Majibizano kati ya Rwanda na Uganda yameanza

Majibizano kati ya Rwanda na Uganda yameanza

Yani umeongea kama vile Tanzania tuna amri mkuu wa majeshi anayejitambua, haya bn ngoja tusubiri[emoji23]
Jeuri ya m7 anajua kabisa kuwa Tanzania haiwezi kutoa msaada wowote wa kijeshi kwa wote wawili tz itabakia neutral kumbuka pia Uganda ina faida zaidi kwa tz

Na kama ikilazimika tz kutoa msaada basi watampa m7 (plan za msaada hatoi yohana
Bali zinatoka upanga) na upanga ndio wanawajua vizuri hawa Kobe wawili

Sent using my iPhone using jamiiforum app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa mbona anajitambua na ndio alikuwa injini Davis sema tu baada ya kupewa wadhifa (jiwe kwa kutambua utimamu wa jamaa) ameamua kumganda kiaina safari zote yupo nae
Yani umeongea kama vile Tanzania tuna amri mkuu wa majeshi anayejitambua, haya bn ngoja tusubiri[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Upanga hawezi kuivuruga na analijua hilo that why ............hivi unajua sababu ya yohana kumganda cdf ?

Upanga wanamtamani saana kimbau mbau
Rejea morari waliyokuwa nayo kipindi kile wanamuadabisha huko drc


Sent using my iPhone using jamiiforum app
Ivurugwe mara ngapi wakati tayari inshavurugwa, mkuu yohana kote ashakamata hakuna wa kufutukuta, watu wake wako kazini. Mahakama, bunge, chamani, k'nyama, upanga, wastaafu aka wanaowashwawashwa nk tena huyo bosi wa upanga jirani yangu pale masanza kona kawekwa hapo na yohana kumlinda yohana, tena siku hizi wamekuwa wanunua korosho bila hata kupenda. Mkuu yohana kwa sasa ndo kila kitu nchi hii, ni mtu mmoja tu nchi hii anayeweza kumface na kumchana live Yohana, Tundu Lisu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Damu ya ngd zenu itawalilia nyie wabongo pumbafu zenu wote mnafurahia wenzenu kupigana? muuze mahindi?, ubwabwa, ngono

Ndo maana nyinyi ni maskini na bado
 
Wanagombania nini?Halafu Mseveni si ndo alomsaidia Kagame kuingia Rwanda na kuchukua nchi?Ama kweli fadhila mfadhili Mbuzi,binadamu..........
Soma historia Sio unaongea tu kufuata mkumbo. M7 alisaidiwa na kina nani?
 
Kuna mropokaji mmoja mwenye vichwa viwili ndani ya kimoja, atakaporopoka msala wote utamwangukia yeye na wenzake wata-reunite!
Nimecheka[emoji23][emoji23][emoji23] unajua mkuu wewe ni fala sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom