Majibizano kati ya Rwanda na Uganda yameanza

Dictators end like that maana na internal factions/resistance zitaanza to organise themselves, which is good!
 
Ndiyo, Rwanda inatumia masaa ya Afrika ya Kati wakati Uganda inatumia masaa ya Afrika Mashariki
Ukiangalia kwenye hizo Nukuu mbili kwa kuzingatia Muda, inaonesha alienza kuongea ni Kagame then ndo akaja Musseven ingawaje bado haileti Mtiririko Mzuri wa Hoja inayojadiliwa.., Je, kuna tofauti ya SAA moja kati ya Rwanda na Uganda?
A

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hicho kitu nimekiona. Na kikawaita M7 ndiyo inatakiwa intangulie kisha kagame ajibu. It seems fake news.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SAFARI YA KAGAME....... huu ndio uliwa wasifu wa majadiliano.

No question about it.
 
Back
Top Bottom