Marekani yaonya Raia wake dhidi ya safari za Uganda

Marekani yaonya Raia wake dhidi ya safari za Uganda

Atukuzwaye

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2026
Posts
242
Reaction score
384
Idara ya Mambo ya Nje ya Marekani (Bureau of Consular Affairs) imeiweka Uganda miongoni mwa nchi 23 zilizoorodheshwa kama maeneo hatari zaidi duniani kwa wasafiri wa Marekani, ikitoa tahadhari yake ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya kutembelea taifa hilo la Afrika Mashariki.

Katika mwongozo wake wa usafiri wa Kiwango cha 4 (Level 4) uliotolewa Jumatatu, Novemba 9, 2026, serikali ya Marekani imewaagiza raia wa Marekani kutokusafiri kwenda Uganda kwa sababu yoyote ile, ikitaja vitisho vya kiusalama, changamoto za kiafya, ugaidi na machafuko ya ndani.

Uganda inaonekana kwenye orodha hiyo pamoja na nchi nyingine zikiwemo Somalia, Sudan Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Sudan, Urusi, Iran, Afghanistan na Korea Kaskazini.

1794391311483.png
Sababu kuu zilizotajwa ni:
  • Kitisho cha Ugaidi (Hasa kundi la ADF).
  • Uhalifu wa kutumia silaha na uvamizi kwenye miji mikubwa.
  • Machafuko ya kisiasa na msako dhidi ya wakosoaji.
  • Sheria kali za kijamii na haki za binaadamu (kama sheria ya Anti-Homosexuality Act).
Atakachopoteza Uganda:
  • Kupungua kwa watalii na mapato ya fedha za kigeni.
  • Kuongezeka kwa gharama za bima za usafiri na biashara.
  • Athari kwa diplomasia na uwekezaji.
1794391459005.png

Je, unadhani hatua hii ya Marekani inasukumwa na usalama wa kweli au ni mbinu za kisiasa na kijiografia (geopolitics) kuipiga pini serikali ya Kampala?

Source: Travel.State.Gov

=====

The United States Department of State’s Bureau of Consular Affairs has placed Uganda among 23 countries classified as the world’s most dangerous destinations for American travellers, issuing its highest-level warning against visiting the East African nation.

In its Level 4 travel advisory issued on Monday, November 9, 2026, the US government has instructed American citizens not to travel to Uganda for any reason, citing security threats, health concerns, terrorism and civil unrest.

Uganda appears on the list alongside countries including Somalia, South Sudan, the Democratic Republic of the Congo (DRC), Sudan, Russia, Iran, Afghanistan and North Korea

The main reasons cited are:
  • Terrorism Threat: Particularly from the ADF (Allied Democratic Forces) group.
  • Armed Crime & Home Invasions: High rates of violent crime and break-ins in major cities.
  • Political Unrest & Crackdown on Critics: Increasing political instability and targeting of political opponents.
  • Strict Social & Human Rights Laws: Particularly harsh legislation such as the Anti-Homosexuality Act.
What Uganda Stands to Lose:
  • Decline in Tourism & Foreign Exchange Earnings: Significant reduction in international visitors and revenue.
  • Increased Travel & Business Insurance Costs: Higher premiums or denial of coverage for travel and investments.
  • Impact on Diplomacy & Foreign Investment: Strained diplomatic relations and reduced foreign direct investment (FDI).
For Uganda’s tour operators, the concern is what the warning does to bookings.

Tourism entrepreneur Amos Wekesa called the United States’ decision to keep Uganda under its highest travel warning “very unfair”, questioning why the country shares the same rating as Iran and North Korea.
“America, how can uganda be at the same level as IRAN and North Korea,” Wekesa wrote on X. “VERY UNFAIR.”

Dr Arinaitwe Rugyendo wrote, “How is Uganda safe for the world’s rarest great apes, but too unsafe for Americans?” he asked.

In May, tour operator Rodgers Akampurira appealed to President Yoweri Museveni after reporting safari cancellations and pressure to refund clients who had paid for hotels, transport and permits.

The Uganda Media Centre later argued that the warning gave visitors a distorted picture of the country, pointing out that national parks and other attractions continued to receive tourists.

Uganda recorded 1.64 million international tourist arrivals and earned about Shs5.83 trillion ($1.62 billion) from tourism in 2025, according to the Ministry of Tourism.

A lost safari booking can affect several businesses on the same itinerary, from lodges and tour companies to guides and drivers.
 
Back
Top Bottom