Ok,kumbe sikujua kama alimaanisha Majirani walio mbali.Sio lazima kuchanganya na chumvi za uongo. Hakusema majirani wakitwangana. Alisema wakitwangana, akimaanisha wale wa kuuule mbali na sisi wa Sudan Kusini. Nani asiyejua madhara ya wakimbizi kwa nchi yetu? Kikinuka, unafikiri watu wao watakimbilia wapi? DRC? BURUNDI? SUDANI YA KUSINI? KENYA? au watarundikana huku kwetu? Hawa majirani zetu tuendelee kuwaombea njaa tu ili tuuze mahindi, sio vita.
Sababu ya majibizano ni nini hasa ?Hapana aliyeanza ni mseveni muda mchache akafuata mwenzie ni ndani ya muda ule ule isipokuwa time difference
na mbaazi mbogaSi mpigane tu na kuzalisha wakimbizi ili tuwauzie mahindi na maharage? Kuna shida gani mkianza kujipyupyupyu hili mahindi yetu kule songea na sumbawanga yakauzika kwa wakimbizi? Vita vya mane no ni kwa waoga bali vile vya silaha tena zile nzito ni kuwa mashababi na majasiri!
kila mtu anadai mwenzie ndiye anayetaka kumvamia, ila hadi sasa mipaka inayounganisha nchi zao imefungwa, kumbuka Burundi alikuwa akidai kuwa Rwanda anataka kumpinduaSababu ya majibizano ni nini hasa ?
Kipindi vita ya kagera inaanza ni kweli Uganda walikuwa juu kwa vifaa kuliko TanzaniaHata enzi zile JK Nyerere anawachapa walikuwa siraha nzuri kuliko sisi lakin walichapwa. PaKa yuko vizuri na ana full support ya Magu na Kenyatta
Sent using Jamii Forums mobile app
Kagame hajawai kua wazir wa ulinzi wa Ugana labda marehm Fred Rwegima aliyekua kiongozi wa RPF wakati huo Kagame akiwa msaidizi ndie aliyekua Wazir wa ulinzi wa uganda.Hahahahaaa, yaaani hii vita itakuwa tamu sana, ikumbukwe kuwa Paul Kagame amewahi kuwa Waziri wa Ulinzi wa Uganda baada tu ya Yoweri Kaguta Mseveni kushika nchi na wote walitokea Tanzania TMA miaka hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi nitakuwa nimechanganya madesa mkuu, hawa jamaa walikuwa marafiki sana, walipotoka Uganda ndo wakaenda kuleta tafrani Rwanda, Fred akauwawa na Kagame akaamua kukatisha kozi yake ulaya akarudi kuenselea na mapambanoKagame hajawai kua wazir wa ulinzi wa Ugana labda marehm Fred Rwegima aliyekua kiongozi wa RPF wakati huo Kagame akiwa msaidizi ndie aliyekua Wazir wa ulinzi wa uganda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya na Uganda wana ugomvi wa kakisiwa pale lake Victoria, hapo kuna uadui wa chinichini na kanuni adui muombee njaa.Kipindi vita ya kagera inaanza ni kweli Uganda walikuwa juu kwa vifaa kuliko Tanzania
Lkn baada ya mapigano ya kumtoa nduli kagera (wiki tatu)
Tanzania iliongeza vifaa vya jeshi zaidi kuliko Uganda mfano ni BM -21 hizi mpaka askari wa Uganda walikuwa wanaziogopa na ndizo zilizofanya wapoteza kujiamini pia tz ilipata support ya wajamaa wote na sadc
Kenya haiwezi kumsaidia PAKA kumbuka Kenya ni capitalist wataangaria wapi kuna faida kiuchumi kwao
Pia tz sidhani kwa dstv wakubari hicho kitu maana now ujasusi unaangalia uchumi zaidi na sio sifa zisizo na faida
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Na hao wakimbizi wa nchi hizo wakija Tz wote si wataendelea kupigana huko kwenye makambi ya wakimbizi!?[emoji849][emoji849][emoji849]Si mpigane tu na kuzalisha wakimbizi ili tuwauzie mahindi na maharage? Kuna shida gani mkianza kujipyupyupyu hili mahindi yetu kule songea na sumbawanga yakauzika kwa wakimbizi? Vita vya mane no ni kwa waoga bali vile vya silaha tena zile nzito ni kuwa mashababi na majasiri!
Hakuna jipya hapo, hawa wanajuana kwa vilemba kwani kutofautiana kwao na kupatana ni kwa maslahi yao hao wawili. Mabadiliko yamekuja kwa sababu FATSH13 ameingia madarakani na amewaomba wote waliokimbilia nje ya nchi warudi ili waijenge DRC, mwaliko huo unawahusu M23 waliokimbila Uganda. Kundi la kwanza limeisha rudi Kinshasa na wengine watafuata... Hapa ndipo M7 na PK wanapokuja kutofautiana!... Kumbuka kuna jeshi la zamani la Rwanda lilimkimbia PK na RPF yake, vipi wakijipanga kurudi Rwanda?.... Hapatakalika!!.
Cha ajabu M7 ndo alimuingiza Njemba madarakani🙄 Kweli fadhila mpe mbwa, atakulinda usiku. Bata atakunyea tu.
Tutawaweka jela walime!Ic labda alikuwa anatania! Hao wakimbizi wa nchi zote mbili tutawaweka wapi?
Alikua anazingumzia akina nani?!Watanzania acheni uongo. Huyo kichaa hakuwa anazungumzia hawa wawili. Hawa wako too close to C h a t o, naimani anawaombea njaa tu ili tuwauzie mahindi lakini si vita.
Kagame hajawai kua wazir wa ulinzi wa Ugana labda marehm Fred Rwegima aliyekua kiongozi wa RPF wakati huo Kagame akiwa msaidizi ndie aliyekua Wazir wa ulinzi wa uganda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ma ajent wa CIA kanda ya maziwa makuu wanataka kukabana koo
Acha wamalizane tu , wote ni nyoka .Mungu atalipa ushetani walioufanya huko Congo DRC .Kagame na Museveni ni maibilisi katika mwili wa binadamu
Sent using Jamii Forums mobile app