. Deni letu la taifa lina usiri mkubwa sana. Hapa Nape aliwahi kusema kuna haja ya kulifanyia 'audit' na kutafuta thamani ya fedha kwenye miradi mikubwa ya maendeleo inayoendelea. Hoja hii ikawa chungu kuliko 'mbilimbi' na mara moja ikazalisha timu ya 'wahuni' na 'viroboto'. Kama kawaida hoja ikageuka kioja na baadae ikafa kifo cha kawaida..japo umuhimu wa hoja yenyewe utaendelea kuwa hai.

2. Mama Samia ameongelea 'concession loans' zitakazoanza kulipwa baada ya miaka 20. Ukweli ni kwamba;
● Baada ya hiyo miaka 20 mama hatakuwa madarakani na hivyo sio yeye atakayelipa hayo madeni. Najua pia na yeye analipa madeni ya nyuma...HAPA...hapa ni pakiangalia sana. Utaratibu wa kiongozi kutengeneza tatizo leo litakalokuja kuonyesha makali wakati hayupo madarakani sio utaratibu mzuri kwasababu haya matatizo yatakua juu ya wananchi na vizazi vyao.
● Rais atakayekuwepo baada ya miaka 20 atahitaji pia kufanya miradi ya maendeleo kutokana na uhitaji wa jamii wakati huo, je itakuwaje? Miradi inayotegemewa kulipa hii mikopo ni pamoja na Ule wa umeme wa bwawa la Nyerere ambao kwakweli nina mashaka nao sana.. mvua ikigoma pale tutavuna tu kambale ambao sidhani kama watalipa deni. Kuna ule mwingine wa Shirika la Ndege ulioanza kuingiza hasara kabla hata haujaanza..big doubt!

3. Kauli ya Ndugai kwamba hii nchi itapigwa mnada.. hii ni alert kubwa sana kutoka kwa kiongozi wa mhimili wa bunge. Hii ni kengele ya hatari.
Ila kama kuna viongozi wa ajabu nchi hii nadhani Ndugai amewazidi wote.. yeye binafsi ameitia nchi hasara, misimamo yake imekuwa ikitegemea hali ya hewa ya siku hiyo. Huyu ameshiriki kugeuza bunge kuwa kituko na kutengeneza msingi wa maamuzi mabovu mengi ambayo mwendazake aliyafanya. Wakati wote deni linakuwa alikuwa akiangalia na kukaa kimya... leo miradi iko katikati ya utekelezaji na uchumi ukiwa umeyumba vibaya, anataka wananchi watozwe ili kuikamilisha... sasa sijui watatozwa nini??

Yote kwa pamoja, majibizano ya 'titi for tati' kati ya rais na spika wa bunge hayana afya kwa ustawi wa taifa...
Haya majibizano yanapeleka ujumbe kwa wananchi kuwa jikoni mambo sio mazuri. Eee..na sio mazuri kweli.. kama wapishi wanasema chakula kimeungua, basi yawezekana kweli kimeungua..
Mitaani watu wanachagua upande.. kuna wale wanaomsupport mama na kuna wagalilaya walio upande wa mwenzao..
Mwisho wa haya mabishano mtaani ni kufa kwa imani ya wananchi dhidi ya viongozi wao...hence..Anarchy!!
Point namba tatu,
Nashukuru umeiona hiyo point mazuzu mengi hayajui implication ya kilichotokea jana, ndugai ni inside mkubwa sana, huwezi kuchukulia poa jambo hilo,
 
Baada ya magu kukandia mihimili ya bunge na mahakama kwamba inaelea juu juu, ni muda mwafaka kwa mihimili hii kuonyesha makucha yake na kujiondoa kwenye mifuko ya serikali......ndugai kama spika wa bunge naona ameanza kujitambua kwenye kuwawakilisha wananchi dhidi ya serikali inayofanya mihemko ya kukopa kopa bila kujidhatiti kwenye uzalishaji na uwekezaji ndani ya nchi kama njia bora ya kujenga miundombinu na uchumi imara.​
 
Back
Top Bottom