Majibizano kati ya Rwanda na Uganda yameanza

Mseven Yuko sahihi. Anamjua Kagame huwa haelewi maneno lugha anayoelewa ni Bunduki tu.

Mwaka 1999 Mseveni alikubaliana na Kagame wasitishe mashambuliano Kisangani wakati wanatoka kwenye kikao Kagame akampigia simu Kabarebe awafanyie ambush jeshi la Uganda. Inasemekana UPDF zaidi ya 2000 walifariki. Tangu hapo Mseveni akamjua who is Kagame .

Mbaya Zaidi General Kare huyu aliyekua IGP wa Ug ,Ndo alikua Ug Military envoy to Kigali. Baadae Mseveni akajua Kare alikua panya wa Kagame.

Kikwete alipotishwa alituma hit Squad ndipo Kagame akanyamaza.

Ukimletea Kagama maneno anakuuwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Mara ya 3 nasoma hii kitu inaitwa hit squad nini kilitokea na kilitumwa wapi n yepi yalikuwa mafanikio yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mseven Yuko sahihi. Anamjua Kagame huwa haelewi maneno lugha anayoelewa ni Bunduki tu.

Mwaka 1999 Mseveni alikubaliana na Kagame wasitishe mashambuliano Kisangani wakati wanatoka kwenye kikao Kagame akampigia simu Kabarebe awafanyie ambush jeshi la Uganda. Inasemekana UPDF zaidi ya 2000 walifariki. Tangu hapo Mseveni akamjua who is Kagame .

Mbaya Zaidi General Kare huyu aliyekua IGP wa Ug ,Ndo alikua Ug Military envoy to Kigali. Baadae Mseveni akajua Kare alikua panya wa Kagame.

Kikwete alipotishwa alituma hit Squad ndipo Kagame akanyamaza.

Ukimletea Kagama maneno anakuuwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia hao hit squad walikosea target kumfumua PK

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walimtafuta kwa miezi mitatu ila hawakumpata maana jamaa alipewa taarifa na spy wake so hakuonekana hadharani

Kituko zaidi ni kuwa hit squad ilimtafuta kwa miezi 3 tu ila paka akajificha kwa miezi sita[emoji16][emoji16]

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Hatari sana....mwendo wa majambia tu nasikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walimtafuta kwa miezi mitatu ila hawakumpata maana jamaa alipewa taarifa na spy wake so hakuonekana hadharani

Kituko zaidi ni kuwa hit squad ilimtafuta kwa miezi 3 tu ila paka akajificha kwa miezi sita[emoji16][emoji16]

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Hii chai...miezi mitatu walikuwa Wanatafuta sindano kwenye shamba la mpunga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii chai...miezi mitatu walikuwa Wanatafuta sindano kwenye shamba la mpunga?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahah story za watoto nyingi sana humu,eti unaingia na hit squad yako kwny nchi ya watu kwa miezi yote 3 wanawaangalia tu mko mnamtafuta rais wao,hahah ujinga mtupu unaandikwa humu.

Hio nchi sijui inakua haina jeshi/police/intelligency mpk mfanye hivyo?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Duh,kuna uzi mmoja unasema Makomandoo wa kikwete kutoka JWTZ walingia chumbani kwa PAKA wakamrusha kichurachura PAKA akawa analia nyaunyaunyau wakamsamehe na kumuonya asirudie tena.
 
Nilisikia ikabidi nimuulize jamaa yangu pale Kengelengele kama kunaukweli. Alinijibu simple tu nitakuchorea kwenye karatasi siwezi kutamka chochote. Usipoelewa mchoro usiniulize tena[emoji134] [emoji134] [emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom